Vita imehamia Pakista, India yateketeza target 9 ndani ya ardhi ya Pakistan

Natumia hoja ndugu sio kutukana nimetoa hoja juu Ubaguzi wa langi kwenye Dini ya Mfumo WAZUNGU!!!

sio kutukana hoja nimetaja mapapa wote Wazungu malaika Wazungu Yesu Mzungu Maria Mzungu Watakatifu pia wote Wazumgu sikuongelea Uislamu !!!!

lkn uyo jamaa akaja na haja 2 tu japo kavavanya sana matusi lkn hoja nilizoweza ona 2 moja anadai Uilslamu pia kuna Ubaguzi !!!

pili muddy umuoni sasa ya muddy nilitaka athibitishe langi yake mana kaja kama anamjuaaaa!!!!!!!

Nilicheka kwakwelli !!

Je Dini ya Kislamu nayo ni ya ubaguzi nimemjibu na mifano nikatoa kuusu Bilal ndani ya Uislamu. . Na jinsi anavoeshimiwa ndani ya Dini adi kesho..
 
Kwa hiyo huyo Putin sio mbong'oaji wa msikitini ni muumini wa Eastern Othordox sijui una maana gani unaposema Russia ni ndugu zako una udugu na makafir ?
 
India ni Kama mazayuni wasshafagia huko wapakistan wasio na hatia
 
Twende talatibu tu tutaelewana !!!!

Kwaiyo mwarabu ndio Dini Lebanon wanatumia kiarabu kanisani Biblia za kiarabu kwaiyo Mwarabu kwako ndio Uislamu ?? 1) pili mm sijasema kuusu Ubaguzi wa langi wa Wazungu uko ulaya kwenye mipila au Biashara za utumwa.. !!!!

HOJA hiii kwann ndani ya Ukristo YESU Mzungu Maria pia Mzungu Malaika nao Wazungu ?

sasa tuje awa MAPAPA ndio mziki zaid Sababu awa PAPA Wanachaguliwa na Binadamu !!!!

Sasa inakuwaje tangu Dini hii ya Ukristo ipo Dunian asitokee PAPA Mweusi inaingia akilini kweli !!!

tuje tena kwenye Watakatifu nao wate Wazungu !!!!

Siongei biashara naongea msingi wa Dini

sasa apa tuseme Ngozi nyeusi inabaguliwa na Mungu mm nitasema apana aiwezekani Mungu aniumbe yeye tena yeye atubague sisi viumbe wake Weusi !!!!

Apo ndipo napata Shaka yumkin mungu wa Wazungu sio mumgu wangu au wawatu weusi yule mungu wao weupe tu sisi weusi tunajipendekeza!!!!
 
Hii battle ime mkalia vibaya india maana mchina nae huwa ana msaka sana india , defence anazo tumia Pakistan ni za mchina
 
Acha kuelezea vitu vya hovyo, hapa Tz tu kuna msemo, "aheri shehe mlevi kuliko shehe mweusi". Sudan hapo dini moja ila wamechinjana kinyama kwa ajili ya ubguzi wa rangi.
 
Maisha Kiujumla Ni Vita Tu...Na Mbaya Zaidi Viliasisiwa Toka Mbinguni...
 
Hizo za mashariki ya kati ni tamaduni zao tu na sio dini. Zimebadilishwa tu jina na kuitwa dini ili kurubuni watu wajinga kama nyie.
 
Jamani tuombee amani itawale katika mataifa hayo na mengineyo yenye migogoro mbalimbali
 
Ndiyo maana nilikuuliza swali jepesi mohamad ni mweusi? Ukakimbia kusema nikupe picha. Wewe unaweza kunipa picha halisi Yesu?. Achana na hiyo ya kubuni.
Ukisema siyo Mungu wa weusi nakukatalia. Shida ipo kwenye kuaminisha. Sasa ikiwa si wa weusi iweje wa Muhammad awe wa weusi?. Wakati muhamadi si mweusi maana ni jamii ya watu wa uarabuni.
 
Kwa hiyo huyo Putin sio mbong'oaji wa msikitini ni muumini wa Eastern Othordox sijui una maana gani unaposema Russia ni ndugu zako una udugu na makafir ?
Izi Dini zinatambua uwepo wa Dini nyengine lkn pia zinatambua mtu kubadili Dini !!!

lkn pia zinatambua wapo watakaokufa uku awamjui Mungu wa Kweli ndio mana kuna MOTO !!!!

kwakua Dini imetambua uwepo wa watu aina izo mm ninani wakuzuiya mapenzi ya Mungu kila kilichopo kipo kwa mapenzi yake!!!

Ishi nawatu vizuli ikiwa uyo jilan nayeye anataka kuishi kwa Wema naww..!!!

sio jukum lako kuufanya ulimwengu uwe na Dini moja unayoiyamini ww !!!!

mengine mwachie Mungu kwakuwa niseem ya uumbaji wake,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…