AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
Nitaanza na ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA.
nikija kwa FREEMAN AIKAELI MBOWE:
1. Ni mchungaji mwenye waumini wengi. waumini wake wataendelea kumwamini vipi? hasa walioko nje ya nchi?
2. ana makanisa asia na ulaya, wenzetu wazungu wako sensitive sana na madawa ya kulevya, wameshasikia jamaa ni mhusika wa madawa, atatumia garama kiasi gani kuzunguka huko kote duniani walikokuwa wanamuita akafundishe na kuhudumia makanisa na mikutano, ili ajisafishe? na nani atamsafisha?
3. mialiko ya mikutano ya injili nje ya nchi itaendelea kwake wakati ametuhumiwa tuhuma mbaya kiasi hicho? amepimwa na kukaguliwa nyumbani kwake na hajakutwa na kitu, je, wamerudi kumsafisha kwamba sio mhusika, na taarifa hiyo itawafikia waumini wa nje waliokuwa wanasubiria mikutano yake? na atakapokuwa anahubiri nje ya nchi au hata hapa, ni watu wote watakuwa na imani naye?
4. visa kwa nchi zinazopinga madawa ya kulevya atapata?
5. waliokuwa wanatoa misaada kwa kanisa, wataendelea kuitoa?

1. ni mfanya biashara wa zamani, wazungu wataingia naye mikataba tena na ana tuhuma ya madawa?
2. ni mwenyekiti na mhusika mkubwa sana wa cdm, nchi marafiki wa nje wa cdm wataendelea kukiamini cdm wakati mwenyekiti wake ametuhumiwa? nani atamsafisha kwa wazungu? lini na kwa namna gani atasafishwa?
hapo ndipo tutajifunza kuteua viongozi wenye hekima ya Mungu.2. ni mwenyekiti na mhusika mkubwa sana wa cdm, nchi marafiki wa nje wa cdm wataendelea kukiamini cdm wakati mwenyekiti wake ametuhumiwa? nani atamsafisha kwa wazungu? lini na kwa namna gani atasafishwa?