Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...


Maswali ni mengi mnoo..Hata huyo Mbunge Msukuma anautajiri wa kutisha sana na taarifa zinasema nayeye ni alikuwa/muuza poda thus why ameng'aka na hii vita ya Makonda..
Na kwanini Msukuma akae kimya kipindi chote hicho mpaka baada ya Makonda kuanza hii vita ya madawa ndiyo yeye alipuke? Where is his moral Authority?

Mwacheni Makonda amalize vita yake then tutakuja kujadili hizo tetesi zenu.

# Hakuna kiunga cha dsm ambacho hakitafikiwa.
 
Jamani Mimi naona makonda anganza na wahusika wakuu ambao kuna ingiza madawa ili kuwanusuru vijana wenzetu
 
Mapapa wamekamatwa
 
Uzuri wenye akili kubwa kuhoji ndio kazi yetu.........

Hata upinzani ufe Mimi kwangu kuhoji kuko pale pale maana sina cha kupoteza..........
 
Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.

Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
mi nielewesheni. kuwataja watu bila ushahidi kuna faida gani zaidi ya kuwafanya wawe makini na uuzaji wao. mana mi nlitegemea kama kweli wako genuine na hii vita na wanawajua hao wanaouza madawa y a kulevya je kwa nini wasiwategee mitego wakawakamata wakiwa na ushahidi mikononi wakafunguliwa mashtaka na kupewa adhabu ili wawe mifano.. sasa kumwambia mtu ambae hata ushahidi huna aje akariport kituoni kuna faida gani? kuna kitu hakijakaa vizuri hapo
 
Hahaaaaaaaakubwa la maadui Mbowe ndani ya nyumba...Chezea Makonda wewe!
Hiyo orodha inamtaja Philemon Mbowe, unamaanisha ndiye Freeman Mbowe? Hata kama kutakuwa na ukweli katika baadhi ya cases, lakini ukisoma orodha ya yale majina huchelewi kuhitimisha kuwa kinachofanywa ni kukurupuka tu ilimradi lengo la "character assassination" linatimizwa. Katika awamu ya tatu mimi nitapeleka jina la "ibambasi wa JF"!
 
CHIDI BENZI KUHARIBIKIWA KWAKE KUMEFANYA JAMII SASA IPAMBANE VILIVYO NA TATIZO HILI
 
fikiria mara mbilii wewe Idd azan, kitwna na manji hao wote ni CCM unasemaje wanakamatwa wapinzani tu,
mtu kama Sepetu ni kada mkubwa tu Chama dola
hivi mnatumia akili hizihizi wanazotumia watu wengine au mnafikiri kwa kutumia viungo vingine
Na akili nyepesi kama zako ni rahisi sana kunasa katika mtego uliotegwa?
 
Kwenye kutamka katamka Aikaeli mbowe mbunge wa hai kwenye kuandika kaandika Philemon mbowe.hata chizi awezi kumsikiliza makonda
 
Kukurupuka na mihemko tutaona mengi miaka hii.....

Uzuri wenye akili kubwa kuhoji ndio kazi yetu.........

Hata upinzani ufe Mimi kwangu kuhoji kuko pale pale maana sina cha kupoteza..........
Unaogelea kupana sana broda. Choose your battles wisely otherwise utaishia km Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…