Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni.
Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota Kluger, nambari ya usajili KBS 517N, iliyokuwa ikiendeshwa na Edwin Okondo Nyagaga, kando ya Barabara ya Giribe-Masara.
Gari hilo lililokuwa limesheheni mizigo haramu, lilikuwa na magunia manane ya bangi yenye uzito wa kilo 457.6.