Baba Munah
Member
- Feb 7, 2017
- 19
- 49
Hivi unadhani kile kinachoendelea kuhusu sakata la dawa za kulevya nchini,athari zake zikoje kitaifa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanaushahidi kwann wangoje ijumaa badala ya kuamuru polisi wawakamate? Mwenye akili timamu anaelewa mchezo unaofanywa na makonda lkn hauwezi kuwa nawisho mwema.
AhsanteKuna strategies katika kufanya hivyo.
Mojawapo ni ku instigate forceful awareness kuwa none is exempted in this war.
Mbowe ana kila sababu za kuitwa polisi kujieleza.
Biashara zake za vilabu vya usiku ni kielelezo tosha kuwa anayajuwa mengi kuhusu "underworld".
Tuungane.
Sawa huyo ni mbowe, na je vilabu hawavijui vilipo? Tuachane na Mbowe what about others? Kwann wasingetuma polisi ghafla wawavamie na kusachi? Hivi unapotangaza kumtuhumu mtu kufanya jambo fulani wakati hujamkamata huoni kuwa unampa nafasi kuficha au kuharibu ushahidi wote? Mbinu anayotumia makonda hawezi kufanikiwa kamwe trust me.Kuna strategies katika kufanya hivyo.
Mojawapo ni ku instigate forceful awareness kuwa none is exempted in this war.
Mbowe ana kila sababu za kuitwa polisi kujieleza.
Biashara zake za vilabu vya usiku ni kielelezo tosha kuwa anayajuwa mengi kuhusu "underworld".
Tuungane.
Hii picha ina maana sana kwa dunia ya leo....tunaongozwa na illiberal democracy kila kona ya dunia ukiondoa westen europe.hio picha inatukumbusha kuwa hata uwe na nguvu gani basi huwezi kuifika ya Hitler..lakini hata kaburi yake hainekani...tenda wema watu walukumbuke kwa dua...Hiyo picha haikufai...hao ni third reich ....tofauti na hulka yako
Brother pamoja sana....kuna mambo ambayo lazima yatuunganishe na tuyapinge kwa pamoja.Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.
Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Wewe muunge mkono tu kama unayo nia njema...Video ya kwanza yenye Dakika Hamsini na Sita (56) na Sekunde Tisa (9), nimemaliza kuiangalia ila kuna baadhi ya vitu nimevigundua na vinanifanya nijiulize Masuali ya hapa na pale.
Nitataja vichache tu, kwanza:-
Mkuu wa Mkoa amewapa Wadau nafasi ya kuuliza Masuali lakini kuna baadhi ya Wadau waliouliza Masuali, hawakujibiwa ipasavyo, nikiwa na maana,
Wamejibiwa kwa mkato, kimkato. Moja la Suali ni la kumuhusu yeye mwenyewe binafsi kuhusiana na Nchi alizozizuru ni kama alienda kukutana na Magwiji wa Bwimbwi ili wayamalize juu kwa juu (kupunguza kasi), cha ajabu Mkuu wa Mkoa badala ya kujibu Suali, yeye anamwambia Muulizaji Suali,
"Utoto twende Suali lingine"
Huku akimpotezea Muulizaji Suali na kumchagua Mdau mwingine aulize Suali.
Hapana, hapa hakumtendea Haki Muulizaji Suali, labda tu kama angeweka Masharti kutokuulizwa Suali kuhusiana na yeye, hapo ningeelewa, lakini si kwa kuwapa Uhuru Wadau kuuliza Masuali kisha kutowajibu ipasavyo, inakuwa kama ni Dharau fulani vile.
Pili alipoulizwa kuhusu Masogange na kuhusiana na Biashara ya Bwimbwi,
Kwanza amepatwa na mshtuko, Pili hakupendezewa kuuulizwa lile Suali ingawa amejitahidi kuonesha ujasiri lakini kwa Mtu kama Mimi ambae nnao uwezo wa kumsoma Mtu nimeona kabisa pale kayumba, na kanywea kimtindo ingawa yeye Mwenyewe amejisifia ni Kidume wa kupambana na Changamoto yoyote ile ikiwemo ya KimaSuali.
Pili hapo hapo kwa Masogange kabla ya kumjibu Mdau Suali lake Kimkato, ilimchukua Muda kidogo na kufikia Kujikuna Taya, chini ya Kishavu karibu na Kidevu.
Hapa kwa upande wangu naona kuna namna fulani.
