Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Usitoke nje ya mada
Uislamu ni Koran na sunna za Muhammad
Na pia Allah kasisitiza mtii kwanza Muhammad kabla ya Allah
Uislamu ni dini na dini ni imani
Mimi nakuonyesha Aya za biblia zinazoshurutisha kuua watu unasema natoka kwenye mada
Mimi ni muislamu na ninayoimani yangu
Wewe sio muislamu ila unanilazimisha mimi nifuate uislamu unautaka wewe Yaani nianze kuua wakristo na mayahudi
Hawa magaidi wanakutana na watu kama wewe wanadanganywa wanaua watu bure sorry mimi nimesoma dini yangu na ninaishi vizuri na watu wote hata useme nini siwezi kuchukua watu wengine eti kwa sababu wao sio waislamu
Nenda kadanganye ambao hawajasoma madrassa wakajilipue sokini sio mimi
Dini yangu inafundisha amani na upendo
 
Basi nitakuwa na debate na mtu ambae sio muislamu,

Kule maka mnaenda kufanyaje kwenye jiwe

Leta aya ya koran inayosema usali sala tano
Mimi nimeenda Maka na madina mara kadhaa sijaona ibada ya kubusu jiwe
Kwenye Qur'aan kuna Aya nyingi zinazungumzia kusali
 
Attachments

  • IMG_20210222_144015.jpg
    IMG_20210222_144015.jpg
    127.2 KB · Views: 3
Basi nitakuwa na debate na mtu ambae sio muislamu,

Kule maka mnaenda kufanyaje kwenye jiwe

Leta aya ya koran inayosema usali sala tano
Uislamu ni dini pana siku hizi wewe unajua uislamu ambao haupo unaokota makaratasi na kusema hii Ndio dini
Mimi nakuonyesha Aya mbali mbali za biblia ambazo zinashurutisha kuua watu wasio amini wewe unakataa sasa wewe huamini Bible?
 
Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi. Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja. Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale. Ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake. Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi. Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi. Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida. Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano. Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso. Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda. Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda; basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake? Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang’anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi. Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi. Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang’anywa hata alicho nacho. Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Lk 19:12‭-‬27 SUV
 
Unaweza kuonyesha kwenye hayo maandiko ni wapi wakristo wanaambiwa waue mtu?
Halafu usichanganye maagizo Musa aloyowapa taifa la Israel na maagizo kwa wakristo. Hiyo Yohana 3:16 sijaelewa inakuaje agizo la kuua watu, labda utusaidie kufafanua.
 
Soma hayo maandiko yanajitisheleza
Au Google 'Bible verses about killing unbelievers
Ipo wazi inasema wale wasiomuamini Yesu ni Maadui waleteni niwaue
 
Attachments

  • IMG_20210219_163654.jpg
    IMG_20210219_163654.jpg
    51.5 KB · Views: 3
Astaghafirullaah,Tutangulize jina la Mwenyezi Mungu katika kila jambo.Nafurahia kuelimika hapa jf.
 
Ukweli ni kwamba, uislamu ni dini inayotaka mamlaka ili watu wake waishi vizuri, na uislamu pia unapingana kwa hali zote na mamlaka ya watu iliopo duniani sasa. Uislamu ili usidhulumiwe inahitajika mamlaka ya watu ifuate sheria za kiislamu. Ni kama hapa Tz ili wapinzani wasihujumiwe inabidi wao ndio wawe wenye mamlaka ( sisemi upinzani ni sawa na uislamu). Marekani ndio adui mkubwa wa uislamu, sheria zake ni za kikafiri kuanzia mwanzo mpaka mwisho. China nae hataki kabisa kuusikia uislamu, ndio kwanza kawalisha nguruwe wale mateka wa Uyghur.

Ambacho waislamu inatakiwa wajue ni hiki ; dini hii imepitia utawala wa Rumi na ndio dini pekee tofauti ya ukatoliki iliyodumu, hapa napo itapita tu salama. Cha muhimu ni kuyashika yaliyosemwa Mungu, waislamu ndio watu bora kuliko wote katika watu wamuaminio Mungu.
Watu bora kwa Lipi ujinga,kujilipua au kuwaza mabkra 72?
 
Kwahyo wanavyopambana kuondoa hao magaid kina Boko Haram nk wanafanya kosa?

Namna dini inavyotaka na Baadhi ya watu wanavyotaka iwe ni tofauti.
Hata Dunia ya sasa kuna Baadhi wanataka kuona dini moja tu. Sijui wanaanzaje kuwabadili watu.
 
Tafadhali elewa
Ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani msiwafanye marafiki lakini sio muwe maadaui
Kuna mambo mengine sio lazima uwe na PhD kuelewa
Lakini kwa sababu watanzania tangu shule za msingi tunapandikizwa chuki dhidi ya uislamu na waarabu huwezi kuamini maana ipo moyoni kwako hio chuki
Anyways hate us or love us you can do nothing about us
Unajificha kwenye shamba la njugu mgongo uko wazi,hivi Kama pameandikwa "usiwafanye marafiki" sasa kinyume Cha RAFIKI ni Nani? Unajua unachekesha
 
Kwa kuwa wamesema waarabu basi walimaanisha waislamu? Wewe mbona zaidi ya mjinga?
Mbona hujazungumzia pia wakoloni waliokuja kututawala na kuua pia Babu zetu? Au hatujafundishwa kuwa wakoloni waliua Babu zetu?
Waarabu ni mabwana Zao ukimgusa mwarabu kidogo tu wanapanua midomo
 
Mkuu hakuna chuki hapo- na hakika wewe si uislam. unanionea bure
Kulikuwa na chuki kubwa tu katika kauli yako wala usipinge.

Brenton Harrison alieingia msikitini kule New Zealand akawamiminia waislam risasi wala hakuwa muislam. Kwenye historia ya dunia, Adolph Hitler hakuwa muislam.

Naamini kulikuwa na chuki kubwa tu dhidi ya uislam na waislam katika kauli yako ile
 
Mimi nimeenda Maka na madina mara kadhaa sijaona ibada ya kubusu jiwe
Kwenye Qur'aan kuna Aya nyingi zinazungumzia kusali
Ndio maana nakwambia wewe sio muislamu maana Muhammad kasema wazi jiwe linasamehe dhambi sasa wewe maka unaenda kufanyaje kama hauendi kusujudu kwa jiwe
 
Soma hayo maandiko yanajitisheleza
Au Google 'Bible verses about killing unbelievers
Ipo wazi inasema wale wasiomuamini Yesu ni Maadui waleteni niwaue
Rafiki unajua maana ya mfano (parable). Yesu hapa aliwapa story ya kabaila mmoja, huyo ndio aliyosema hayo maneno. Hayakuwa maneno ya Yesu hapa. Usipoteshe watu kwa tafsiri zako ambazo haziendani na muktadha. Hakuna msomi yoyote kikristo anaye tafsiri ufanyavyo wewe.
 
Makafiri wanaandika vitabu kila kukicha halafu wanasema ni vitabu vya waislamu
Mbona kwenye mkataba zetu hivyo vitabu hakuna?
yaani wewe unayeitwa wenzio makafiri, ni gaidi kabisa. roho chafu ya shetwani hiyo. utaenda motoni usipompokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na uwe mkristo. period.
 
Makafiri wanaandika vitabu kila kukicha halafu wanasema ni vitabu vya waislamu
Mbona kwenye mkataba zetu hivyo vitabu hakuna?
Yani wewe ni muislamu alafu kwenye maktaba Yako hakuna kitabu Cha Sahihi Muslim, wewe ni muislamu feki
 
Back
Top Bottom