T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
At the height of Cold War, US walikuwa na around 30,000 nuclear warheads na USSR walikuwa na kama 40,000 warheads.Nuclear ya kisasa ni ipi? Vichwa vya nuclear alivyo navyo USA au Urusi unajua ni ya lini? Forum imejaaa wajuaji uchwara sana
Pakistan amekuwa mteja mkubwa wa silaha za China miaka ya karibuni.Mpango wa India kununua 5th generation fighter jet uliishia wapi? I heard kwamba lengo kuu la mpango huo ni ku tackle changamoto ya wapakistan ambao wao tayari wanazo toka china.
Mkuu Ina maana hawalimi?. Maana Kama misongamano Kama kariakoo nchi nzima si balaa. Ninachojua ni kua India ni moja wapo ya nchi kubwa pia kwa maana ya eneo la ardhi yao. Kwa mijini ni sahihi Kuna misongamano lakini Wana maeneo hata hayakaliwi ni watu na yanatumika kwa kilimo. Misitu na mbuga. Shida yao wanaabudu adi mang'ombe hahahaaaaaaPopulation vipi. MAANA India Kuna misongamanonya watu nchi nzima kama mtaa wa Congo.
Casualties naona kama zitakuwa kubwa zaidi upande wao Japo Pakistan hawawezi India.
Safiii piga piga majitu ya ajabu qjqbu!!!Mpaka kufika muda huu India imepoteza ndege 5 za kivita
Huko Yemeni marekani nayo yaomba poo
Muddy mweusi?. Maana umeropokaaaaa weeeeee alafu ukasahau kuwa muddy ni mweupe pia.Shida yako ww ulitaka Binadam wote Wamuabudu Mzungu Sijui wazungu wamekupa nini !!!!
Mizungu imeuwana kama sisimizi vita ya kwanza ya pili ya Dunia !!!
ile Vita ya pili tu watu milion 30 walikufa !!!!
Wazungu nimakatili sana Wabaguzi wa langi !!!
vipi niwe lofa nimwabudu Mzungu uku ananibagua langi yangu!!!
yani Mungu mkuu ananipenda ndio mana kaniumba awezi nibagua yeye nikama mzazi wangu!!!!!
Sasa kaja ZUNGU uyu Zungu anajifanya yeye ndio MUNGU lkn sasa anakwama apo awezi kujificha kuusu chuki kwenye ngozi ya Mweusi !!!!
Uko Argentina miaka ya nyuma Wazungu awa awa waliuwa weusi wote ndani ya nchi wabaki weupe pekeyao mana yake ww au mm au Weusi wote Dunian tungekuwa uko tungeshaangamizwa !!!!
uko Vatikan kwenyewe unaambwia subilini Moshi mweupe haaaaaa!!!!
sio Moshi mweusi !!!
au ndio siku akipatikana PAPA mweusi ndio utatoka Moshi mweusi..!!!!
Mzungu anakuona mweusi km laana kwake!!!!
mbaya zaid chuki imeamishiwa kwenye Dini
Tangu Dunia ya Ma PAPA
Papa wote Wazungu !!!
malaika pia wZungu haaaa maria mwenyewe Zungu basi watakatifu nao wote wZungu haaaaaa yesu wZungu woteee!!!!
ajabu zaid uko uzunguni Dini imeamia tu lkn Dini zimeshukia mashariki ya kati.. apo sasa kwa wenye akili.
Tuanzie apa apo Naomba picha ya uyo muddy nimkague namm langi yake na wasomaji waone langi yake????Muddy mweusi?. Maana umeropokaaaaa weeeeee alafu ukasahau kuwa muddy ni mweupe pia.
Kwa kifupi hakuna mkuuundu yeyote ambaye mweupe siyo mbaguzi kwa mtu mweusi awe mzungu, mhindi, mwarabu. Wote hao ni wabaguzi na hakuna ambaye hajafanya ubaguzi toka nyakati za wakoloni.
Weupe wote duniani ni pipa na mfuniko. Wote ni ubaguzi.
utachekwa na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.Tuanzie apa apo Naomba picha ya uyo muddy nimkague namm langi yake na wasomaji waone langi yake????
Ni shidaSome of the conflicts involved Muslim insurgents from Indian territory who supported Pakistani rule.
Dini na siasa haviepukiki......Dini safi na siasa safi ndio mwarobaini.Tifu tifu lingine mjini, ni mtanange si wa kwa mpalange.. Aya vuta siti.. Dini yako itaamua ukae upande wa nani.
