Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

warumi umesikia ya lulu na majizo na hamisa? eti toka majizo awekwe ndani lulu hajaonekana pande hizo .hamisa ndo anapeleka chai ya baba mtoto! watu wanajua fursa balaa
lulu yupo kimaslahi bwana wewee!
jela kaa na mzazi mwenzio huyooo!!
ukirudi tule bata!!

Ila lulu watu wataanza kumuogopa haswaa mapedeshee
 
Mmelia na "Vidagaa"..sasa Mmeletewa "Fish fillet"

Uzuri Mkuu hakai mbali na Bahari.
Huu mchezo hauitaji hasira, umekuwa kituoni, nenda kwani tatizo liko wapi??
Boss wake kaitwa sasa akamtetee lakini sijui kama hawajakutana huko huko mahabusu wagome kula pamoja
 
lulu yupo kimaslahi bwana wewee!
jela kaa na mzazi mwenzio huyooo!!
ukirudi tule bata!!

Ila lulu watu wataanza kumuogopa haswaa mapedeshee
dogo ana kisirani yule !akikaa na mtu muda haupiti life time majanga ana spiritual husband nini akaombewe na lusekelo kabla hajapiga viroba lakini
 
ungeitwa wewe ndio ungeona kama kuitwa kituoni kuna tatizo au la
Wale wale!! Kesho zamu yako!! Unafurah sana kuona vijana wanaangamia eeeeh, kwa ajili ya wajinga wachache kuneemeka! What a shame!! Think twice boy!!
 
Kwann,wote watolewe na abaki wema tu,na wote walikua na shutuma za namna moja.au sababu wema alivyotoa maneno ya kusema mbona masogange hajakamatwa.mbona wengine hatujawaona kama Racy,chid Benz.
Si nasikia kwake kulikutwa na misokoto ya majani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bnamuuuu
umbea wa mjini umeunyakaaa....!!!!?!!

bibiye mobeto kenda mjulia hali baba fantasy..central upo ....?!!;
Yani hapa natetemeka binamu, sasa andunje ye hajui kupika chai au ndo anajua tu kupaka make up? majizzo nae akome,ebu nipe namba ya mobeto nimwambie kesho akalale central kabisa abebe mimba ya pili andunje arudi kwao tabata akauze mka

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uchungu wa baba mtoto mwenzanguu!!
tena baba full kuhudumia...!
majizoo akome kuvamia majini watu wa mjinii!!!
 
Back
Top Bottom