Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

Nuclear ya kisasa ni ipi? Vichwa vya nuclear alivyo navyo USA au Urusi unajua ni ya lini? Forum imejaaa wajuaji uchwara sana
At the height of Cold War, US walikuwa na around 30,000 nuclear warheads na USSR walikuwa na kama 40,000 warheads.

Kwa sasa US wana kama 3,000+ na Russia kama 5,000 hivi. Wote hizo warheads nyingine walizitumia vita gani?

Stick kwenye kufua na kuosha vyombo kama hujui, usiniletee upumbavu.
 
Mpango wa India kununua 5th generation fighter jet uliishia wapi? I heard kwamba lengo kuu la mpango huo ni ku tackle changamoto ya wapakistan ambao wao tayari wanazo toka china.
Pakistan amekuwa mteja mkubwa wa silaha za China miaka ya karibuni.

India kwa Sasa imegeukia silaha kutoka nchi za magharibi badala ya Urusi mfano ununuzi wa Rafale Ili kuimarisha Air force yake... walikuwa na mpango wa kununua pia Apache.

T14 Armata
 
Population vipi. MAANA India Kuna misongamanonya watu nchi nzima kama mtaa wa Congo.
Casualties naona kama zitakuwa kubwa zaidi upande wao Japo Pakistan hawawezi India.
Mkuu Ina maana hawalimi?. Maana Kama misongamano Kama kariakoo nchi nzima si balaa. Ninachojua ni kua India ni moja wapo ya nchi kubwa pia kwa maana ya eneo la ardhi yao. Kwa mijini ni sahihi Kuna misongamano lakini Wana maeneo hata hayakaliwi ni watu na yanatumika kwa kilimo. Misitu na mbuga. Shida yao wanaabudu adi mang'ombe hahahaaaaaa
 
Shida yako ww ulitaka Binadam wote Wamuabudu Mzungu Sijui wazungu wamekupa nini !!!!

Mizungu imeuwana kama sisimizi vita ya kwanza ya pili ya Dunia !!!

ile Vita ya pili tu watu milion 30 walikufa !!!!

Wazungu nimakatili sana Wabaguzi wa langi !!!

vipi niwe lofa nimwabudu Mzungu uku ananibagua langi yangu!!!

yani Mungu mkuu ananipenda ndio mana kaniumba awezi nibagua yeye nikama mzazi wangu!!!!!

Sasa kaja ZUNGU uyu Zungu anajifanya yeye ndio MUNGU lkn sasa anakwama apo awezi kujificha kuusu chuki kwenye ngozi ya Mweusi !!!!

Uko Argentina miaka ya nyuma Wazungu awa awa waliuwa weusi wote ndani ya nchi wabaki weupe pekeyao mana yake ww au mm au Weusi wote Dunian tungekuwa uko tungeshaangamizwa !!!!

uko Vatikan kwenyewe unaambwia subilini Moshi mweupe haaaaaa!!!!

sio Moshi mweusi !!!

au ndio siku akipatikana PAPA mweusi ndio utatoka Moshi mweusi..!!!!

Mzungu anakuona mweusi km laana kwake!!!!

mbaya zaid chuki imeamishiwa kwenye Dini
Tangu Dunia ya Ma PAPA
Papa wote Wazungu !!!



malaika pia wZungu haaaa maria mwenyewe Zungu basi watakatifu nao wote wZungu haaaaaa yesu wZungu woteee!!!!

ajabu zaid uko uzunguni Dini imeamia tu lkn Dini zimeshukia mashariki ya kati.. apo sasa kwa wenye akili.
Muddy mweusi?. Maana umeropokaaaaa weeeeee alafu ukasahau kuwa muddy ni mweupe pia.
Kwa kifupi hakuna mkuuundu yeyote ambaye mweupe siyo mbaguzi kwa mtu mweusi awe mzungu, mhindi, mwarabu. Wote hao ni wabaguzi na hakuna ambaye hajafanya ubaguzi toka nyakati za wakoloni.
Weupe wote duniani ni pipa na mfuniko. Wote ni ubaguzi.
 
Pakistan kuna Mchina yupo pale kimyakimya na waziwazi !!!

mifumo ya Anga mchina anausika pakubwa sana. India inateswa sana upande wa Anga!!!

Japo uko mbele India itakuwa tishio sana !!!

pia USA yupo katikati kwasasa lkn zaid alikuwa upande wa Pakistan!!!

India yupo na Russia this time wana Russia tumevurugwa kwenye vita ya ndugu wawili yani Pakistan vs India..
 
Zile muvi za kihindi wanazo haribu fizikia tutaziona kwenye hii vita
 
Muddy mweusi?. Maana umeropokaaaaa weeeeee alafu ukasahau kuwa muddy ni mweupe pia.
Kwa kifupi hakuna mkuuundu yeyote ambaye mweupe siyo mbaguzi kwa mtu mweusi awe mzungu, mhindi, mwarabu. Wote hao ni wabaguzi na hakuna ambaye hajafanya ubaguzi toka nyakati za wakoloni.
Weupe wote duniani ni pipa na mfuniko. Wote ni ubaguzi.
Tuanzie apa apo Naomba picha ya uyo muddy nimkague namm langi yake na wasomaji waone langi yake????
 
