Mwambie Allah awalinde dhidi ya wamarekani Kama Ana ubavuUislam ndio dini kamili hizo zingine sawa na vikoba tu maana wanabadili maandiko kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie Allah awalinde dhidi ya wamarekani Kama Ana ubavuUislam ndio dini kamili hizo zingine sawa na vikoba tu maana wanabadili maandiko kila siku
Haiwezekani asilani.Quran yenyewe ndiyo inaelekeza wanayotenda magaidi na wako sahihi kwa mujibu wa kitabu.kila wafanyalo Kuna Aya inasupportMimi naona waislamu wapinge hawa magaidi wasitumie jina uislamu kwenye matendo ya ugaidi kwa kisingizio wanaeneza dini ya uislamu au wanapigania dini
Sio lazima ushike kisu.tena hawa wanaweka kuwa hatari kuliko walioshika visu.kauli zao ni hatari zaidi.Siku hizi ugaidi umekuwa cheap Sana unabambikiziwa kesi tu kuwa ni gaidi alafu huna pakujitetea mana ni mfumo mzima unakuzunguka.nilisikia kule mkoa wa tanga waislamu wanalalamika kuna masheikh wao wamepewa kesi ya ugaidi wakati hata visu hawajawai kumiliki kisa cha kuambiwa wao ni magaidi na kusotea jela hadi wakati huu naandika hapa ni kwamba walikuwa wanachangisha hela KWA ajili ya kuja kujenga hospital ya kiislamu BAsi hilo ndio kosa lao kubwa hadi leo Wananyea debe maweni tanga huu ni ukwei mtupu.Neno ugaidi ni hila za wazungu katika kuwavunja nguvu waislamu huo ndio ukweli ndugu zangu na polisi wote wanaotumwa kukamata kamata masheikh wanajua hizi hila na madhila wanayo fanyiwa waislamu.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Sio Iraq tu Panama, Grenada zilivamiwa pia.kuhusu Iraq Saudi Arabia, Kuwait,Emirate,Bahrain walihofia uwezo wa kijeshi wa Saddam walitaka aondolewe na hasa baada kuivamia kuwait.uwezo huo alijengewa na marekani na haohao Saudi Arabia &Co ili kuishambulia iran.nakukumbusha Sasa nchi zote za kiarabu ni rafiki wa Israel,wanaishinikiza marekani kuishambulia nchi ya kiislamu Iran kwa kulipa gharama,na hiyo ni biashara nzuri.nenda Yemen Nani anaua hao waislamu kwa ukatili mkubwa +starvation.Nimetoa mfano wa Iraq mbona hujazungumzia huo.
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ukikuta gaidi siyo Muislam atakuwa ameajiriwa na Muislam kutekeleza ugaidi
Hata mimi namuunga mkono waziri mkuu wa Israel Netanyahuu aliposema magaidi hawaelewi lugha yeyote zaidi kuwafkelea mbali sio diplomatic hawa watuJinsi ya kudeal na magaidi ni Kama kibiti ,ukiona kizazi hiki ni haohao ni kuondoa chote hakuna mahakama waliua wauawe.
Shida nyingine hawa magaidi wanapotekeleza matukio yao ya ajabu,waislamu wengi hawayakemei matendo hayo ndio maana watu wanaihusisha hiyo dini na magaidiShida hao magaidi wanatumia uislam kuwaponza waislam wenzao. Quran ni kitabu kizuri ila kuna wanaokitumia kuhalalisha ugaidi
Ni vizuri ungeweka vifungu vya Koran vinavyo kukataza kuua wakristo ingekuwa vyema Sana.Nimesoma.huu uzi na comments za wakiristo nilichojifunza wakiristo ni watu wakiamini kitu ndio hicho hicho hata kama sio cha kweli madhali wao wamekiamini BAsi wanakufa nacho rohoni.mfano mdogo ni hili suala la ugaidi yani uwezi kumpa maelezo akakuelewa kashafundishwa hivyo na cNN.huwez kumtoa katika hiyo fikra ni haki yake ndio maana hadi leo Bado wanaamini yesu ni mungu .Hakuna wakuwazuia hata umpe dalili ya akili hawez kashaamini hivyo .hata umwambie nguruwe haifai ana madhara kiafya hawez kukuelewa hata kidogo.kwahiyo ndugu zangu waislamu hawa watu ni kuwasupport tu wanachokisema mana hata ukiwaelimisha hawakubali kwanza wanajifanya wajuaji kuwa wamesoma kupindukia ila uwezo wa vitu vidogo vidogo unawashinda.
Mfano.mtu akifanya mauaji mwenye jina la kiislamu utasikia huyo gaidi ila mtu yule yule akifanya mauaji tukampa jina la kikiristo hawez kuitwa gaidi badala yake atapewa jina lingine kama mtu asiefahamika au jina lolote .hapo unapata picha.
Turudi china kuna waislamu wanateswa na kuuliwa kisa tu ni waislamu lakin wakiristo hawaguswi na hili.je hao wanaotesa waislamu na kuwaua ni magaidi pia ??? Au KWA kuwa wauaji sio waislamu BAsi sio magaidi???
Angalizo
Uislamu huo mnaousoma kwenye media sio tulio nao huku mitaani kwetu nyie wenyewe ni mashaidi mtunaseme mtaani kwake kulishawai kutokea ambush ya kuua wakiristo???? KWA sababu ni wakiristo??
Watu waache kuaminishwa kuwa uislamu ni ugaidi na kuamini kuwa ugaidi lengo kubwa ni kuua wakiristo.
