Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

M

Makonda ni kijana wa vuijiweni, hana ushahidi hata tone zaidi ya kutafuta misifa
Angetakiwa ajibu tuhuma za Jana bungeni kwanza na katika list hiyo ameshindwaje kuwataja watoto wawili wa marais wastaafu?
Unataka ushahidi sana asee....Mbona mnapenda kuexgrate mambo hivo....?? Hii kazi haifanyi yeye peke yake bwana. camon men.Madawa sio mazuri aseeeeeeeeeee
 
Duh hii vita sasa naona clouds FM nao wanataka kutumia huu mwanya kufanikisha mission yao ya kuchafua majizo na wakiweza abakie hana kitu ili waendelee kutawala wenyewe. Ila makonda akiwa mnafik ipo SIKU yatampokea puan na hata amin achaa apende sifa
 
Hii vita ni ngumu lakini at least makonda kajaribu hata kama atashindwa mbele ya safari
 
nimekuwa nikifuatilia snaa hizi inshu za drug dealers america ..karibia kila kiongozi yoyote america anapokuja na sera za kuwakamta wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya america huwa anaishia kufa gafla au kupigwa risasi....

hii ni kwa sabab drug dealers wana mtandao mkubwa sna na wanafadhiliwa na watu wenye pesa kama mtandao wenyew unavyojulikana kuwa kuna pesa ....yani kila drug dealer mkubwa lazima awe na bastola yani hicho ni kitu cha kawaida snaa ....manake kama ingekuwa ni america wew unayetangaza watu hadharani na kusema wajisalimishe yan tayr unaanza kuwindwa na wew..unawinda huku inawindwa pia ...
ile ni vita kubwa snaa sijui kwa hapa bongo
..(cursed skinned ppl)
itakuwaje...
kama kweli na wao wana mtandao mkubwa sijui tu lazima mtu afe hapa...unless otherwise wawe ni drug dealers uchwara.....
but kama kweli ni drug dealers under sponsored mamaaaae kuna damu zinamwagwa...

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
hebu tutajie majina ya viongozi watatu tu wa marekani unaowafahamu ambao walikuja na sera kama hizo wakauawa?
 
Nadhani kinachofanyika kina hasara zaidi kuliko hasara ulizojaribu kuainisha hapa! Inaweza kuwa vigumu kuelewa, lakini huo ndio ukweli na mwingine ni ushabiki usio na tija katika jambo "sensitive"!
Mataifa kama Mexico, USA, China, ASIA, RUSSIA wanafanya kila namna ya kundokana na tatizo hili wewe unaongelea faida za hii biashara ya madawa!...Labda sijakuelewa vyema!! Hii ni habari mpya...Unaweza walau kutupatia faida 1 ukiachilia maswala ya kitabibu hospitalini
 
mi nielewesheni. kuwataja watu bila ushahidi kuna faida gani zaidi ya kuwafanya wawe makini na uuzaji wao. mana mi nlitegemea kama kweli wako genuine na hii vita na wanawajua hao wanaouza madawa y a kulevya je kwa nini wasiwategee mitego wakawakamata wakiwa na ushahidi mikononi wakafunguliwa mashtaka na kupewa adhabu ili wawe mifano.. sasa kumwambia mtu ambae hata ushahidi huna aje akariport kituoni kuna faida gani? kuna kitu hakijakaa vizuri hapo

1.Hayo majina unayoyaona yametajwa ya wahusika (watumiaji na wasambazaji) wahusika wanajulikana miaka yote kilichokuwa kinawapa kiburi ni fedha walizokuwa nao,Polisi/viongozi walikuwa wanahongwa wanakaa kimya

2.Hujui hii biashara vizuri unafikiri kwa nini yule Duterte hajatumia mahakama yeye mwenyewe anawaua ?

