Naona jamiiforums imepingwa ganzi baada ya mbowe kuweno katika list ya drug dealers. Jamani token njoni mtetee tena mana nyie ni mabingwa wa kusafisha na tutetea uozo.
Mwaka huu upinzani unapotea mana kila sehemu wamekabwa.
Kumbe ndo maana lisu mishipa nilitaka kupasuka kwa kuwatetea drug dealers ili lujihami kwa mwenyekiti wake!!!
Sasa mbowe kila uozo yumo. Kukwepa kodi yeye, kuharibu mazingira yeye,hata madawa? Sasa upinzani jamani si wangetuingiza chaka tungethubutu kuwachagua.
Asante mungu kwa kutuonesha hali halishi ya upinzani.
Lini mchaga akajifanya anakutetea ili we uwe na maisha mazuri?