Vita inayoendelea Syria ipo kimadhehebu zaidi kati ya Suni na Shia

Vita inayoendelea Syria ipo kimadhehebu zaidi kati ya Suni na Shia

Najua unataka kusingizia Marekani lkn Dunia mzima inajua wanaupigania uisilam mpaka kufa hizo propaganda zenu SI muumini wake
Alqaeda unajua imeanzishwa lini mkuu na kwa minajili ipi!?
IS pia unajua chanzo chake!?
Nenda kafuatilie vizuri mkuu.
Hivyo ni vikundi vinatumiwa tu,hao Alqaeda unajua kama 2013 wametumiwa na Saudi Arabia nchini Yemeni kupigana na Houthi!?
Najua unataka kudai ni wamarekani hizo ni propaganda za kitoto,wale ni waisilamu safi kuliko wewe na wapo tayari kuyatoa maisha Yao kwa ajili ya dini Yao kuliko wao,mnapo anza kuona ni Imani ya kijinga mnawakana ili muonekane safi lkn ni walewale
 
Ni lazima dini itumike kama kisingizio kwasababu kuna ukinzani wa kimadhehebu kati ya sunni na shia.
Hivyo ukimfuata sunni na kumtia wadudu kichwani kukiamsha ni dakika mbili tu dhidi ya shia na wewe unapata unachokitaka.
Mbumbumbu sio waislam ni waarabu.
Duh iwe
 
Najua unataka kusingizia Marekani lkn Dunia mzima inajua wanaupigania uisilam mpaka kufa hizo propaganda zenu SI muumini wake

Najua unataka kudai ni wamarekani hizo ni propaganda za kitoto,wale ni waisilamu safi kuliko wewe na wapo tayari kuyatoa maisha Yao kwa ajili ya dini Yao kuliko wao,mnapo anza kuona ni Imani ya kijinga mnawakana ili muonekane safi lkn ni walewale
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Pole yako aisee.
Alqaeda na Taliban zote zilianzishwa kipindi cha kuidhoofisha USSR.
Kama Alqaeda wanapigania uislam KWANINI WALIENDA YEMENI KUPIGANA NA HOUTHI!??
Kwanini hawapatani na Houthi na Hizbollah!??

Endelea kufungwa akili bro.
Kama waislam wangekua wanataka utawala wa dunia basi Kuna mataifa yenye NGUVU ya kiuchumi yangeunga muungano kama ilivyo caliphate za zamani OTTOMAN,PERSIA,HALLEP,IRAQ na wangeanzisha vita.
Maana Kuna Malaysia,Indonesia,Qatar,Kuwait,Bahrain,Oman,Brunei,Iran hizi nchi zina nguvu ya kiuchumi na kijeshi.

Wangeungana na wangeutafuta huo utawala wa dunia unaousemea.
Wewe unakuja kutaja vikundi vyenye internal conflicts!???
Unafurahisha sana bro.
 
Siyo kwamba hapo tatizo ni dini yao ndugu
Tatizo sio dini peke yake mkuu.
Asili pia inachangia,muarabu awe muislam awe mkristo linapokuja suala la madaraka kugeukana dakika sifuri.
Japo dini inachukua nafasi kubwa katika migogoro takriban yote hapo Middle east na inakua ngumu kuiepuka dini kwasababu asilimia zaidi ya 70 watu wa mid east ni waislam wa madhehebu tofauti.
 
Maandamano yazidi kushika Mozambique baada ya waandamanaji kufunga na kushikilia barabara zote za mji wa Maputo​

Israel inalengo zaid ya iyo vita wanataka Dunia akili zao zibaki Syria ilo yeye sasa akafanye mauwaji makubwa pale Gaza raia wawaswage mpakani na Misri lkn watu wapo macho sana. Zayuni akili ana.

Kwakweli Israeli anawanyima Raha. Vita vya Syria vimeanza mwaka 2011, wewe unamlaumu Israel. Mbona mauaji anafanya kila siku Gaza. Na eneo kashajichikulia.
 
