Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hii ni vita nyingine mjini. Binadamu bado ni mnyama duni sana.
Hii sio vita ya kuishabikia maana haya ni mataifa yanayomiliki silaa za nyuklia. Wakiamua wazitumia matokeo yake hayatakuwa ya kawaida
Umeishi vya kutosha duniani hupaswi kuogopa matumizi ya hizo silaha,sasa ni wakati wa kufaHii sio vita ya kuishabikia maana haya ni mataifa yanayomiliki silaa za nyuklia. Wakiamua wazitumia matokeo yake hayatakuwa ya kawaida
Mtu akiwa muislamu anakuwa anatumia akili ya mudi na Allah,akili yake inakuwa neutralizedTatizo la Pakistan licha ya kumiliki nyuklia hawaachi chokochoko za ugaidi wa kiislamu, magaidi ya waislamu yanatumia ardhi yake kuchokonoa India.
Sijui hawa Wahindi wa Pakistan waliingiaje kwenye mkenge wa hiyo dini.
Na ndio maana Iran inapaswa izuiwe kumiliki nyuklia kwa namna yote
Sawa Lloyd Christmas!Ukimsifia wewe pekee inatosha, CR7 na Messi wenyewe hawakukubaliwa na Watu wote duniani, who cares about Yamal?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
View: https://twitter.com/i/status/1919852833815384408
India confirms it fired missiles towards Pakistan amid heightened tensions between the two countries following a series of terrorist attacks in Kashmir.
View attachment 3326502
India confirmed on Tuesday that it launched missiles towards Pakistan, amid heightened tensions between the two countries following a series of terrorist attacks in Kashmir.
Pakistani security officials said the missiles struck locations in Kashmir and in the country’s eastern Punjab province.
There were no immediate reports of injuries or damage.
India’s Defense Ministry said in a statement that it had targeted at least nine sites “where terrorist attacks against India have been planned.”
“Our actions have been focused, measured and non-escalatory in nature. No Pakistan military facilities have been targeted,” the statement said, adding that “India has demonstrated considerable restraint in selection of targets and method of execution.”
Earlier on Tuesday, Pakistan’s Defense Minister Khawaja Asif issued a threatening message, stating that if India were to launch a nuclear missile at Pakistan, Pakistan would retaliate.
“If India dares to attack Pakistan and Pakistan’s existence is threatened, no one will survive in this world,” he said.
The escalation follows a deadly terrorist attack in Kashmir, in which 26 people were killed.
Since gaining independence in 1947, India and Pakistan have fought three wars over control of the Kashmir region. Some of the conflicts involved Muslim insurgents from Indian territory who supported Pakistani rule.
Over the years, the Indian government has accused Pakistan of continuously fueling violence in the disputed areas.
Sharuk Khan View attachment 3326504

Pakistan ni kichaka cha ugaidi, tena kwa muda mrefu. Hata wakati ule balozi za US zinavamiwa Kenya na Tanzania, wahusika walikuwa Wapakistan. Hadharani wanajifanya watu wa dini ila wanalima popy kwa asilimia kubwa kwa ajili ya kutengeneza madawa ya kulevya.Tatizo la Pakistan licha ya kumiliki nyuklia hawaachi chokochoko za ugaidi wa kiislamu, magaidi ya waislamu yanatumia ardhi yake kuchokonoa India.
Sijui hawa Wahindi wa Pakistan waliingiaje kwenye mkenge wa hiyo dini.
Na ndio maana Iran inapaswa izuiwe kumiliki nyuklia kwa namna yote
Nuclear ya kisasa ni ipi? Vichwa vya nuclear alivyo navyo USA au Urusi unajua ni ya lini? Forum imejaaa wajuaji uchwara sanaBado sana wao kutumia nuclear weapons. Watatumia conventional mpaka wachoke na suala la nukes ni Pakistan atalianzisha so as to save face sababu kwa conventional atapigwa.
Bado uko kwenye nukes mwenye upper hand ni India sababu anaweza launch missiles kutoka ardhini na kutoka baharini kwa submarine, ingawa project yake ya SLBM ni mpya.
Ila wote hao wana dirty bombs zenye radioactive fallout kubwa. Wana nukes za kizamani.
View: https://twitter.com/i/status/1919852833815384408
India confirms it fired missiles towards Pakistan amid heightened tensions between the two countries following a series of terrorist attacks in Kashmir.
View attachment 3326502
India confirmed on Tuesday that it launched missiles towards Pakistan, amid heightened tensions between the two countries following a series of terrorist attacks in Kashmir.
Pakistani security officials said the missiles struck locations in Kashmir and in the country’s eastern Punjab province.
There were no immediate reports of injuries or damage.
India’s Defense Ministry said in a statement that it had targeted at least nine sites “where terrorist attacks against India have been planned.”
“Our actions have been focused, measured and non-escalatory in nature. No Pakistan military facilities have been targeted,” the statement said, adding that “India has demonstrated considerable restraint in selection of targets and method of execution.”
Earlier on Tuesday, Pakistan’s Defense Minister Khawaja Asif issued a threatening message, stating that if India were to launch a nuclear missile at Pakistan, Pakistan would retaliate.
“If India dares to attack Pakistan and Pakistan’s existence is threatened, no one will survive in this world,” he said.
The escalation follows a deadly terrorist attack in Kashmir, in which 26 people were killed.
Since gaining independence in 1947, India and Pakistan have fought three wars over control of the Kashmir region. Some of the conflicts involved Muslim insurgents from Indian territory who supported Pakistani rule.
Over the years, the Indian government has accused Pakistan of continuously fueling violence in the disputed areas.
Sharuk Khan View attachment 3326504
Shida yako ww ulitaka Binadam wote Wamuabudu Mzungu Sijui wazungu wamekupa nini !!!!Tatizo la Pakistan licha ya kumiliki nyuklia hawaachi chokochoko za ugaidi wa kiislamu, magaidi ya waislamu yanatumia ardhi yake kuchokonoa India.
Sijui hawa Wahindi wa Pakistan waliingiaje kwenye mkenge wa hiyo dini.
Na ndio maana Iran inapaswa izuiwe kumiliki nyuklia kwa namna yote
china ipi wakati hata mass production ya 5th zao bado? Hizo story uwe unawapigia wajinga wenzako kwenye vijiwe vya kahawaMpango wa India kununua 5th generation fighter jet uliishia wapi? I heard kwamba lengo kuu la mpango huo ni ku tackle changamoto ya wapakistan ambao wao tayari wanazo toka china.
Onyesha njiaUmeishi vya kutosha duniani hupaswi kuogopa matumizi ya hizo silaha,sasa ni wakati wa kufa
Muda si mrefu kutakuwa na battle nyingine kati ya Team India na Timu Pakistan. Tutaanza kupokea taarifa live toka Pakistan hususani toka kwa ndugu zetu wakireshi wa Kihomboi akina Webabu Ritz Malaria 2 Uzalendo wa Kitanzania . Hawa watakuwa wanareport moja kwa moja toka Pakistani kama walivyokuwa wanareport toka GAZA, LEBANON bila kusahau Yemen na Iran.Wazee wa kukokotoa vita mnarudi katika ubora wenu.
😂😂😂
JF raha sana!
C:C Keyboard_WarriorMpaka kufika muda huu India imepoteza ndege 5 za kivita
Huko Yemeni marekani nayo yaomba poo