Samba
Member
- Nov 24, 2013
- 74
- 65
Sure!Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo episode hizi huwa zinaishia njiani. Mwisho wake huwa hatuupati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure!Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo episode hizi huwa zinaishia njiani. Mwisho wake huwa hatuupati
Kwani huyo mtu si sehemu ya chama? Na kama ni hivyo, ni kwanini ilifikia mahala chama kubwa kikaitwa chama cha mafisadi? Si kwasababu mafisadi walikuwa ni sehemu ya watu wanaounda chama hicho? Ukweli ni kwamba hata kama utakataa kukubaliana name, bado huu ukweli hauepukiki, kuchafuka kwa chama kunatokana na kuchafuka kwa watu wake maana chama ni watu na bila watu hakuna chama. Chama si majengo, magari na vitu vingine. Unaweza ondoa vitu hivi vyote lakini chama kikaendelea kuwepo maadamu watu wake wapo. Lakini ukiondoa watu chama imeshakufa hata kama yatabaki Majengo, maofisi, magari na mali nyinginezo.chama hakiwezi kuchafuka ila mtu na caree yake ndio anachafuka bwana. mbona mambo yanaeleweka???
Rais aongozi kwa fununuNatafakari kauli ya Makonda wakati akitangaza majina ya watuhumiwa wa dawa za kulevya kuwa yuko tayari "hata kupoteza Ukuu wa Mkoa". Nashindwa kung'amua. Je, inawezekana alishapata fununu za kuondolewa mapema akaamua kumtega Rais kwa kumuweka kwenye dilemma? Kwamba kama Rais angemuondoa baada ya kutaja majina angeonekana amemtosa Makonda kwa kuwagwaya wauza dawa za kulevya?
Basi wasitishe na huo wanaoita ukaguzi wa vyeti na ajira feki!Rais Magufuli hawezi kumuondoa Mh Makonda ukuu wa mkoa kisa kuna kelele kwenye mitandao kuhusu vyeti.
Hilo tusiligemee kutokea kwa utawala wa Rais Magufuli.
Sifa moja ya Rais Magufuli ni kumuamini mtu hasa anayeonesha njia kwake ni MTU muhimu sana kuliko hizo kelele.
Hizo ndiyo sifa za watu wenye personality ya Rais Magufuli.
... Hata hiki ulicholeta ni kelele pia hapa mtandaoni na yaweza kupuuzwa as well.Rais Magufuli hawezi kumuondoa Mh Makonda ukuu wa mkoa kisa kuna kelele kwenye mitandao kuhusu vyeti.
Hilo tusiligemee kutokea kwa utawala wa Rais Magufuli.
Sifa moja ya Rais Magufuli ni kumuamini mtu hasa anayeonesha njia kwake ni MTU muhimu sana kuliko hizo kelele.
Hizo ndiyo sifa za watu wenye personality ya Rais Magufuli.
Vyeti vyake vilishakaguliwa na Utawala wa Rais mstaafu Kikwete na Rais Magufuli ndiyo maana yuko kazini mpaka sasa.Basi wasitishe na huo wanaoita ukaguzi wa vyeti na ajira feki!
Sasa kwanini mamlaka husika zisikanushe? Uongo ukiachwa huishia kuwa ukweliVyeti vyake vilishakaguliwa na Utawala wa Rais mstaafu Kikwete na Rais Magufuli ndiyo maana yuko kazini mpaka sasa.
Wenye vyeti fake au vya kuazima hawako kazini Leo hii.
Mwenye ukweli na ushahidi wa taarifa hizo zinazosambaa mitandao ni si afungue kesi Mahakamani na mawakili wakujitolea wako wengi tu watasimamia kesi bila malipo maana ni wazalendo wa nchi.
Nashangaa Mch Gwajima kujitapa madhabahuni kuwa ana miliki vyeti vya watu ofisini kwake ambao hawamuhusu wala si waajiriwa wake.
Utajua mwenyewe, hiii nchi haina ukabila .Asipo muondoa ni ukabila kazini
Rais Magufuli hawezi kumuondoa Mh Makonda ukuu wa mkoa kisa kuna kelele kwenye mitandao kuhusu vyeti.
Hilo tusilitegemee kutokea kwa utawala wa Rais Magufuli.
Sifa moja ya Rais Magufuli ni kumuamini mtu hasa anayeonesha njia kwake ni MTU muhimu sana kuliko hizo kelele.
Hizo ndiyo sifa za watu wenye personality ya Rais Magufuli.
Utajua mwenyewe, hiii nchi haina ukabila .
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sifa na tanbia za rais wenu anazijua Mange
Sio kwa Bashite ninayemfahamu! Huyu kama angekuwa amesingiziwa angeishatoka hadharani muda mrefu na ushahidi wake mkononi kukanusha. Lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hata kabla ya kuona ushahidi ile namna tu ambavyo Bashite anatekeleza kazi zake ni ushahidi tosha kuwa kichwani hayuko sawa!Vyeti vyake vilishakaguliwa na Utawala wa Rais mstaafu Kikwete na Rais Magufuli ndiyo maana yuko kazini mpaka sasa.
Wenye vyeti fake au vya kuazima hawako kazini Leo hii.
Mwenye ukweli na ushahidi wa taarifa hizo zinazosambaa mitandao ni si afungue kesi Mahakamani na mawakili wakujitolea wako wengi tu watasimamia kesi bila malipo maana ni wazalendo wa nchi.
Nashangaa Mch Gwajima kujitapa madhabahuni kuwa ana miliki vyeti vya watu ofisini kwake ambao hawamuhusu wala si waajiriwa wake.
Vyeti vyake vilishakaguliwa na Utawala wa Rais mstaafu Kikwete na Rais Magufuli ndiyo maana yuko kazini mpaka sasa.