Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
List of shame ipo mkuuMtaishia kusema Lowassa fisadi kwa assumptions zenu ndio maana mlijenga mahakama ya mafisadi kuaminisha watu Lowassa atakuwa wa kwanza imedoda
Kwani makonda ndio mwenye domo lenye ithibati?Hio hainuhusu..km yupo kwenye list atajwe tu..Who is he by the way!!?? Makonda amtaje tu.
Hawaweweseki Bali wanajibu Mapigo na kweli yamejibika!
Wewe Jaribu kumwita Mkuu wa Mkoa Mpumbavu kwny Press conference uone Kama ukienda Central utapokelewa na Kamishna na baada ya mahojiano unaandaliwa Nissan Patrol Nyeupe kwenda 'Kuombwa radhi '!
Wewe unatambulika Kama Mpiga kura, Mlalahoi Mara Mnyonge wenzio wanatambulika Kama Large Tax Payer, Mwekezaji, Mdau wa Maendeleo n.k na Dunia Nzima Wana heshma zao special
Wanyonge wenzio walikuwa wanasafisha Gari ya Mtuhumiwa kwa bendera za CCM Tena mbele ya kituo Kikuu cha Polisi [emoji12][emoji12][emoji12]Tazama video kwa Mange kimambi
Lowasa kama anahusika aswekwe lupango tumechoka na wauza madawa et kisa wapinzan
Hayo ni maneno yako tu ndugu ila nakuhakikishia hakuna alieombwa radhi subiri tu report leo utaipata! na hao wanaosafisha hyo gari ni wasaka tonge wachache tu ambao wapo radhi kuuza utu wao kwa pesa! yan manji anachokifanya ni kama jeuri fulani! naona ht lile gazeti la muuza unga mwenzie jana na leo linaandika habari zake tu, wapo busy kumsafisha.
Hats wabunge kama hawataki kusemwa dawa no kujihuzuru pia.Serikali lazima isemwe.......
Mahakama lazima isemwe .....
Rais kachaguliwa na wananchi na wabunge wamechaguliwa na wananchi hivyo bunge kumsema Rais( Serikali) ni wajibu wake.......
Msituletee porojo za kichama kimoja na Mawazo mgando ya kupiga mapambio kwa kila kitu......
Kama rais na serikali Yake hawataki kusemwa dawa ni kujiuzulu tu......
Kwenye mpira wa miguu kazi hii hufanywa na mabeki. Mashabiki wakiwa tayari wameinuka kwenye viti vyao kushangalia goli, huweza kutokea beki mmoja na kutibua move ya goli. Ni juu yetu kuongeza hamasa kwa straika ili afunge goli kwenye mechi hii ya sasa. Issue za escrow, Lugumi etc ama zilipendwa au zitafanyiwa kazi muda wake ukifika.Mkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.
Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.
Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.
Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.
Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.
*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*
NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.
1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.
TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.
Mkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.
Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.
Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.
Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.
Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.
*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*
NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.
1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.
TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.
Hio sio MB GL au ML?Lexus v8