Ooo
Ni lazima dini itumike kama kisingizio kwasababu kuna ukinzani wa kimadhehebu kati ya sunni na shia.
Hivyo ukimfuata sunni na kumtia wadudu kichwani kukiamsha ni dakika mbili tu dhidi ya shia na wewe unapata unachokitaka.
Mbumbumbu sio waislam ni waarabu.
Ok hapa umenielewesha vizuri,inamaana waarabu mbumbumbu wanautumia uislam kufanikisha malengo ya wazungu werevu.
Kwahio waarabu hakuna wenye akili hadi wanazidiwa ujanja na waarabu mbumbumbu
 
Kama lengo la dini ni kuleta amani, kwa nn dini hiyo hiyo itumike kuleta mtafaruku katika jamii, ina maana amekosekana mtu muhimu katika jamii ya uislamu kuwashawishi kuondoa tofauti zao hadi watoane roho, sasa kuamini kwao dini kuna saidia nini ?
Kinacho nishangaza kila yakitokea machafuko wanaolaumiwa ni magharibi,sasa ukifikiria hawa watu walishamjua mbaya wao kwa nini wasitafute namna ya kukabiliananae badalayake wanaendelea kuuana wao kwa wao,unagundua tatizo sio magharibi tatizo ni wao wenyewe ila wanatafuta wa kumshushia lawama ndio maana vitazao huwa haziishi zinatulia tu.
 
Huo ndio uhalisia.
Japo ukiachana na udini,linapokuja suala la madaraka waarabu ni rahisi sana kuwagombanisha.
Usiseme kuwagombanisha sema waarabu ni watu wa visasi ndio,na linapokuja suala la madaraka akilizao wanaziacha kwenye viremba vyao upepo ukipuliza unaondoka nna kilemba pamoja na akili wanabakiwa na fuvu linalobaki na kumbukumbu ya kuua tu
 
Tatizo sio dini peke yake mkuu.
Asili pia inachangia,muarabu awe muislam awe mkristo linapokuja suala la madaraka kugeukana dakika sifuri.
Japo dini inachukua nafasi kubwa katika migogoro takriban yote hapo Middle east na inakua ngumu kuiepuka dini kwasababu asilimia zaidi ya 70 watu wa mid east ni waislam wa madhehebu tofauti.
Kwa maanahiyo unakubali kama asilimia 70 ya migogoro ya middle east dini inahusika? Utakataa vipi sasa kama dini ndio tatizo kubwa?
 
Kwa maanahiyo unakubali kama asilimia 70 ya migogoro ya middle east dini inahusika? Utakataa vipi sasa kama dini ndio tatizo kubwa?
Embu rejelea kusoma nilichoandika maelezo yanajitosheleza Hadi kujibu ulichouliza sasa.
 
Usiseme kuwagombanisha sema waarabu ni watu wa visasi ndio,na linapokuja suala la madaraka akilizao wanaziacha kwenye viremba vyao upepo ukipuliza unaondoka nna kilemba pamoja na akili wanabakiwa na fuvu linalobaki na kumbukumbu ya kuua tu
Suala la visasi linajulikana ila kuwagombanisha waarabu ni jambo lipo.
Rejelea Israel alivyopandikiza chuki za udini wa sunni dhidi ya wakristo na shia pale Lebanon.
Waliuana sana tu.
 
Suala la visasi linajulikana ila kuwagombanisha waarabu ni jambo lipo.
Rejelea Israel alivyopandikiza chuki za udini wa sunni dhidi ya wakristo na shia pale Lebanon.
Waliuana sana tu.
Inamaana mpaka leo waarabu hawajui kama wanagombanishwa? Au visasivyao ndio vinapelekea wao kugombana mara kwa mara na kusingizia kama wanagombanishwa?
 
Inamaana mpaka leo waarabu hawajui kama wanagombanishwa? Au visasivyao ndio vinapelekea wao kugombana mara kwa mara na kusingizia kama wanagombanishwa?
Visasi vinakujaje na vinaanzaje?
Ni nini chanzo cha hivyo visasi hadi mgombane wenyewe kwa wenyewe?
Kwa mataifa yenye akili huwezi kuyagombanisha,kwani Oman hakuna shia?
Je umesikia wakigombana kuhusu madaraka na vitu vingine?
 
Tukubaliene kwa pamoja kama mimi ninavyoamini binafsi,hayo mataifa ya kiarabu yanayogombana hawana akili ndio maana vita haaishi inatulia tu kwa muda.
 
Kichekesho wanaisingizia Israel... Imeifanya hata Waturuki wacheke
 
Back
Top Bottom