Mtani mtata
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 475
- 341
Mwenye akili timamu,awezi akakaa na kuamin anachosema makonda,alivyoanza na wasanii mm,nilijua ni mtu makin,lakin kwa wasanii limeisha kwa hoja nyepesi,sasahv kahamia kwa wengine.cha ajabu wote amewaacha ila kamshikilia wema,kama sio chuki binafsi ni nn?.
Wanasubir kuitwa itv wakunje 4 kwny kpnd cha dakika 45Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
aisee am not your levelhuu ushauri unaotoa nawe pia uufate, ni muda tu ndio mwalimu usipende sana kujudge vitu unavyoviona, hata wewe kifo chako huwezi kitabiri ila cha mwingine umeshakijua
binadamu msijipe majukumu ya Mungu
Utakuwa mmoja wa wauza ngada, nyie ndio mnaharibu vijana wa taifa letu.
Sijui mbowe atakutwa anatumia Anasafirisha Anauza Ananunua
Anafadhili
Hatasijui Ila like seriously Nimechoka sanaa nahisi jasho.
Jamani sijui tumeikosea nini serikali ya ccm maana huu sasa nizaidi ya uuwaji wa vyama pinzani Tanzania kweli ccm akili kubwaaaz kwa hapa mme win 200%
Mme mfungia biashara zake haijatosha kumlimbikizia kodi haija tosha pia sasa kumuweka ktk
Orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya hapo Anasubiriwa lowassa sasa picha liwe the end
I know jf mtaifuta hii lakini narudia tenaa
Is not fear kabisaa huuu nimpango wa ukandamizwaji democracy nchini
Eemungu tuhurumie maana
Lumumba mmetushika Kunako
No kufurukuta 2020 so sad [emoji24][emoji24][emoji24]
Moja ya mambo mabaya kabisa ambayo wakoloni walituachia ni utumwa wa fikra,kwa ufahamu huu wa kwako ni sahihi kabisa waafrika kuitwa nyaniHahahaha bye bye chadema.. SISI tulikuwa tunajua kuwa uchaguzi wa mwaka JUZI.. Manyumbu tulishikwa Ila ukweli ni kwamba bado kidogo atajwe aliyekuwa mgombea wa urais. Huu Utabiri nakupa Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
King of Kings huwa hafikiwiDada angu, Madawa ya kulevya hayauzwi kwenye duka la Mangi..hakuna mtu atakupeleka kwa drug Lord kama hakuamini. Utaishia tu kukamata vidagaa vinavyo chukua kete mojamoja.
Ila mtu kama Ray C, Wema na wengineo obviously wanachukua kwa supplier wakubwa kidogo coz wana uhakika na privacy na confidentiality ya hao suppliers na Makonda amelijua hilo.
Ukianza kumkamta teja pale mwananyamala huo mlolongo wake kabla hujamfikia big suppliers utakuwa umeweka watu laki 5 pale Central.
Chadema wameshatoa tamko huko, kama siyo yeye ni kwa nini wametoa tamko?
kuna nini?JamiiForums mmeonesha namna gani mlivyo wa hovyo naomba Freeman Mbowe awashtaki JamiiForums kwa kumchafulia jina.
is that right? i doubt that..maybe kama umechukua dar as sample na sio tz nzimaNani anaangalia TBC 1 its not popular enough kwa vita ya makonda
[emoji2] sifahamu kwakweli.hivi bastola yake waliwahi kumrudishia...nawaza tu
Mi mwenyewe nimeshangaa mbona wengine kawataja direct tu?Au hilo jina walimchomekea bila yeye kujua?maana kazunguuuka mpaka wakamkumbusha.
FemasiSasa mlijuaje kama ni Jina la Freeman Mbowe lakini limekosewa?
utaunganishwa centrooooooTihitihitihi!!!
Dah Mi mkuda balaa
Kwa ujumla ninatoa sifa kwa mawaziri wachache sana ktk serikali hii. Wengi waliojifanya ma-star serikali iliyopita, kwa sasa wako kwenye paralysis!Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makonda chuki na wema..seriously [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tz bhanaKwahyo makonda ana chuki na wema!!! watanzania bna πππ
baada ya kunijibu ndio umegundua hatupo level moja, ungepiga kimya toka mwanzo haikuwa lazima kujibuaisee am not your level
Maadam ni search ya wabaya, tusimtetee. Aende akaripoti, huenda ni mtu muhimu anayejua majina ya wale wa juu zaidi.Kwa mbowe hapo ni siasa zilizopangwa tu ili kudhoofisha upinzani,makonda anatumiwa
porpularity contest..i refuse to be fooled again..nataka nione matunda hizi kelele za kutajana tumeshazichoka..richmond..maremeta..buzwagi..escrow..walitajwa watu but nothing happened..i want to see people getting procecuted..all bark and no bite.Kwahyo makonda ana chuki na wema!!! watanzania bna πππ