Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Labda ndio maana wanaambiwa wawe na hata ka digrii kuweza kuifanya kazi hii. Wengi kwa kweli ni shida tupu.
lakini kumbuka,wanaotutungia sheria vigezo ni kujua kusoma na kuandika tu si ajabu naibu spika anasumbua na wanampigia makofi tu.
 
MTU hatiwi hatiani hadi pale itakapothibitishwa pasipo shaka yoyote kuwa ana hatia. Na Kutaja majina ya watuhumiwa ni kazi nyepesi sana; kazi kubwa ni kuwakamata na kuwapeleka mahakamani.
 
Sindano zinaingia bila ganzi! Hii ndo Serikali tunayoitaka!
Makonda kaanza mapambano siku nyingi. Uliona alivyomtolea uvivu Eddo kwamba hafai kuwa rais? Halafu mzee Wa katiba ya wananchi ilibidi atolewe ukumbini
Huyu Dogo ni hatari.
 
Makonda hazimtoshi kabisa sasa kama ni bilicanus mbona hajataja meli ya KINANA AMBAYO MAISHA IMEKUWA IKIBEBA UNGA NA YEYE MWENYEWE SIKU ZOTE AMEKIRI KWAMBA HAJUI MZIGO WA NANI
 
Ikagundulika Waliotajwa Hawausiki Na Madawa Ya Kulevya Ataitisha Press Conference Kuwasafisha?

Nachomlaumu Makonda Ni Kutumiwa Na Raisi Kuchafua Watu Au Kushindwa Kutumia Busara.

Hawa Watu Wana Watoto Anajua Madhara Watakayopata Ikiwa Baba Au Mama Zao Hawausiki Na Biashara Hizi

Serikali Ijiandae Kuna Watu Hapa Watastahili Kulipa Fidia Kubwa Sana
 
Makonda kaanza mapambano siku nyingi. Uliona alivyomtolea uvivu Eddo kwamba hafai kuwa rais? Halafu mzee Wa katiba ya wananchi ilibidi atolewe ukumbini
Huyu Dogo ni hatari.
MWACHE ATUMIKEE TU KWANI WANAOPAKUWA VYEO KUPITIA YEYE WATAMUACHA NA LAANA ZAKE AENDELEE KUTAMBA TUU
 
Mbona hayo majina wengine hayako specified? Unataja vip jina moja tu la mtuhumiwa? Utasemaje mmiliki wa Slipway, ndo jina lake hlo? Nani anamjua huyo mmiliki wa Slipway? Bado namashaka makubwa na hii list
Halafu hapo hapo anakwambia - 'Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza'
 
Namsubiri Mch.Gwajima atakavyoharisha maana kwa vyovyote vile lazima atajibu tu
Kama sio leo subiria kesho au jumapili kwenye ibada akiwa kwenye madhabahu
Gwajima ana tabia ya kuzimia akifikishwa Polisi. Halafu anasema aliijiwa na bwana wa majeshi.
Manake yeye ni Nabii.

Shetani kabisa.
Nabii anauza unga?
 
Mimi sijaona katika hayo maandishi Palipoandikwa Freeman Mbowe labda iwe ilitamkwa vibginevyo tuache mihemko. Hivi kila jina linaloishia na Mbowe itakuwa KUB??
Wewe utakuwa mbunge viti maalum si bure.
 
Umchanganya madawa kidogo. Gwajima ni mzee Wa misukule, mzee Wa upako ni yule Wa bapa.
 
Makonda keshaona kesho. Kawaita ijumaa
Huyo mfufuaji hataonekana madhabahuni jpili
Atalala mahali salama hadi jtatu.
Halafu akitoka huko atasema Bwana alimjia akampa nguvu za milele. Na ataendeleza Ufufuo kama kawaida na kondoo wake ataendelea Kuchunga

Kaazi kweli kweli . Enyi watu Muogopeni Mungu wenu aliyewaumba. Msifuate mashetani watu wanakupotezeni ktk Njia ilionyooka.
 
Hapo issue ni sembe mengine baadae.
Casino ni mahali pa anasa nadhani kwa vile wanalipa kodi si mbaya na hata sigara ni hatari sana kwa watumiaji pengine kuliko mirungi lakini kwa 7bu kodi inalipwa sio mbaya, hata konyagi na zwenzake ni Kali sometimes kuliko gongo lakini ushuru tunakusanya so sio mbaya. Nothing good or bad just ask attitude to define
 

Tatizo sio kwenda bilicana, tatizo ni umakini wa suala kubwa kama hili, kitu ambacho unaongea kilichoandikwa kinatakiwa kiwe sawa na unachoongea /tamka ,leo mimi ukiniletea mfano jina la musa kikwete nikiamka kutaja mbele za watu siwezi kusema mheshimiwa kikwete raisi mstaafu nakuhitaji polisi kesho, hata aliyenipatia jina hilo atanishangaa. Tusiwe kama wale waandishi wanaondika kuvutia magezeti kuwa raisi kafariki kumbe ukiingia ndani unakuta raisi wa shirikisho la mpira, kama unataka vitu kama hivi bila kuwa na umakini wowote ukitaka kufurahisha tu watu basi vitu vingi sana serikali itashindwa, sio swala la ukawa wala ccm.
 
Nilisikiliza Press Conference Ya Makonda Na Sikujua Kumbe Anaweza Kuandika Movie Scripts

Nimeona Kaingizia Mpaka Mziki Wa Darasa Huyu Jamaa Ni Kiboko, Usipofunga Mkanda......

Anajua Madawa Yanaingizwaje Lakini Hawana Ushahidi Wowote Na Anachokisema

Yote Yaliyosemwa Ni Movie Story Kama Wanajua Yote Hayo Kwanini Wasikamate Watuhumiwa

Raisi Anamwaribu Huyu Kijana Ile Mihemko Yake Tangu Akiwa Waziri Sasa Amepata Msaidizi

Serikali Ijiandae Kulipa Fidia Kubwa Sana Kwa Kuwachafua Watu
 
Sijui citation naipata wapi lakini nilisoma kuwa ukweli ni ule uliosemwa na mahakama na si vinginevyo (justice) wana sheria watanisaidia, Manji na Chidi Benzi wote ni binadamu it doesn't matter una msaada gani kwa nchi kama utatoa sadaka hata m wananchi mmoja kwa madawa ya kulevya na uachwe kwa 7bu umeajiri miamoja. Tusubiri episode inayofata ukweli utakuja tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…