Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

FB_IMG_1486534544134.jpg
 
Mpaka hapo jana sijaona utetezi wowote wa maana aliotoa Gwajima, Manji na Mh. Mbowe ingawa mzee Mbowe bado hajafika kituo cha polisi nasubiria kusikia upande wake pia.
 
Hawaweweseki Bali wanajibu Mapigo na kweli yamejibika!

Wewe Jaribu kumwita Mkuu wa Mkoa Mpumbavu kwny Press conference uone Kama ukienda Central utapokelewa na Kamishna na baada ya mahojiano unaandaliwa Nissan Patrol Nyeupe kwenda 'Kuombwa radhi '!

Wewe unatambulika Kama Mpiga kura, Mlalahoi Mara Mnyonge wenzio wanatambulika Kama Large Tax Payer, Mwekezaji, Mdau wa Maendeleo n.k na Dunia Nzima Wana heshma zao special

Wanyonge wenzio walikuwa wanasafisha Gari ya Mtuhumiwa kwa bendera za CCM Tena mbele ya kituo Kikuu cha Polisi [emoji12][emoji12][emoji12]Tazama video kwa Mange kimambi

Hayo ni maneno yako tu ndugu ila nakuhakikishia hakuna alieombwa radhi subiri tu report leo utaipata! na hao wanaosafisha hyo gari ni wasaka tonge wachache tu ambao wapo radhi kuuza utu wao kwa pesa! yan manji anachokifanya ni kama jeuri fulani! naona ht lile gazeti la muuza unga mwenzie jana na leo linaandika habari zake tu, wapo busy kumsafisha.
 
Kumbe kusubiri report nilidhani tuwasubiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu?[emoji18][emoji54][emoji12][emoji12]
Umeshawahi kuona Timetable ya Mahojiano anapanga Mtuhumiwa. Jana aliepanga ni Manji Au Makonda?

Wewe ukiitwa kesho nenda Leo uone chammtema kuni

Fwedhwa achana nayo!

Nyerere Mwenyewe 1983 alikatiza Likizo Butiama baada ya Sokoine kuitupa ndani Familia ya Bepari John Rupia kwenye Amsha amsha kama hii ikiitwa uhujumu Uchumi
 
Serikali lazima isemwe.......

Mahakama lazima isemwe .....

Rais kachaguliwa na wananchi na wabunge wamechaguliwa na wananchi hivyo bunge kumsema Rais( Serikali) ni wajibu wake.......

Msituletee porojo za kichama kimoja na Mawazo mgando ya kupiga mapambio kwa kila kitu......

Kama rais na serikali Yake hawataki kusemwa dawa ni kujiuzulu tu......
Hats wabunge kama hawataki kusemwa dawa no kujihuzuru pia.
 
Mkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.

Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.

Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.

Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.

Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.

*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*

NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.

1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.

TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.
Kwenye mpira wa miguu kazi hii hufanywa na mabeki. Mashabiki wakiwa tayari wameinuka kwenye viti vyao kushangalia goli, huweza kutokea beki mmoja na kutibua move ya goli. Ni juu yetu kuongeza hamasa kwa straika ili afunge goli kwenye mechi hii ya sasa. Issue za escrow, Lugumi etc ama zilipendwa au zitafanyiwa kazi muda wake ukifika.
 
Mkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.

Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.

Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.

Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.

Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.

*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*

NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.

1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.

TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.

NI WENYE AKILI TU WATAKAOELEWA ANDIKO LAKO...WAFIA ITIKADI NA WALAMBA VIATU WATAKUBEZA...!!
SIONI UKIPINGA VITA ALIYOIASISI MAKONDA, LAKINI WATAKUONA KAMA HUIONI...!! AKILI ZA WENGI NI ZA TRAIN...LILIKOTAZAMA NDIYO HUKO HUKO...!!

Tafakari...!!
 
Na hii inathibitisha ile per cent 80 iliyotaka mfumo wa chama kimoja uendelee ilikuwa sahihi.Angalia leo hii ktk vita hii ya mihadarati upinzani umekufa ganzi.Tunawaona wanaccm tu wengine wakipigana vita hii na wengine wakikosoa kwa kupendekeza njia mbadala.Nimeshangaa hata mpambanaji wa upinzani anayeaminika KC Zitto Kabwe amepigwa ganzi!Kuna nini jamani huko upinzani?Nijuavyo mimi mlango wa ruzuku ya vyama ni mmoja tu Serikali, sasa kwa nini wapinzani mnashindwa kuiunga mkono ktk hivi vita.Hata kama kutajwa kwa KUB kumewakera yule ni binadam ana mambo yake binafsi.Mwisho niwapongeze sana ccm mmeonyesha ukomavu wa kisiasa na hasa Makonda, Nape na hata yule msukuma kwa kuwa wote mmekiri umuhimu wa vita hii.
 
Kipindi fulani tulipiga sana kelele kwamba wateule wa rais wapewe instruments ili kila mmoja aelewe majukumu yake na mipaka yake.Hili halikieleweka vyema matokeo yake limefanya wakuu wa mikoa kugeuka mawaziri.

Katika kipindi cha nusu mwaka hivi kumekuwa na matukio ya hovyo sana hapa jijini Dar Es Salaam ya kulitumia jeshi la polisi katika kutekeleza matamko mbalimbali ya muheshimiwa Mkuu wa Mkoa

Ikumbukwe kwamba jeshi la polisi lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambaye waziri wake ni Waziri Mwigulu Nchemba

Kitendo cha RC Makonda kutaka kulitumia jeshi la polisi kutekeleza matamko yake sio jambo zuri hata kidogo. Matukio ni mengi lakini mara nyingi sana Makonda ametoa maagizo kwa jeshi la polisi kufanya hiki na kile kana kwamba yeye ndiye waziri. Hii ni kutaka kuonyesha kuwa waziri Mwigulu ni waziri Uchwara jambo ambalo sio kweli.

Juzi juzi hapa alimshutumu Kamanda Sirro mbele ya hadhara kwamba anaonekana kuwabeba wauza Shisha......

Lakini pia hivi sasa kina hiki kinachoonekana vita dhidi ya madawa ya kulevya. Kiutendaji jambo hili linatakiwa kusimamiwa na waziri Mwigulu kwa kuwa anavyo vyombo vya kufanya uchunguzi na kuchukua hatua. Lakini ajabu Makonda kajimilikisha vita na kujiegeza ubavuni mwa rais Magufuli.......Huku waziri Mwigulu akiwa hana la kufanya

Jambo hili sio la kuchekewa kwani ipo siku RC atamtaka CDF aingize jeshi mtaani

Naunga mkono azimio la Bunge kuwa Ofis ya Rais awaandikie RC na DC watambue majukumu yake

RC Makonda kumpokonya madaraka Mwigulu haikubaliki
 
Nataman kujua wanafuata vigezo gan kuwataja watu..ila Mh Raisi wa Mkoa kajaribu kidogo,hii agenda ilikua ni ngumu kumeza kwa kila mtu ndio maana Mh Mkubwa ilichana ile list kabla ya kuondoka kilingeni. Kuna huyu Mh Mdogo ukimtaja basi waTz tutaridhika.
 
Back
Top Bottom