Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Issue ya madawa ni serious lakini naona kuna juhudi za kutaka kuizima taratibu ili biashara iendelee.

Na watanzania tusipoungana ktk vita hii na Ku support kinachoendelea tunarudi kule kule .

Sabotage sabotage sabotage!!!!!!???!!!
 
Ukitembea Tanzania Viwanda Vilivyokufa Hatujaona Vipya Waende Wakavifufue Kuliko Kujenga Vipya
 
Issue ya madawa ni serious lakini naona kuna juhudi za kutaka kuizima taratibu ili biashara iendelee.

Na watanzania tusipoungana ktk vita hii na Ku support kinachoendelea tunarudi kule kule .

Sabotage sabotage sabotage!!!!!!???!!!
Hilo ni kweli lakini kama uijuavyo nchi yako hilo limepita. Jaribu kuvuta kumbukumbu ni jambo gani limewahi kufatiliwa hadi mwisho na tukaona matokeo chanya? Hivi unataja watu wanaojihusisha kwenye madawa ya kulevya kwa a.k.a zao kweli wengi eti huwajui majina unataja mmiliki wa..... na wengine unawakosea majina yao...... Are you serious with what you are doing!!
 
Hii ilizima kuzungumzia ukame na njaa nadhani tutarudi kuzungumzia hilo tena
 
Back
Top Bottom