UISLAMU katu Ujawai m'bagua mtu Mweusi akuna Ushaid wowote Badala yake Uislamu ulikuwa karibu na watu Weusi !!!Muddy mweusi?. Maana umeropokaaaaa weeeeee alafu ukasahau kuwa muddy ni mweupe pia.
Kwa kifupi hakuna mkuuundu yeyote ambaye mweupe siyo mbaguzi kwa mtu mweusi awe mzungu, mhindi, mwarabu. Wote hao ni wabaguzi na hakuna ambaye hajafanya ubaguzi toka nyakati za wakoloni.
Weupe wote duniani ni pipa na mfuniko. Wote ni ubaguzi.
Ukimsifia wewe pekee inatosha, CR7 na Messi wenyewe hawakukubaliwa na Watu wote duniani, who cares about Yamal?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wewe ndio umeseme muddy mweupe nimeomba picha unaniuliza mimi muddy alikuwa nani !!!!utachekwa na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.
Au swali langu limekuzidi uwezo wako wa kufikiria?.
Tatizo ulichangia ukamaliza maneno ukasahau kua mudy naye ni mweupe siyo mweusi. Ulichangia Kwa stahili ya nyani kuwa na kundu jekundu ukasahau na wewe ni nyani mwenye kundu jekundu Kama unayemcheka . Yaani Nyani haoni kundule.
Nakuuliza Tena Muddy ni Mweusi?. (Mwafrica).
Maana yule uliyemuita Zungu(Yesu) pamoja na uzungu wake amepitia Africa kwa kuishi misri japo aliletwa na wazazi kukimbia asiuwawe.
Hili litimie neno hili kuwa Toka misri nalimwita Mwanangu.
Mathayo 2:14-15
[14]Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri;
[15]akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema,
Kutoka Misri nalimwita mwanangu.
Yesu lini kabagua mtu mweusi?. Usichangaye kipindi wanatafuta maslahi yao ya kibiashara dunia na dini?. Ndiyo maana kwenye maslahi ya kibiashara kulikua na biahashara ya utumwa ambaya ilimuuza mtu mweusi tu na imefanya na watu hao hao weupe wazungu na waarabu pia. Sasa ukichanganya waarabu na biahashara ya utumwa walikuwa wanauza watu pia lakini haikuwa dini Bali maslahi yao ya kibihashara . Tatizo lako siku zote. Maslahi binafsi ya kibiasha unaleta kuhusisha dini akifanya mzungu. Basi usisha na biashara ya utumwa na uislamu pia maana mwarabu kamuuza sana mtu mweusi.UISLAMU katu Ujawai m'bagua mtu Mweusi akuna Ushaid wowote Badala yake Uislamu ulikuwa karibu na watu Weusi !!!
ndio mana kuna mtu anaitwa BILAL kati ya watu Wakaribu sana wa!!
Mtume Muhammad S.A.W !!!
pia ndani ya Uislamu mtu Mweusi ndio mwasisi wa Adhana ile unasikiaga asubui saa 11 alfajir !!!!
iyo Adhana inatumiwa Duniani kote adi uko uko Ulaya lkn Mwasisi wake ni Mweusi !!!
sasa tuje uko kwa Wazungu bin Cristian !!! uko mweusi anasaminiwa vip kafanya lipi linakumbukwa kwenye Dini akuna ???
Basi mweusi kashawai kuwa Swaiba wanani uko!!?????
Dini linibague mm nimo kama Zombi Zombi.. ndio mana Uislamu Mababu zetu wenye Akili waliuwelewa alaka alaka kuliko iyo kila kitu kajiweka yeye Mzungu!!!
jamaa ata apa Tanzania Mlima kilimamjaro kqjiweka yeye Ziwa Victoria kajiweka yeye unasikia kuna Lingstone!!!!
ndio walewale wameacha tu sheteni jini jitu bayaa la Kutisha Nuksi ndio imewekwa langi Nyeusi shubamit zao..!!
Nashindwaga kuelewa inakuwaje huyu mkongwe hadi leo hii hajalamba U-platinum!T14 Armata yuko nondo sana ishu za kivita JF, naomba ajengewe sanamu na kupewa cheo cha "Field Marshal".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kua India na Pakistan wanamiliki Nuklia ila Iran wao hawana uwezo wa kumiliki Nukliaπ ππTatizo la Pakistan licha ya kumiliki nyuklia hawaachi chokochoko za ugaidi wa kiislamu, magaidi ya waislamu yanatumia ardhi yake kuchokonoa India.
Sijui hawa Wahindi wa Pakistan waliingiaje kwenye mkenge wa hiyo dini.
Na ndio maana Iran inapaswa izuiwe kumiliki nyuklia kwa namna yote