Tuanzie apa apo Naomba picha ya uyo muddy nimkague namm langi yake na wasomaji waone langi yake????
utachekwa na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.
Au swali langu limekuzidi uwezo wako wa kufikiria?.
Tatizo ulichangia ukamaliza maneno ukasahau kua mudy naye ni mweupe siyo mweusi. Ulichangia Kwa stahili ya nyani kuwa na kundu jekundu ukasahau na wewe ni nyani mwenye kundu jekundu Kama unayemcheka . Yaani Nyani haoni kundule.
Nakuuliza Tena Muddy ni Mweusi?. (Mwafrica).
Maana yule uliyemuita Zungu(Yesu) pamoja na uzungu wake amepitia Africa kwa kuishi misri japo aliletwa na wazazi kukimbia asiuwawe.
Hili litimie neno hili kuwa Toka misri nalimwita Mwanangu.
Mathayo 2:14-15
[14]Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri;
[15]akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema,
Kutoka Misri nalimwita mwanangu.
 
Tifu tifu lingine mjini, ni mtanange si wa kwa mpalange.. Aya vuta siti.. Dini yako itaamua ukae upande wa nani.
Dini na siasa haviepukiki......Dini safi na siasa safi ndio mwarobaini.

Huwezi kupiga dini chafu ukategemea amani au Siasa chafu ikazaa amani.
 
Kwa nini Iran wanazuwiwa kuwa na nuke ndo utaona maana ake kwenye vita hii.

kati ya vita mmarekani anaiangalia kwa uangalifu ni hii
 
Muddy mweusi?. Maana umeropokaaaaa weeeeee alafu ukasahau kuwa muddy ni mweupe pia.
Kwa kifupi hakuna mkuuundu yeyote ambaye mweupe siyo mbaguzi kwa mtu mweusi awe mzungu, mhindi, mwarabu. Wote hao ni wabaguzi na hakuna ambaye hajafanya ubaguzi toka nyakati za wakoloni.
Weupe wote duniani ni pipa na mfuniko. Wote ni ubaguzi.
UISLAMU katu Ujawai m'bagua mtu Mweusi akuna Ushaid wowote Badala yake Uislamu ulikuwa karibu na watu Weusi !!!

ndio mana kuna mtu anaitwa BILAL kati ya watu Wakaribu sana wa!!

Mtume Muhammad S.A.W !!!

pia ndani ya Uislamu mtu Mweusi ndio mwasisi wa Adhana ile unasikiaga asubui saa 11 alfajir !!!!

iyo Adhana inatumiwa Duniani kote adi uko uko Ulaya lkn Mwasisi wake ni Mweusi !!!

sasa tuje uko kwa Wazungu bin Cristian !!! uko mweusi anasaminiwa vip kafanya lipi linakumbukwa kwenye Dini akuna ???

Basi mweusi kashawai kuwa Swaiba wanani uko!!?????

Dini linibague mm nimo kama Zombi Zombi.. ndio mana Uislamu Mababu zetu wenye Akili waliuwelewa alaka alaka kuliko iyo kila kitu kajiweka yeye Mzungu!!!

jamaa ata apa Tanzania Mlima kilimamjaro kqjiweka yeye Ziwa Victoria kajiweka yeye unasikia kuna Lingstone!!!!

ndio walewale wameacha tu sheteni jini jitu bayaa la Kutisha Nuksi ndio imewekwa langi Nyeusi shubamit zao..!!
 
utachekwa na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.
Au swali langu limekuzidi uwezo wako wa kufikiria?.
Tatizo ulichangia ukamaliza maneno ukasahau kua mudy naye ni mweupe siyo mweusi. Ulichangia Kwa stahili ya nyani kuwa na kundu jekundu ukasahau na wewe ni nyani mwenye kundu jekundu Kama unayemcheka . Yaani Nyani haoni kundule.
Nakuuliza Tena Muddy ni Mweusi?. (Mwafrica).
Maana yule uliyemuita Zungu(Yesu) pamoja na uzungu wake amepitia Africa kwa kuishi misri japo aliletwa na wazazi kukimbia asiuwawe.
Hili litimie neno hili kuwa Toka misri nalimwita Mwanangu.
Mathayo 2:14-15
[14]Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri;
[15]akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema,
Kutoka Misri nalimwita mwanangu.
Wewe ndio umeseme muddy mweupe nimeomba picha unaniuliza mimi muddy alikuwa nani !!!!

wewe ndio unajua naww ndio umesema kuusu Muddy mm nimeomba picha tu ya muddy !!!

nashangaaa maelezo mengiiiii !!

tuma picha ya muddy tumuone kama uyo muddy ni langi ipi wasomaji pia wajionee !!!

mm sijui langi ya uyo muddy !!!

tuma picha yake..?

kama umeshindwa kutuma picha manake hoja una !!!

zaid umejaaa matusi tu mm Jamii F sijawai tukanana namtu yoyote !!!!

nashindana na hoja sio matusi tafuta wakutukananae wapo wengi umu JF ukija kwenye jumbe zangu uwe kamil kwa hoja sio matusi ndugu.
 