Sawa nampongeza kwa Kazi nzuri sana anayoifanya (kupambana na Madawa ya Kulevya), na sipingani nayo hata kidogo, na ninaifurahia sana, Maana mimi mwenyewe Watoto wangu bado wadogo sana, sasa niambie Mtoto wangu wa Kwanza atakapofika Umri wa Miaka Kumi na Kitu, na Ulimwengu wenyewe huu wa Madawa ya Kulevya si Mtihani wa hali ya juu. Sikatai, Malezi na Maadili wanayolelewa ni Meema ila kama ujuavyo Binaadam anabadilika pamoja na Maadili hayo hayo Mema.
Nikirudi tena kwa Mkuu wa Mkoa, pamoja na Pongezi nilizompa haina maana kwenye/penye Mapungufu nisiseme au nikae kimya, hapana ntatoa Sauti yangu.
Mapungufu kwenye hii Video nimeyaona.
Nikirudi tena kwenye Video yenyewe ,
Kuna vipande Sauti zimeondolewa/zimeminywa hii nafikiri kwasababu Maalum.
Maana nlikuwa na Shauku sana kuhusiana na huyo Mama anaewapeleka Wasichana wa Umri wa Kati Nchini CHINA na kuwalipa Ujira wa Dollars 7000 iwapo KAZI ikiingia salama
Sawa huyo ni mbowe, na je vilabu hawavijui vilipo? Tuachane na Mbowe what about others? Kwann wasingetuma polisi ghafla wawavamie na kusachi? Hivi unapotangaza kumtuhumu mtu kufanya jambo fulani wakati hujamkamata huoni kuwa unampa nafasi kuficha au kuharibu ushahidi wote? Mbinu anayotumia makonda hawezi kufanikiwa kamwe trust me.
Ok nilitaka watanjwe wale waliopo kwenye list ya kitwanga aliosema imeshafanyiwa uchunguzi wa kutosha na ipo verified kuwa waliopo wameshakuwa proven kuwa ni wauzaji na kilichobaki ni kuburuzwa mahakamani tu........ile ndio itumike ila hii ya kusema mtu aje tumuhoji wakati kumbe ushahidi hamna huoni ni kuchafuana tu after kutaja jina lake kwenye public....akikutwa hana hatia je utaita press kumsafisha??ndiio maana walisema hii vita ningumu, kwasababu bado watanzania hatuutaki ukweli kuna watu hatutaki waguswe kabisa, unaposema kuchafuana kisiasa hivi mwanasiasa pale yupo pekee yake?
Sioni haja ya kuendelea kupingana na haya yanayoendelea. Hivi kaka wewe ulitaka nani atajwe na nani asitajwe???
T U A C H E U N A F I K I TUWEKE PEMBENI KUJUANA NA SIASA HII VITA NI NGUMU
Tofautisha wale wameitwa wamiliki kma wamiliki sio individual....... ina maana shareholders wa zile casino wanaweza tuma mwakilishi tu ila kwa mbowe kaitwa yeye kma yeye sasa kma issue ni hoteli zake mbona hajaitwa wamiliki au management rather kaitwa mbowe pekee??? Je hakuna shareholders wengine???Si umeona wamiliki wa Casino wameitwa pia,au hujaona?
Halafu ndiyo kwanza awamu (phase) ya pili. Usiwe na hofu, wengi wataitwa.
Niliandika hivi:
Vita ya madawa ya kulevya ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
Ukisikia mumeo, mkeo, hawara'ko, kaka'ko, dada'ko, mama'ko, baba'ko, babuyo, bibiyo, boss wako, rafiki yako, jirani yako, jamaa yako, mchungaji wako, sheikh wako au wewe mwenyewe unaitwa kuhojiwa usistuke.
Ni vita kubwa sana ambayo inagusa kila mmoja wetu kwa namna moja nyingine.
Tupambane kutokomeza unga, ni safari ndefu na ngumu.
Nchi imeanza kutikisika na ndiyo mwanzo.
Wapenda mema tushirikiane kwenye hili la sivyo sisi sote tutaingia kwenye janga tukitaka tusitake.
Tukiyawachia haya, utafika wakati tutawekewa madawa ya kulevya mpaka kwenye pipi, biskuti ili mradi tuwe wateja na watu waendeleze ushetani wao.
Tuungane bila kujali nani ni nani.
Sawa tulitaka ataje vigogo ila njia aliotumia sio sahihi...... list bado haijafanyiwa uchunguzi unaitaja ya nni???Jamani watu walilalamika kuwa Makonda kataja vidagaa Sasa na hawa je walio tajwa tena sio vidagaa????
Yaani akijibu ndio makosa ya wala na wauza unga yatafutika au? Hao wabunge sikuz oooote hizo hawapajua takukuru? Hata kama kachukua, kaiba ngoja kwanza amalize hili, jinai haifi, atshtakiwa hata 2022 wakati huo ukawa wakiwa madarakani,kwkakwakwakkwkaa!