Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mzee wa media, naona itv wamemchunia leo, kesho lazima awaongeze kwenye orodha yake! hahahah vita ya ngada, never seen before
 
Kauli ya Paul Makonda Tuko na majina 65, nitahitaji kukutana nao ijumaa, wako wanaosemekana wanatumia, wako wanasemekana zitatusaidia

I hope Mbowe atakua kwenye taarifa ambazo zitawasidia


UFIPA HAS FALLEN
 
- Ile list of shame ya Mwembe Yanga si yalitajwa majina ya Viongozi wa CCM na haikuwa tatizo, yaani kumbe wakitajwa wa huko linakuwa tatizo? hahahahahaha

le Mutuz
Unataka nikutusi? Noo I wont! Ila (Tusi kuu) Na dole la kati nimelielekeza(sehemu ambayo sitaitaja kwa sasa)
 
Tatizo LA wafuas wa Chadema Kuna kitu Hawa elewi Ila mpaka 2020 watashtuka wengi.. Nacho ni <br />Uchaguzi wa mwaka JUZI ulikuwa ni baina ya makundi mawili wasafi na wachafu kama Unakumbuka team mbili za ccm kubwa kwenye Mchakato zili Feli.. Kikwete kuona wakose wote akakuletea magufuli Sasa wale WA upinzani wakaungana kutaka kuharibu zaid hii nchi .. Asante MUNGU rais akawa magufuli.. Viongozi wa Chadema ni ma dealer Hilo wengi wanakataa Ila ni ukweli. Ukafanya TATHMINI utagundua vita hii ni kubwa Ila magufuli kaamua kulimaliza kabisa.. Wanachama wa Chadema Hamna makosa.. Ila mmeshikwa Kwa nguvu za giza na viongozi wenu.. Poleni Sana kwenye uchaguzi wa ndani next time msiwarudushe mafisadi wa CCM waliamua kuzamia kwenu.. Hii vita sio ya makonda peke yake amini hivo.. Hata HiVyO hatuna Muda WA kuwabembeleza nyie mnaokosoa mpo wachache Sana hamuwez kufanya hii vita Irudi nyuma.. Phase namba three mtazid kutoka povu mkitajiwa godfather mkubwa huko chamani kwenu.. Halafu ili ku balance watatwaja na makada maarufu WA CCM. Hautaamini tuone mtaendelea kumtetea yupi au wote.. <br />Say no to ngada. Awamu hii sio ya nne wengi bado mmelala.. Hamjui kinachoendelea
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo wa mkoa kushindwa kulitaja jina la Agness Masogange kwenye orodha ya kwanza ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya.


Akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari Jumatano hii ofisini kwake wakati akitaja orodha ya pili ya watuhumiwa wa madawa hayo, Makonda amesema, “Ukitaja jina kwanza utakuwa unaingia kama vile unajitahidi kuhama.”


“Hebu wewe kama una taarifa za mitandao sahihi tuambie tu, ndio maana nimesema tunapokea kwa wenyeviti wa mitaa, tunapokea wapi, wewe kama una taarifa sahihi wewe tuambie tu. Lakini usiibue taarifa kwa sababu wewe una jambo la kujibu ukaibua taarifa nyingine tena siyo rasmi, tena nimeeleza hapa ukiwa kwenye mahabusu au popote pale chini ya usimamizi hata simu huruhusiwi kuwa nayo,” ameongeza.


“Kwahiyo bado vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kucheki pia utaratibu gani uliotumika kwa mtu kujirekodi na kuanza kutoa matangazo wakati upo sehemu sahihi ya kutoa hizo taarifa.”


Majina 65 ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya yametajwa kwenye orodha ya awamu ya pili yakiwemo majina makubwa nchini Freeman Aikaely Mbowe, Yusuf Manji, Mchungaji Josephat Gwajima, Iddi Azan na Hussein Pambakali.

Chanzo: Mpekuzi
 
ccm kufa yenyewe kwa kujichemsha kwenye mafuta yake yenyeww.
 
Mh. kapangua gia vizuri sana...!
Asiteteleke, yupo kwenye vita..
 
Mkuu mbowe ana wanachama zaidi ya milion 3 nyuma yake sasa kumuita kwa cost ya wanaccm ambao wapo nje ya system kma azzan au sepetu ni kumchafua na kuchafua upinzani kwa ujumla.

Kma aliona amsaidie kumpa ushirikiano kwanni asingemtafuta amsaidie kisirsiri mpaka amuite kwenye vyombo vya habari?? Akijulikana hana hatia haoni bado kuna watanzania wataamini mbowe ni mchafu??

Whether its mbowe or manji still hakuna haja ya kuwataja kma bado hakuna ushahidi wakutosha
mbowe anahusika kwanamna moja au nyinginekwasababu ni kweli BILLICANAS imehusika kuuza na kusambaza madawa na mkuu kasema kama ofisi yako inahusika na usambazaji means na wewe ni muhusika
 
Katika hali isiyotarajiwa na wengi, baada ya majina ya awamu ya pili kutajwa ambapo majina ya baadhi ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya yameishtua nchi kama sio East Africa kwa ujumla,

Baada ya majina ya baadhi ya watumishi wa umma wenye hadhi kubwa serikalini kutajwa, jambo ambalo limemshtua mwana mama mange kimambi, ambaye alikuwa akiapa siku zote makonda hawezi kuwataja mapapa wakubwa kwani anawaogopa,

Hata hivyo mwanamama huyo ameendelea kumwaga shutuma chafu dhidi ya mkuu wa mkoa makonda.
 
Usalama wa wenyeviti wa serikali wa mitaa umehakikishwaji? Maana anatumia nguvu nyingi kuonyesha kuwa yeye hana nongwa ila ni wenyeviti wa serikali za mitaa walioyaleta hayo majina. Kama yeye mwenye ulinzi anachomoa na kujivua lawama, je sisi wenyeviti wa serikali za mitaa tusio na ulinzi ambao anatubebesha hilo zigo tupo salama kiasi gani
 
Back
Top Bottom