Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
lulu yupo kimaslahi bwana wewee!warumi umesikia ya lulu na majizo na hamisa? eti toka majizo awekwe ndani lulu hajaonekana pande hizo .hamisa ndo anapeleka chai ya baba mtoto! watu wanajua fursa balaa
jela kaa na mzazi mwenzio huyooo!!
ukirudi tule bata!!
Ila lulu watu wataanza kumuogopa haswaa mapedeshee