Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Siyo mbaya awataje wote tu na kwnz km sio wakazi wa dsm yy km mkuu wa mkoa wa dsm atawapataje au yy ndo mkuu wa mikoa yote tz?bt m namwomba awataje wote tu asitaje list fupifupi en atupatie majibu ya utajiri wake wa kukaa nje ya nchi kwa mwezi na zaidi
 
nilijiuliza hili swali tokea mwanzo na nitaendelea kujiuliza mpaka pale nitakapopata majibu halisi. sidhani kama kuna mwenye dhamira ya kweli ya kupambana na uuzaji na utumiaji Wa dawa za kulevya Bali naona mwisho Wa hili tunaweza kushuhudia viongozi wengi Wa upinzani wakiishia Kuleeeeeeeeeee! huenda hii ni mbinu Moja wapo waliyoamua kuja Nayo. Muda utasema

Kwanini wasiondoe vyma vya upinzani wabaki wawo wenyewe!?
 
Huyu Kijana hii sasa si kazi yake kwa kweli. Tunamsifia sana lakini yakimshinda mbele ya safari itakuwa aibu sana kwa Taifa. Wale wala Unga wa jana wakina TID ni size yake kabisa. Lakini anapoelekea ni suala la kitaifa ni kazi ya mawaziri husika na baraza la mawaziri. Ni sawa ninamuunga mkono lakini mbona protocali kwake inagoma. Nani yupo nyuma yake?. Ok Ngoja tusubiri.
 
Jamaa anatakiwa awe vizr sana sasaiv awe makini sana maana amegusa ma taikun... tusije tukarud na uzi wa r.i.p
 
kwanini umeona Mbowe tu ndo kasingiziwa, unafiki utatubakisha hapahapa tulipo watanzania
Siasa za Makonda ni za chuki.Wale waluosemwa na Sema kwamba wamehonga wakafutiwa mashtaka amewataja??Diamond amemtaja??Mmiliki wa zile shule zenye jina kama za wakatoliki je??Ifike mahali Tuache siasa chafu. Mnadhani Mbowe angekuwa anafanya hiyo Biashara mpaka leo angekuwepo??

Kuna siku hizi chuki zitatufikisha pabaya.Tutaishia kaka naomba nisamehe umeshaharibu sifa ya MTU.

Angewasikiliza wenye taaluma yao kuliko kuropoka.
 
Kwa hiyo nikimpigia simu na kumwambia nanihii naye anatumia dawa, kesho atakwenda kwenye media kumtaja??? Ha ha ha, hii nchi sasa inakuwa hatari kweli kweli...
we nae kashasema hawataji mtu bila kufatilia, hivi umemsikia kweli au mihemko tu...
 
Ni vizuri ila ajitaidi kila linalowezekana athibitishe hizi tuhuma akishindwa atadaiwa fidia ya kuwachafulia jina lao maana hao ni wafanyabiashara siku zote wanaangalia fursa ya kupiga ela.
 
Back
Top Bottom