Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Nitaanza na ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA.
1. Ni mchungaji mwenye waumini wengi. waumini wake wataendelea kumwamini vipi? hasa walioko nje ya nchi?

2. ana makanisa asia na ulaya, wenzetu wazungu wako sensitive sana na madawa ya kulevya, wameshasikia jamaa ni mhusika wa madawa, atatumia garama kiasi gani kuzunguka huko kote duniani walikokuwa wanamuita akafundishe na kuhudumia makanisa na mikutano, ili ajisafishe? na nani atamsafisha?

3. mialiko ya mikutano ya injili nje ya nchi itaendelea kwake wakati ametuhumiwa tuhuma mbaya kiasi hicho? amepimwa na kukaguliwa nyumbani kwake na hajakutwa na kitu, je, wamerudi kumsafisha kwamba sio mhusika, na taarifa hiyo itawafikia waumini wa nje waliokuwa wanasubiria mikutano yake? na atakapokuwa anahubiri nje ya nchi au hata hapa, ni watu wote watakuwa na imani naye?

4. visa kwa nchi zinazopinga madawa ya kulevya atapata?

5. waliokuwa wanatoa misaada kwa kanisa, wataendelea kuitoa?

nikija kwa FREEMAN AIKAELI MBOWE:
1. ni mfanya biashara wa zamani, wazungu wataingia naye mikataba tena na ana tuhuma ya madawa?

2. ni mwenyekiti na mhusika mkubwa sana wa cdm, nchi marafiki wa nje wa cdm wataendelea kukiamini cdm wakati mwenyekiti wake ametuhumiwa? nani atamsafisha kwa wazungu? lini na kwa namna gani atasafishwa?
hapo ndipo tutajifunza kuteua viongozi wenye hekima ya Mungu.
 
KAMA aliyemteua ndio alitaka iwe hivyo!
lakini ni uonevu mkubwa sana, na inasababisha hasara na kukosa madili kwa watu wengi. hao waliokwisha tajwa, na wamekaguliwa hawahusiki, tayari wameshachafuliwa majina yao bure, biashara zao zitakuwa matatani na sio leo au kesho watu wengine kuwaamini tena. ni uonevu wa hali ya juu. mfano wake ni hao wawili, gwajima na mbowe...wameshapata hasara kubwa na itachukua muda mrefu kuwasafisha.
 
Kwani haiwezi haribia waliotaja?
 
Nchi hivi sasa inaendeshwa kwa visasi.....

Katika ile big four iliyotajwa, yaani Mbowe, Manji, Gwajima na Idd Azzan, ni kama tu ni mkakati maalum wa kuudidimiza upinzani.

Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema.

Manji anafahamika kwa jinsi alivyompa full support mzee wa mamvi wakati wa uchaguzi mwaka 2015.

Askofu Gwajima pia anafahamika kuwa ni mtu aliyemshabikia sana EL wakati wa uchaguzi mwaka juzi.

Huyo Idd Azzan naye inasemekana ni supporter mkubwa wa mzee wa mamvi.........
 
Mbona kama itawaweka katika mazingira ya kuaminika zaidi maana wataonekana walituhumiwa na kuonekana wasafi!
 
lakini ni uonevu mkubwa sana, na inasababisha hasara na kukosa madili kwa watu wengi. hao waliokwisha tajwa, na wamekaguliwa hawahusiki, tayari wameshachafuliwa majina yao bure, biashara zao zitakuwa matatani na sio leo au kesho watu wengine kuwaamini tena. ni uonevu wa hali ya juu. mfano wake ni hao wawili, gwajima na mbowe...wameshapata hasara kubwa na itachukua muda mrefu kuwasafisha.
"WALIOKISARITI CHAMA wakati wa uchaguzi washughulikiwe" Haujawai kusikia usemi kama huu huko nyuma. Haya akili za kuambiwa Changanya na zako sasa. Sasa hapa kombora linatua popote
 
Makonda umefanya watu tusijadili kabisa matokeo ya kidato cha nne. Mkoa wetu umeingiza shule 6 kwenye kumi mbovu. Sasa hivi issue ni ngada kila kona.
 
Kusambaratishwa kwa danguro la dada poa kona bar afrika sana na buguruni kwa kimboka
 
hahahaaaaa mkuu hujajua kinachofuata ni yule malaika atashushwa aje azime mitandao na wale walioama chama kunyooshwa
 
Loading......................

Karibu tutabiri.
Next issue ni mashoga maana mh naibu wazir amesema atakuja kutujuza mapunga...wasiwasi wangu ni kuwa kashawalinda wakubwa na cerebrities maana kasema atataja wale wanaojiuza mtandaoni tuu ila sio watuhumiwa wa ushoga so akna madimpoz,na adui wa mange kimambia nahsi washapona!
 
Back
Top Bottom