Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Inaonekana Mtoa mada unao upeo mkubwa sana kwenye masuala mbalimbali nyeti na yanayogusa imani au itikadi za watu mbalimbali.

Basi kwa heshima kubwa nikuombe ndugu yangu utupatie maoni yako juu ya makundi ya Alshabaab, Islamic State ( IS) na Boko Haram

Aksante kwa mada nzuri ya kuvutia
 
Akishaweka desa mezani uniite Mkuu tuje kupata "ilim" pamoja!
 
Tumechoka na baseless malalamiko. Tufanye kazi,tueneze dini kwa upendo na amani, tujikite kwenye Elimu zote,tujiamini, tuache malalamiko kila siku. Yanachosha.

Haya mengine ni upuuzi wa kila siku umeshachosha. Kutwa kulalamika kama mamie alokosa mwana.
 
Kwann magaidi wakiwa wanachinja mtu wanasoma quruan?je Kuna aya inaruhusu watu kuuwawa?
 
Upendo utapatikana vipi Kama Kuna watu wanadhulumiwa
 
Mpaka hapa ameshapotena maana ameulizwa maswali kadiri anavyojibu ndo anavyoibua maswali mengi basi amebaki kujibu yale anayoyaona yeye mepesi.
Maswali yanaulizwa nje ya mada, ya ndani ya mada yanajibiwa vzr kwa ufasaha
 
Uislam ndio dini kamili hizo zingine sawa na vikoba tu maana wanabadili maandiko kila siku
 
Ugaidi na jihadi ni concept mbili tofauti.
Una maoni gani kuhusu hivi vikundi vya Kigaidi vinavyoua maelfu ya raia wasio na hatia? Boko Haram, Alshabab, Al Qaeda, ISIS (IS) na vinginevyo vingi?

Unadhani hivi vikundi viko sahihi kufanya hujuma na mauaji dhidi ya raia wasio na hatia kwa mgongo wa dini yenu ya Kiislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…