3.Huu upinzani unaotokea ulitarajiwa na ndio maana huko nyuma viongozi wengi huko nyuma hawakutaka kuingia kwenye hii vita

4.Hii vita inahitaji massive campaign wahusika wote (watumiaji,wasambazaji,wafanyabiashara ) na jamii kwa ujumla wafahamu kwamba hii biashara ni haramu
 
Jamani mbona maagizo unanitaja unategemea utakuta uthibitisho zoezi hili linanitia shaka kama kweli wamepania kutokomeza madawa wafanye kama ilivyofanyika operesheni uhai ndiyo tutafanikiwa tuhuma za kutajana no kukaribisha vurugu na kuhatarisha amani kwa wananchi zoezi ni sahihi lipelekeni kitaalamu siyo dizaini hii
 
Kwanini anatetewa Mbowe tu kwenye huu uzi? mbona Manji na akina Zungu hawana watetezi?
Mi ndio naposhangaa hapo mbona Yanga hawapigi kelele, wakati chairman wao nae yupo kwenye listi
 
makonda ni waziri au mkuu wa mkoa


makonda acha kutafuta kiki vita ya dawa za kulevya ata ukipewa mtaa tuu hiyoo vita hutaweza

usimsahau yule bos wako uliekuwa unambrush viatu


chuma cha mjerumaniJF-Expert Member
#4
Jan 6, 2017

Unga ni vigumu kuzuilika cha msingi ni kuomba Mungu.
Mtandao ni mkubwa na hatari.
Ata raisi mwenyewe hawezi sababu kubwaa watu wanaotakiwa kumpa taarifa wamewekwa kiganjani.
 
Majuzi ilisemwa kuna mawaziri badala ya kufanya kazi wanakalia kujiandaa na urais 2020. Wakakemewa.

Saaa naona waziri wa mambo ya ndani hajapewa info kapewa mkuu wa mkoa. Pengine ni coincidence japo katika siasa hakuna bahati mbaya wala ajali. Yote ni mipango.

Turudi nyuma kdg. Alimpiga warioba na kufunga viatu vya riz1. Ana uswahiba mkubwa na GSM ya Ghalib Salaa wa Home Shopping Centre na Silent Ocean. Nao wana vijituhuma vyao kwenye kodi huko na humu kitaa.

Yote hayo juu weka pembeni. Amepewa ukuu wa wilaya. Akapaishwa fasta mkoani. Na sasa amepewa jukumu la waziri wa mambo ya ndani. Kwa makusudi au bahati mbaya lakini kuna tatizo mahali.

Ama Warioba ni mbaya sana kuliko tunavyojua au GSM ni wasafi sana kuliko tunavyojua. Vyovyote vile, huyu bwana anaendelea kupanda chat na kuna harufu za wizara na labda hii ni probation.

Muda utasema!!
 
Vita ya madawa ya kulevya iendeshwe hadharani hivi!! This must be a joke. Hii siasa tu. Huku ni kuchafuana mwisho wa siku mnaambiwa hamna hatia wakati mmeshautangazia ulimwengu mzima. Kwa mtindo huu wadanganyika wenye upeo finyu wanahadaiwa ili waanze kushangilia na kusifu. Hahahaaa hii ni kama mahakama ya mafisadi isiyo na washtakiwa. Wamepotea ghafla hakuna wa kumshitaki. It was politics from the beginning
 
Hata uandike Kimexiko nini Kiingereza lkn Mbowe chadema ni Muuza Sembe!

Ukitaka kujua serekali hii inaendeshwa kwa siasa za kitoto na chuki za kipuuzi hebu angalia hiyo list, imejaa nicknames kibao. Kwa watu walio serious tena na jambo ovu kama hilo wangejiridhisha na kupata majina halisi. Sasa hata kupata majina halisi ya watuhumiwa umeshindwa utawezaje kujua kama wanafanya hiyo biashara. Watu wenye uelewa tunawadharau na kuidharau serekali yetu kwa sababu ya huu utoto.
 
Bavicha leo hawaamini kilichotokea, walikuwa wanamshinikiza Makonda aachane na vidagaa ataje mapapa, kilichowakuta hawana hamu
 
Back
Top Bottom