kidwa madwa
New Member
- Feb 6, 2017
- 2
- 1
Uwezo wa wabunge wetu wengi ni mdogo, wanataka kuabudiwa na zaidi naona labda na wao wanataka wasindikizwe na ving'ora. Lakini hawana lolote wandawazimu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jifunze kujenga hoja ngariba,
Swali jepesi, akitokea mtu akamtaja Makonda kuwa anahusika, je atakamatwa? Maana polisi are acting on tips from different sources? Kama hawawezi basi haya yote kuna watu wanalengwa!Ndugu zangu habari za asubuhi, huku tunajiandaa kulala
Tafadhali fatilia kwa makini hiki ninachokiandika hapa.. hii vita ya madawa ya kulevya ina agenda ya siri kama ingekuwa na lengo la kukomesha biashara hii haramu ingefanywa kwa kufuata kanunia na kwa weledi wa hali ya juu sana. Kungefanywa uchungzi wa kina na baada ya uchunguzi waliobainika wangeitwa polisi kwa mahojiano zaidi kwa siri na kisha kupandishwa mahakamani.
Lakini kwa makusudi kabisa kinachofanywa leo kimesukwa kutaka kumchafua Lowassa baada ya mahakama ya kifisadi kushindwa kupata lolote la kumshitaki maana watu wengi waliamini kwamba atakuwa wa kwanza kushitakiwa kutokana na kusudio la kujenga mahakama hiyo, sasa imeshindikana na kuna hisia kuwa jama huyu asipopata mkasa wa kufikishwa mahakamani wananchi watamuunga mkono kwa wingi.
Ndio maana ikatengenezwa mbinu na kama mnakumbuka ni kijana yupi aliyejitolea kumlipua Lowassa kwenye vyombo vya habari alipokuwa ccm? ni Makonda.
Bahati mbaya jambo hili Baadhi ya viongozi wengi na mawaziri pia viongozi waandamizi hawakubaliani nalo wanaona ni siasa chafu zenye athari kwa nchi. Litakapotajwa jina la Lowassa pia litatajwa la Azim
Hayo majina kutajwa hadharani ni mkakati uliobuniwa ili siku akitajwa isemekane wengine walitajwa, lakini hakuna vita ya madawa ya kulevya inayopiganwa hivyo
NA YULE KIJANA WA ALIYEKUWA ANAPONA KWELI?..Kama naye anahusika basi atajwe tu na achukuliwe hatua kali za kisheria!
Vijana wanaangamia mtaani!
Hivi hao vijana wanalazimishwa kutumia hayo madawa?Kama naye anahusika basi atajwe tu na achukuliwe hatua kali za kisheria!
Vijana wanaangamia mtaani!
Kuongea juu ya rais sio kutokumuheshimu,ulikuwa na hoja kama yangu.Umenena kweli tupu.
Naona wabunge wanalalamikia kuhusu heshima yao wengi wao wa upande upinzani lakini wanasahau kwa namna wanavyo ongea bila hata breki juu ya rais ambaye naye anastahili heshima sawa na wao wanavyostahili.
Ukitaka kuheshimiwa jiheshimu na waheshimu wengine na si kutaka heshima upande wako tu bila kujali heshima ya wengine.
Pumba tupu!!!!Unatetea nn ww!! Km anahusika atajwe tu..tumewachoka...
Na kama hausiki na akatajwa kwa sababu za kisiasa upo tayari kuwa responsible (hata ikishindikana duniani, basi kwa Mungu)?Kama naye anahusika basi atajwe tu na achukuliwe hatua kali za kisheria!
Vijana wanaangamia mtaani!
Siasa za kuchafuana hazitalisaidia taifa letu. Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni vizuri vifanyike kiweledi pasipo KUMWONEA mtu yeyote ama kutokana na ITIKADI zake za kisiasa.Ndugu zangu habari za asubuhi, huku tunajiandaa kulala
Tafadhali fatilia kwa makini hiki ninachokiandika hapa.. hii vita ya madawa ya kulevya ina agenda ya siri kama ingekuwa na lengo la kukomesha biashara hii haramu ingefanywa kwa kufuata kanunia na kwa weledi wa hali ya juu sana.
Kungefanywa uchungzi wa kina na baada ya uchunguzi waliobainika wangeitwa polisi kwa mahojiano zaidi kwa siri na kisha kupandishwa mahakamani.