mume wa mtu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 653
- 386
lakini kumbuka,wanaotutungia sheria vigezo ni kujua kusoma na kuandika tu si ajabu naibu spika anasumbua na wanampigia makofi tu.Labda ndio maana wanaambiwa wawe na hata ka digrii kuweza kuifanya kazi hii. Wengi kwa kweli ni shida tupu.