Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

Hii sio vita ya kuishabikia maana haya ni mataifa yanayomiliki silaa za nyuklia. Wakiamua wazitumia matokeo yake hayatakuwa ya kawaida

Tatizo la Pakistan licha ya kumiliki nyuklia hawaachi chokochoko za ugaidi wa kiislamu, magaidi ya waislamu yanatumia ardhi yake kuchokonoa India.
Sijui hawa Wahindi wa Pakistan waliingiaje kwenye mkenge wa hiyo dini.
Na ndio maana Iran inapaswa izuiwe kumiliki nyuklia kwa namna yote
 
Mtu akiwa muislamu anakuwa anatumia akili ya mudi na Allah,akili yake inakuwa neutralized
 
I can feel the smell of WWIII is around the corner
 
India has the right to self defence.
 
Pakistan ni kichaka cha ugaidi, tena kwa muda mrefu. Hata wakati ule balozi za US zinavamiwa Kenya na Tanzania, wahusika walikuwa Wapakistan. Hadharani wanajifanya watu wa dini ila wanalima popy kwa asilimia kubwa kwa ajili ya kutengeneza madawa ya kulevya.
 
Nuclear ya kisasa ni ipi? Vichwa vya nuclear alivyo navyo USA au Urusi unajua ni ya lini? Forum imejaaa wajuaji uchwara sana
 
Wahindi licha ya kuwa na zana Bora Huwa wanachapika .

Wahindi na vita wapi na wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/bbcswahili/status/1919965437820903802?t=pnwqbQu8RFRUs90Kh8LP7A&s=19
 
Shida yako ww ulitaka Binadam wote Wamuabudu Mzungu Sijui wazungu wamekupa nini !!!!

Mizungu imeuwana kama sisimizi vita ya kwanza ya pili ya Dunia !!!

ile Vita ya pili tu watu milion 30 walikufa !!!!

Wazungu nimakatili sana Wabaguzi wa langi !!!

vipi niwe lofa nimwabudu Mzungu uku ananibagua langi yangu!!!

yani Mungu mkuu ananipenda ndio mana kaniumba awezi nibagua yeye nikama mzazi wangu!!!!!

Sasa kaja ZUNGU uyu Zungu anajifanya yeye ndio MUNGU lkn sasa anakwama apo awezi kujificha kuusu chuki kwenye ngozi ya Mweusi !!!!

Uko Argentina miaka ya nyuma Wazungu awa awa waliuwa weusi wote ndani ya nchi wabaki weupe pekeyao mana yake ww au mm au Weusi wote Dunian tungekuwa uko tungeshaangamizwa !!!!

uko Vatikan kwenyewe unaambwia subilini Moshi mweupe haaaaaa!!!!

sio Moshi mweusi !!!

au ndio siku akipatikana PAPA mweusi ndio utatoka Moshi mweusi..!!!!

Mzungu anakuona mweusi km laana kwake!!!!

mbaya zaid chuki imeamishiwa kwenye Dini
Tangu Dunia ya Ma PAPA
Papa wote Wazungu !!!



malaika pia wZungu haaaa maria mwenyewe Zungu basi watakatifu nao wote wZungu haaaaaa yesu wZungu woteee!!!!

ajabu zaid uko uzunguni Dini imeamia tu lkn Dini zimeshukia mashariki ya kati.. apo sasa kwa wenye akili.
 
Mpango wa India kununua 5th generation fighter jet uliishia wapi? I heard kwamba lengo kuu la mpango huo ni ku tackle changamoto ya wapakistan ambao wao tayari wanazo toka china.
china ipi wakati hata mass production ya 5th zao bado? Hizo story uwe unawapigia wajinga wenzako kwenye vijiwe vya kahawa
 
Wazee wa kukokotoa vita mnarudi katika ubora wenu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
JF raha sana!
Muda si mrefu kutakuwa na battle nyingine kati ya Team India na Timu Pakistan. Tutaanza kupokea taarifa live toka Pakistan hususani toka kwa ndugu zetu wakireshi wa Kihomboi akina Webabu Ritz Malaria 2 Uzalendo wa Kitanzania . Hawa watakuwa wanareport moja kwa moja toka Pakistani kama walivyokuwa wanareport toka GAZA, LEBANON bila kusahau Yemen na Iran.

JF raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…