Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Usipende kuropoka ndugu...Usikubali kuendeshwa na hisia hebu jitahidi kuchanganua mambo kwanza.
yako wapi sasa hayo maneno ukamwambie mkuu wao wa mkoa pale kituo cha kati, majina hayo ndo yaliyotajwa leo unasema naropoka shame upon you
 
Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.

Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Hakuna masilahi ya wasukuma hapo Makonda anapiga kazi sana anastahili pongezi
 
Lengo lao nikumtoa ktk uenyekiti wake wa chama baada ya kuona wanachemka kumuweka mtu wao
 
Aseme na urafiki wake na wakina Saalah na GSM..... AACHE UNAFIKI. huwezi ona boriti jichoni mwa mwenzako wakati wewe una banzi jichoni mwako.
Nenda katoe taarifa basi pale kituo cha kati.
Hapa hatakusikia.
 
Kuna shida kubwa sana kwenye Tasnia ya habari...
 
Hawa jamaa wapuuzi ndugu
Kutajwa mbowe tu
Bora angetajwa hata babake!!
Dawa itawaingia awamu hii


moto chini namuunga mkono makonda ila usisahau upande wa pili kwenye kusibitisha kama kweli hizo ndo biashara zao mwanzo wametajwa

makonda mwishoni kamalizia kwa kusema tuliowaachia tuliwataka wawataje na kushirikiana na sisi ina maana kama hukutaja hutoki swali je kama mtu alitaja ili atoke inakuwaje?
 
Back
Top Bottom