Kama ugaidi ni lengo la kuua wakiristo mbona hao magaidi wakiingia sehemu wanaua hawachagui waislamu au wakiristo.????
Kuna watu wanazungumzia kuwa kibit walikuwa magaidi hujiulizi kwann kambi iwepo kibiti ambapo ni pwani na zaidi kuna waislamu wengi na kwann wanaouliwa zaidi na hao magaidi ni waislamu KWAnn wasingeenda kuweka mbeya zone yao ili wauae wakiristo??? Tumia akili kujua hapo lengo ni nini
Wakiristo mkikua na mkaanza kutumia akili zenu vizur ndio mtajua nani kaanzisha ugaidi KWA lengo gani na KWA faida zipi
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Umesahau kilichotokea mbagala tu kwa sababu wamesikia Kuna mtoto kakojolea Quran? Hukumbuki watu walitoka misikitini na kwenda kuchoma kanisa?Nimesoma.huu uzi na comments za wakiristo nilichojifunza wakiristo ni watu wakiamini kitu ndio hicho hicho hata kama sio cha kweli madhali wao wamekiamini BAsi wanakufa nacho rohoni.mfano mdogo ni hili suala la ugaidi yani uwezi kumpa maelezo akakuelewa kashafundishwa hivyo na cNN.huwez kumtoa katika hiyo fikra ni haki yake ndio maana hadi leo Bado wanaamini yesu ni mungu .Hakuna wakuwazuia hata umpe dalili ya akili hawez kashaamini hivyo .hata umwambie nguruwe haifai ana madhara kiafya hawez kukuelewa hata kidogo.kwahiyo ndugu zangu waislamu hawa watu ni kuwasupport tu wanachokisema mana hata ukiwaelimisha hawakubali kwanza wanajifanya wajuaji kuwa wamesoma kupindukia ila uwezo wa vitu vidogo vidogo unawashinda.
Mfano.mtu akifanya mauaji mwenye jina la kiislamu utasikia huyo gaidi ila mtu yule yule akifanya mauaji tukampa jina la kikiristo hawez kuitwa gaidi badala yake atapewa jina lingine kama mtu asiefahamika au jina lolote .hapo unapata picha.
Turudi china kuna waislamu wanateswa na kuuliwa kisa tu ni waislamu lakin wakiristo hawaguswi na hili.je hao wanaotesa waislamu na kuwaua ni magaidi pia ??? Au KWA kuwa wauaji sio waislamu BAsi sio magaidi???
Angalizo
Uislamu huo mnaousoma kwenye media sio tulio nao huku mitaani kwetu nyie wenyewe ni mashaidi mtunaseme mtaani kwake kulishawai kutokea ambush ya kuua wakiristo???? KWA sababu ni wakiristo??
Watu waache kuaminishwa kuwa uislamu ni ugaidi na kuamini kuwa ugaidi lengo kubwa ni kuua wakiristo.
Kama ugaidi ni lengo la kuua wakiristo mbona hao magaidi wakiingia sehemu wanaua hawachagui waislamu au wakiristo.????
Kuna watu wanazungumzia kuwa kibit walikuwa magaidi hujiulizi kwann kambi iwepo kibiti ambapo ni pwani na zaidi kuna waislamu wengi na kwann wanaouliwa zaidi na hao magaidi ni waislamu KWAnn wasingeenda kuweka mbeya zone yao ili wauae wakiristo??? Tumia akili kujua hapo lengo ni nini
Wakiristo mkikua na mkaanza kutumia akili zenu vizur ndio mtajua nani kaanzisha ugaidi KWA lengo gani na KWA faida zipi
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Waislam wote si magaidi ila magaidi wote ni waislam
Hii picha inajionyesha yenyewe na hawa sio makafiri ni waislamu wanapinga ugaidi lakini wewe hutaki kukubaliMzee mbona unaulizwa swali jepesi ila unalifanya liwe gumu!
Nalirudia tena kwa niaba ya..
Ikikojolewa Qur'an mnatoka hadharani makundi kwa makundi mkikemea na kulaani mbali zaidi mkitaka kumtia adabu mkojoleaji
Sasa umeombwa hapo umtaje angalau kiongozi hata mmoja aliyetoka hadharani na kukemea na kulaani hivi vitendo kama mfanyanvyo Qur'an ikifanyiwa kile kitendo
Una ushahidi ?
Msikitini hatupingi uislamuBasi itaneni hukohuko msikitini hilo jina ambalo sio baya
Ww uislamu umeijulia wapi?? Hadithi za mtume muhammad swallahullah alaih wasalam unazijua kuzitafsir ??? Au umeona sehemu kumeandikwa kiswahili unachukua kama ilivyo bila kujua mantiki yake ??? Hivi unajua mtume wetu alikuwa na ndugu wasio waislamu mbona hakuwaua ??? ACHA ujinga BAsi tumia hata akili yakoNi vizuri ungeweka vifungu vya Koran vinavyo kukataza kuua wakristo ingekuwa vyema Sana.
Kuna Maneno ya Allah ya chuki kwa wakristo na wayahudi na Allah kaongea kea hasira Sana kwamba muwaue popote mnapo wakuta na pia msiwe na urafiki nao kakataza kabisa na kasisistiza ukiwa rafiki na mkristo hutakuwa chochote mbele yake.
Muhammad kwenye maneno yake kupitia hadith kasema ukikutana na mkristo na myahudi Kama huna silaaa msukumize mtaroni
Yote hayo ni mafundisho ya Muhammad na Allah
News...Achaneni na ugaidi muone kama mtapigwa vita