Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mmmm mambo yamekaa kisiasa zaidi. Kwanini asiwape kazi hii usalama badala ya kukimbilia kwenye media.
 
Upuuzi mtupu
Asema hao akina Mbowe wamekamatwa na ton ngapi,lini na wapi?Lengo hapa ni kuichafua CDM ionekane kama chama cha kihalifu
Jitu zima hovyoo!
Si mlikuwa mnataka wauza madawa papa? Sasa mlitaka wawe kina nani? Hawa ndiyo mapapa siyo RayC
 
 
Hongela Makonda,waswahili wanasema ukirusha jiwe gizani ukisikia yalaa ujue limempata mtu.
 
Ndo wenye akili tulikuwa tunasubiri kuona comments kama hizi,kwani kuwa mwenyekiti wa chadema unadhani ndo usafi..!!
Makondaa wana akili zako umezikalia sio
 
Labda atafafanua pia ile hoja ya Jose Msukuma jana bungeni kuwa ameepataje utajiri mkubwa alionao ndani ya miaka 3 tu

Watu ambao hamuelewi Gemu bora mtulie.

1:Jose kwanza aliwahi kuhojiwa akakiri kuwa alikuwa anafanya biashara hiyo.
2: Jose analatoka povu kisa Wema!!!(nafikiri mmenilewa)

Asante
 
Kama jibu ndiyo. Je amewezaje kuiwakilisha Hai?

Nilimsikia Makonda akisema jurisdiction yake ni Dar. Mwenzenu bado sijajua Mbowe ni mkazi wa Dar au Hai Kilimnjaro.
 
wema athibitishe vinginevyo sheria ichuke mkondo wake!
Kisheria Wema Lazima afungwe kwa kosa la kudhiaki Muheshimiwa wa mkoa na kukutwa na bangi. Bangi ipo katika kundi la Madawa ya Kulevya, kwa iyo kukutwa kwake tayari uthibitisho upo. Serikali ina mkono mrefu, yeye alikuwa ajui hayo. Na watu wanadharau kwa sababu wanamuona ni kijana mwenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…