UISLAMU katu Ujawai m'bagua mtu Mweusi akuna Ushaid wowote Badala yake Uislamu ulikuwa karibu na watu Weusi !!!

ndio mana kuna mtu anaitwa BILAL kati ya watu Wakaribu sana wa!!

Mtume Muhammad S.A.W !!!

pia ndani ya Uislamu mtu Mweusi ndio mwasisi wa Adhana ile unasikiaga asubui saa 11 alfajir !!!!

iyo Adhana inatumiwa Duniani kote adi uko uko Ulaya lkn Mwasisi wake ni Mweusi !!!

sasa tuje uko kwa Wazungu bin Cristian !!! uko mweusi anasaminiwa vip kafanya lipi linakumbukwa kwenye Dini akuna ???

Basi mweusi kashawai kuwa Swaiba wanani uko!!?????

Dini linibague mm nimo kama Zombi Zombi.. ndio mana Uislamu Mababu zetu wenye Akili waliuwelewa alaka alaka kuliko iyo kila kitu kajiweka yeye Mzungu!!!

jamaa ata apa Tanzania Mlima kilimamjaro kqjiweka yeye Ziwa Victoria kajiweka yeye unasikia kuna Lingstone!!!!

ndio walewale wameacha tu sheteni jini jitu bayaa la Kutisha Nuksi ndio imewekwa langi Nyeusi shubamit zao..!!
Yesu lini kabagua mtu mweusi?. Usichangaye kipindi wanatafuta maslahi yao ya kibiashara dunia na dini?. Ndiyo maana kwenye maslahi ya kibiashara kulikua na biahashara ya utumwa ambaya ilimuuza mtu mweusi tu na imefanya na watu hao hao weupe wazungu na waarabu pia. Sasa ukichanganya waarabu na biahashara ya utumwa walikuwa wanauza watu pia lakini haikuwa dini Bali maslahi yao ya kibihashara . Tatizo lako siku zote. Maslahi binafsi ya kibiasha unaleta kuhusisha dini akifanya mzungu. Basi usisha na biashara ya utumwa na uislamu pia maana mwarabu kamuuza sana mtu mweusi.
Ndiyo maana nilikwambia hakuna ****** yeyote mweupe akuwahi kufanya ubaguzi kwa mtu mweusi awe mzungu mwarabu mhindi wala mchina. Wate wabaguzi. Ila kosa lako unataka kuchanganya dini kwenye ubaguzi wao Ila hapo hapo unamtoa mwarabu ahausiki sababu ni mwislam wakati mwalabu kafanya sana biashara ya utumwa kwa mtu mweusi. Ninachojua ubaguzi hauhusu dini. Wanafanya ubaguzi ni watu siyo dini.
Ndiyo maana nimekuuliza Lini Yesu kafanya ubaguzi?. Kwa hiyo usichangaye tabia binafsi ya mtu kusema ndiyo dini unakosea sana.
Mfano wapo waislam wanakula nguruwe uwezi sema uislam umeruhusu nguruwe kwa mwislam aliyekosa uaminifu kwa kula nguruwe. So hivyo hivyo mkristo akifanya ubaguzi kwa tabia yake uwezi sema ukristo umeruhusu ubaguzi kwa sababu mkristo kafanya ubaguzi kwa tabia zake. Ndiyo maana mabishara yao ya utumwa kwa mtu mweusi wote wametufanyia Ila hawezi kusema ukristo au uislam ndiyo umefanya Ile biashara zilikuwa ni maslahi ya wafanyabiashara siyo dini.
 
T14 Armata yuko nondo sana ishu za kivita JF, naomba ajengewe sanamu na kupewa cheo cha "Field Marshal".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nashindwaga kuelewa inakuwaje huyu mkongwe hadi leo hii hajalamba U-platinum!
Sijui vigezo gani vinatumika manina!!!
Mods kwanini hadi leo hii T14 Armata na MALCOM LUMUMBA hawajalamba U-platinum?
Kuna fomu wanatakiwa kujaza?
 
Tatizo la Pakistan licha ya kumiliki nyuklia hawaachi chokochoko za ugaidi wa kiislamu, magaidi ya waislamu yanatumia ardhi yake kuchokonoa India.
Sijui hawa Wahindi wa Pakistan waliingiaje kwenye mkenge wa hiyo dini.
Na ndio maana Iran inapaswa izuiwe kumiliki nyuklia kwa namna yote
Kua India na Pakistan wanamiliki Nuklia ila Iran wao hawana uwezo wa kumiliki Nuklia😅😁😆
 
Back
Top Bottom