Wanaukumbi hizi Imani za kumpigania Mungu zinaitesa Dunia, vita nyingi zinazohusisha vikundi vya kigaidi kama Hayat Tahrir al-sham inayoshusha kipondo kwa mashia ya Irani na Syria ni ya kidhehebu zaidi.
Hao wote ukiwauliza wanasema wanampigania Allah kwa kuwafuta makafiri.
Swali ninalojiuliza kwanini wampiganie Allah wakati yeye ndo muweza yote? Naamini kama muweza yote anaweza kujitetea mwenyewe pasi msaada wa wanadamu.
Sasa kwanini tuwe wasemaji na wahukumu kwa niaba yake? Yeye mwenyewe amekaa kimya hao uliwaita makafiri anawapa mvua,jua, chakula na mavazi na neema zingine tele wewe kiherehere chanini?
Nasemaje wote wanaoinua upanga kwa jina la Allah ni watu wenye Imani potofu hawana tofauti na wale wanao uwa walemavu wa ngozi kwa kisingizio cha kutaka utajiri.