Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Unapomtaja mtu uwe na ushahidi, Je makonda anapata wapi ujasiri wa kutaja majina ya watu hadharani bila ushahidi?
 
Waandishi wa Habari wengine Ni Vilaza Wakupindukia sijawahi ona. Mtu anauliza swali mpaka wenzake wanamkimbia ha ha haaaaaaaa
 
Mwishoni mwa wiki ya mwezi wa mwanzo wa February 2017 tulishuhudia attention yote ikielekezwa kwenye madawa ya kulevya kwa kuhusishwa wasanii na watu wa chini kabisa eti ni wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya nakutakiwa baada ya yule kijana mdogo kabisa sina hakika na elimu na upeo wa akili yake kuliteka jeshi la polisi na vyombo vya habari mimi kwa mawazo yangu nasema kalidhalilisha na kulishusha thamani jeshi la polisi.

Baada ya drama zote zile waliotajwa kuhusika na kadhia ya dawa za ulevya masikini za mungu waliitikia wito wa Makonda na kufika kituocha kati cha polisi cha Daresalaam wenyewe bila ya purukushani za polisi .Wengi wa Watanzania wakiamini safari hii dawa za kulevya zitapungua lakini la kujiuliza njia ambazo polisi walikubali kuchezewa na Makonda ku deal na hawa watu wa madawa ya kulevya ni sawa ?

Baada ya figisu figisu cinema yote imegwaya watuhumiwa wamekula gwaride lakichura mbele za watu bila shaka hawakukutwa na hatia hata kama ni watumiaji na hii kutokana njia zilizotumika ni za ovyo kabisa. ni sawa na kuliabisha jeshi la polisi . Lakini ni nani anampa Makonda ujasiri wa kulichezea jeshi la polisi ? kama sikosei ni huyu huyu Mkonda alihusishwa na kumfanyia vurugu Mh Jaji warioba wakamkwida kama kikojozi sijui tunaweka kumbu kumbu ?

Yote tisa kumi ile drama imetuwacha hoi jinsi ilivyokwisha kwa waliohusishwa na madawa ya kulevya na watumiaji tulitegemea iwe ndo starting point .watumiaji wawataje wanaowauzia na wapi wanapata na hawa ndiwo hasa wa kuitiwa waandishi wa habari na kanikwa picha zao lakini bila ya aibu tunasikia watuhumiwa baada nao kudhalilishwa wamepewa bondi hewa ya sh milion kumi na wataangaliwa tabia zao sijui miaka 2 na mitatu what a shame !

Polisi na Makonda mnaelewa maana drug addict ? mliwatuhumu na kuwafanyia uchunguzi kwa mda gani mpaka mkakurupuka kuitisha waandishi wa habari halafu leo mnakuja na hukumu za rahisi rahisi namna hii ? hii ni more than JOKES .. Ama tuamini maneno ya Wema Sepetu kama Makonda anatafuta KIKI sijui nini ? au baada ya kina Nape kuingilia kati ndio upepo umebadilika ? JESHI LA POLISI INAFAA MUJIANGALIE NA KUJTATHMINI UPYA MUMEDHALILIKA na pia MUME TU DISSAPONT SANA.
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Usipende kuropoka ndugu...Usikubali kuendeshwa na hisia hebu jitahidi kuchanganua mambo kwanza.
 
Mleta mada acha bange..pumbavu
Hayo majina yakwapi sasa.?
yupo live saivi clouds fm akimaliza ndo atawapa waandishi wahabari hayo majina tuliza wenge
kataja baadhi tu km mbowe,gwajima,Hussein pamba Kali,manji n.k
 
Aseme na urafiki wake na wakina Saalah na GSM..... AACHE UNAFIKI. huwezi ona boriti jichoni mwa mwenzako wakati wewe una banzi jichoni mwako.
 
MTU wa upinzani ni vigumu kufanya biashara haramu. Watapatia sababu ya kumnyaka
Anakuwa mkali maswali ya Masigange
 
Watanzania sijui lini mtakuja kujitambua, wasipotajwa shida, wakitajwa shida!! Mbona husemi kwa nini Gwajima Na Idd Azan wametajwa!? Wapumbafu tuko wengi nchi hii, na dawa yetu ni mkono wa chuma ili tunyoke!!!!
Hawa jamaa wapuuzi ndugu
Kutajwa mbowe tu
Bora angetajwa hata babake!!
Dawa itawaingia awamu hii
 
Lets be serious tumuunge mkono mkuu wa mkoa na Rais wetu,hii vita ni yetu sote madawa ya kulevya yameharibu familia nyingi na nina hakika kila ukoo kama sio familia ina teja mmoja au zaidi. Tuweke mbali mambo ya siasa na itikadi tuhangaikie hili jambo,,,,,,Pamoja tunaweza.
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
pumbfff tu wewe
 
litakuja suala la ushahidi sasa kuwataja nampongeza hatua ya pili kusibitisha sasa kama madawa yapo kwa hao watu na wanahusika nayo kutajana easy
 
Back
Top Bottom