Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,378
Reaction score
13,198

​

India imethibitisha kuzindua makombora kuelekea Pakistan Jumanne, kufuatia mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Kashmir ambapo watu 26 waliuawa.

Maafisa wa usalama wa Pakistan wamesema makombora hayo yamelenga maeneo ya Kashmir na jimbo la Punjab mashariki. Hakukuwa na ripoti za majeruhi au uharibifu.

Wizara ya Ulinzi ya India imesema ililenga maeneo tisa yanayodaiwa kutumika kupanga mashambulizi dhidi ya India, ikisisitiza kuwa operesheni hiyo haikulenga vituo vya kijeshi vya Pakistan.

Mapema Jumanne, Waziri wa Ulinzi wa Pakistan Khawaja Asif alionya kuwa iwapo India itashambulia kwa kombora la nyuklia, Pakistan itajibu kwa nguvu kubwa, akidai kuwa "hakuna atakayepona duniani."

India na Pakistan zimewahi kupigana mara tatu tangu 1947, nyingi zikihusu mgogoro wa Kash

================================================

India confirmed on Tuesday that it launched missiles towards Pakistan, amid heightened tensions between the two countries following a series of terrorist attacks in Kashmir.

Pakistani security officials said the missiles struck locations in Kashmir and in the country’s eastern Punjab province.

There were no immediate reports of injuries or damage. India’s Defense Ministry said in a statement that it had targeted at least nine sites “where terrorist attacks against India have been planned.”

“Our actions have been focused, measured and non-escalatory in nature. No Pakistan military facilities have been targeted,” the statement said, adding that “India has demonstrated considerable restraint in selection of targets and method of execution.”

Earlier on Tuesday, Pakistan’s Defense Minister Khawaja Asif issued a threatening message, stating that if India were to launch a nuclear missile at Pakistan, Pakistan would retaliate.

“If India dares to attack Pakistan and Pakistan’s existence is threatened, no one will survive in this world,” he said. The escalation follows a deadly terrorist attack in Kashmir, in which 26 people were killed.

Since gaining independence in 1947, India and Pakistan have fought three wars over control of the Kashmir region. Some of the conflicts involved Muslim insurgents from Indian territory who supported Pakistani rule.
Over the years, the Indian government has accused Pakistan of continuously fueling violence in the disputed areas.

1746567623365.png
 
Attachments

  • 1746567512189.png
    1746567512189.png
    140 KB · Views: 53
Hii sio vita ya kuishabikia maana haya ni mataifa yanayomiliki silaa za nyuklia. Wakiamua wazitumia matokeo yake hayatakuwa ya kawaida
Bado sana wao kutumia nuclear weapons. Watatumia conventional mpaka wachoke na suala la nukes ni Pakistan atalianzisha so as to save face sababu kwa conventional atapigwa.

Bado uko kwenye nukes mwenye upper hand ni India sababu anaweza launch missiles kutoka ardhini na kutoka baharini kwa submarine, ingawa project yake ya SLBM ni mpya.

Ila wote hao wana dirty bombs zenye radioactive fallout kubwa. Wana nukes za kizamani.
 
Wazee wa kukokotoa vita mnarudi katika ubora wenu.
😂😂😂
JF raha sana!
 
Umesikia vice versa, interchange masikio.
Propaganda ni nyingi hii vita. Kwa waliowazoea India ni mabingwa wa kupiga kamba kwa kila kitu, kuanzia kwenye CV huwa wanadanganya, kwenye biashara waongo, kwenye movie wanaongopa waziwazi na wanaona kawaida. Kila kitu wanatia chumvi ila uwezo wao halisia unajulikana.

Pakistan wao kila kitu kina mlengo wa kidini. Zilezile propaganda za wanamgambo ndio hizo wanatumia.

Taarifa yoyote nayosoma naiacha kwanza ukweli utajulikana. Sifuati breaking news feom unverified sources.
 
Bado sana wao kutumia nuclear weapons. Watatumia conventional mpaka wachoke na suala la nukes ni Pakistan atalianzisha so as to save face sababu kwa conventional atapigwa.

Bado uko kwenye nukes mwenye upper hand ni India sababu anaweza launch missiles kutoka ardhini na kutoka baharini kwa submarine, ingawa project yake ya SLBM ni mpya.

Ila wote hao wana dirty bombs zenye radioactive fallout kubwa. Wana nukes za kizamani.
Population vipi. MAANA India Kuna misongamanonya watu nchi nzima kama mtaa wa Congo.
Casualties naona kama zitakuwa kubwa zaidi upande wao Japo Pakistan hawawezi India.
 
Population vipi. MAANA India Kuna misongamanonya watu nchi nzima kama mtaa wa Congo.
Casualties naona kama zitakuwa kubwa zaidi upande wao Japo Pakistan hawawezi India.
Almost wako sawa idadi ya nukes ila delivery systems India ndio wanaizidi Pakistan.

India ina watu wengi, na always nchi yenye watu wengi kwenye vita ya peer to peer enemies ndio inakuwa na advantage kwenye recruitment, troop rotation, mass mobilization, casualties zote za jeshi na za raia.

Ikiwa India itaua watu 1,000,000 wa Pakistan, inabidi Pakistan iue Wahindi 7,000,000 ndio walingane madhara kwa asilimia.
 
Nyuzi za kufua na kudeki tumekuachia. Karibu
Asante mkuu 😂😂😂, nitakuwa nafuatilia kwa karibu sana.
Pamoja na kiburi changu, kwenye post zako huwa sitoki mtupu, lazima niambulie mawili matatu.

Hata mashabiki wa Madrid wanajua kuwa Yamal ni fundi wa mpira japo hawawezi kumsifia waziwazi.
 
Mpango wa India kununua 5th generation fighter jet uliishia wapi? I heard kwamba lengo kuu la mpango huo ni ku tackle changamoto ya wapakistan ambao wao tayari wanazo toka china.
 
Asante mkuu 😂😂😂, nitakuwa nafuatilia kwa karibu sana.
Pamoja na kiburi changu, kwenye post zako huwa sitoki mtupu, lazima niambulie mawili matatu.

Hata mashabiki wa Madrid wanajua kuwa Yamal ni fundi wa mpira japo hawawezi kumsifia waziwazi.
Ukimsifia wewe pekee inatosha, CR7 na Messi wenyewe hawakukubaliwa na Watu wote duniani, who cares about Yamal?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom