Saa 5.30 ndo ananza kuongea..!Mkuu wa mkoa anaongea saa 5 ya kingereza au? yaani saa 11 au mbona giza tu na sasa ni saa tano inaelekea na nusu au kaahilisha.
mwenye kujua atujuze popcorn zinaisha
ameanza au mimi sioni wala kusikia muda umepitaSaa 5.30 ndo ananza kuongea..!
Well saidMwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa sawa je mbinu alizotumia zilikuwa sahihi kuwatangaza hazarani ? je hao aliowataja ni nani aliefungwa ? kama hawajafungwa kwa nini aliwataja ? kwa nini pia anatumia sana kituo ambacho pia kinahusishwa na inshu ya madawa ? ukitaka kumkosoa mwenzako anza kwanza na wewe MAKONDA ni mtoo wa masikini anavyosema yeye nini juu ya ukwasi alionao kautolea wapi ? au na yeye anahusika na ngada ? anataka kuwaharibia soka hawa ili nae watu wake wapige kazi kwelikweli ?
Uko sahihi kabisa kuna kitu kikubwa kimejificha ngoja tuoneUkimya wa Mwigulu kuhusiana na swala hili unatia mashaka sana.Jamani hata pamoja na bosi wake kuliongelea,yeye hajaamsha hata mdomo!Why?Kweli ni vigumu kujua nia halisi ya RC. Makonda katika hili swala,lakini yeye kama Waziri wa Mambo ya Ndani alipaswa kutoa msimamo wake hata kama ni kwa ku-pretend tu.
Umenikumbusha kifo cha Albert mangweaUmesahau bosi wao kusaga anakula na kuuza unga
Ameanza kuongea ngoja tumsikilize. Mubashara Clouds Tvameanza au mimi sioni wala kusikia muda umepita
Kilaza wa hali ya juu wewe...hivi hata jf uliwezaje kujiunga ??Safi sana Makonda,
Chadema watanyooka tu
Tayari.. Mkuu anaongea fungua hata radio Clouds FMameanza au mimi sioni wala kusikia muda umepita
Wanasiasa na wafanyabiashara ndio wanafaidika na hii biashara ya madawa ya kulevya ndio maana tunasema hii vita ni ngumu,Makonda anahitaji support kwenye hili.Baada ya Makonda kukamata baadhi siku ya pili Nape akaanza kuwatetea siku ya 3 mbunge Goodluck Mlinga akasema anawajuwa atawataja baadae tena Msukuma akaanza kutoa tuhuma kwa Makonda.Muda unavyokwenda mengi yatajulikana I hope Makonda ataendelea kuwasha moto tuyafahamu mengiUkimya wa Mwigulu kuhusiana na swala hili unatia mashaka sana.Jamani hata pamoja na bosi wake kuliongelea,yeye hajaamsha hata mdomo!Why?Kweli ni vigumu kujua nia halisi ya RC. Makonda katika hili swala,lakini yeye kama Waziri wa Mambo ya Ndani alipaswa kutoa msimamo wake hata kama ni kwa ku-pretend tu.
hii vita sio ya kuropoka ropoka. hili sio swala la sukari au mahindi ya njaa. tusimjudge mwiguluUkimya wa Mwigulu kuhusiana na swala hili unatia mashaka sana.Jamani hata pamoja na bosi wake kuliongelea,yeye hajaamsha hata mdomo!Why?Kweli ni vigumu kujua nia halisi ya RC. Makonda katika hili swala,lakini yeye kama Waziri wa Mambo ya Ndani alipaswa kutoa msimamo wake hata kama ni kwa ku-pretend tu.