Vita Gaza katika mwelekeo mwema, busara inapoanza kurejea

Yote yanaweza kufanyika LAKINI NO 10 HII HAITAKAA ITOKEE MILELE

Yerusalemu ni moyo wa Wayahudi na Israel, kuiachia ni sawa na kuifuta Israel duniani.
Waziri mkuu Sharon aliwataka waisrael kuondoka Jerusalem, na akaanza operesheni ya kuwaondoa kwa lengo la kuwaachia mji huo wapalestina ili kuleta amani ya kidumu. Kilichofuatia Sharon aliingia kwenye coma ya miaka 6 ndipo akafariki.

Netanyahu akijaribu kufanya upuuzi huo tena atashughulikiwa na waisrael wenyewe
 

Upepo wa sasa hauko vyema kwao:

1. Kwamba:



2. Na wapalestina ni hawa:



3. Huku waisrael ni hawa wanaowataka mateka kwa gharama yoyote:



4. Hii mbombombo siyo ile ya Ariel Sharon.

5. "Kwa hakika furahini katika bwana tena nasema furahini." Mwisho wa kumnukuu.

6. MK254, FaizaFoxy, johnthebaptist, denoo JG, darcity, Utamu na wale wenginewe hakuna aliyeshindwa hapa wandugu.

7. Muda wa kuchukua kapu kwenda kuvuna.
 

Kuliwa shaba huku ukiomba msamaha, hadi raha, mlilianzisha wenyewe

View: https://twitter.com/i/status/1735629020476158067
 
Nakataa Yerusalemu kuwa mjii mkuu wa Palestina.Hili hapana kabisa.Isael ikikubari kunyanganywa Israel litakuwa kosa kubwa la kihistoria Katia maisha yao hapa duniani
Yerusalemu ni mji mkuu wa Waisraeli tangu enzi za kina Daudi,Solomoni,Yeroboamu hadi sasa.
 
Heko sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
Taarifa ya Hamas umeielewa au unakurupuka tu ili mradi umeona Netanyahu yeye anamwelekeo huo baada ya kubanwa na wananchi wa Israel kwa tukio la wanajeshi wa Israel kuwauwa walioshikiliwa mateka?
Naamini kabisa huna uelewa wa kiingereza fasaha
 

1. Ulisoma #8 na #9 kwenye mada kuifuatia screen shot hiyo?

2. Ninakuwekea tafsiri hizo hapa tena, kwa starehe yako:

"8. Uelekeo ukiwa, kuachiliwa mateka na wafungwa wote mikononi mwa pande zote mbili;

9. Kuridhiwa kusimikwa kwa taifa huru la Palestina lenye mamlaka yake kamili, mji mkuu ukiwa Yerusalemi."


3. Au wewe unatafsiri tofauti na hiyo?

4. Nisiache kusema, "hivi kulikoni mtanzania kujifanya yeye tu ndiye aliye mjuaji zaidi?"

5. Nasubiri tafsiri yako ndugu.
 
Wenye kuelewa statement ya Hamasi wataelewa Israel kapewa sharti asirudie tena kuwashambulia wa Palestine.

Hapo mana yake Israel kapiga magoti.
 
Wenye kuelewa statement ya Hamasi wataelewa Israel kapewa sharti asirudie tena kuwashambulia wa Palestine.

Hapo mana yake Israel kapiga magoti.

1. Mkuu hili ni dhahiri bin shahiri:





2. Ila Sasa kiutu uzima si huwa tunafichiana fedheha mkuu?

3. Kwani ni lazima mtu mzima abanwe hadi machozi yamtoke kujua anajuta?
 
Ni vyema yaishe na kila mmoja amuheshimu mwenzake.

Kwa hakika mkuu tatizo ni wale wakita magoma ya vita Huku kama kwao kama kule, nako wapo wamejaa tele kama pishi ya mchele!
 
Nakataa Yerusalemu kuwa mjii mkuu wa Palestina.Hili hapana kabisa.Isael ikikubari kunyanganywa Israel litakuwa kosa kubwa la kihistoria Katia maisha yao hapa duniani
Wewe unashika nafasi gani pale makao makuu ya UN au kwenye sirikali ya US au kwenye utawala haramu wa kizayuni
 
Wacha uzushi.Sharon alipata stroke tarehe 17 December 2005 baada ya watoto wake kuwa kwenye kashfa ya kupokea hongo kutoka Greece.
Sharon alishutumiwa na kuondoka kwenye chama cha Likud kwa kuondosha majeshi ya Israel Gaza na West Bank.Hakuna kiongozi wa Israel aliyewahi kuwaondoa wayahudi Jerusalem. Kwenye two state solution kuna wazo la East Jerusalem na West Jerusalem.
 

Mengine yote ni mbwembwe, rejea Oslo accord na kilichomtoa Arafat mezani Camp David na Yitzhak Rabin.

Makubwa yaliyogomba:

1. Jerusalem kama mji mkuu.

2. Wapalestina ukimbizini kurudi nyumbani.

Hapo ndipo penye utata zaidi na hasa hapa ndipo asipotaka Israel, wapalestina ughaibuni kurudi nyumbani.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…