Vita inayoendelea Syria ipo kimadhehebu zaidi kati ya Suni na Shia

Wakati wa muhamad alivyokuwa anaeneza dini. Alikuwa anapigania malignant gan
Niwaulize kitu, Wewe unashamba linamazao mazuri na wengine hawana km yako,anakuja mtu kwakua anauwezo zaidi yako anakuambia ninachukua hilishamba ni lakwangu,mashariki ya kati kuna malighafi zote unazozijua duniani ambazo wamagharibi hawana,Saudi Arabia hanavita kwakua ni papeti wa US,Syria ni wa Russia usitegemee km atakua na amani,sawa na Venezuela,hakuna nchi yenye mafuta km hio kushinda hata Saudis lkn hawezi ishi Kwa amani kwakua hawapo upande wa US
 
Brother unachoshindwa kuelewa ni nini?

Syria yupo US, Turkey, Iran na Russia.

Haya tusaidie kufafanua kwa kutumia muktadha wa Uzi wako!
Huoni kabisa uhasama wa wasuni na washia hapo au hujaelewa?
 
Suala la kuteka maeneo sio la kidini.
Usijisahaulishe kuwa dola ya Urumi ilivamia maeneo mengi na kuyatawala hadi middle east,je hao waislamu!?
Usijisahaulishe kuwa BERLIN CONFERENCE MEANT FOR DIVIDING AFRICA AMONGST IMPERIALISTS imefanywa na wazungu,je walikua waislamu!??
Duniani asili ipi ilikua imefanya colonialism kama sio wazungu!?

Unafeli sana kijana.
Vita za Syria ni za maslahi ya kidiplomasia zilizochochewa kidini.
Fanya analysis kabla hujaandika mada unafeli sana.
kwa maelezo yako hujui kia Urumi iliendeshwa kidini , au unahisi dini ni uislam tu ?
 
Suala la kuteka maeneo sio la kidini.
Usijisahaulishe kuwa dola ya Urumi ilivamia maeneo mengi na kuyatawala hadi middle east,je hao waislamu!?
Usijisahaulishe kuwa BERLIN CONFERENCE MEANT FOR DIVIDING AFRICA AMONGST IMPERIALISTS imefanywa na wazungu,je walikua waislamu!??
Duniani asili ipi ilikua imefanya colonialism kama sio wazungu!?

Unafeli sana kijana.
Vita za Syria ni za maslahi ya kidiplomasia zilizochochewa kidini.
Fanya analysis kabla hujaandika mada unafeli sana.
Kunasababu nyingi za kuteka maeneo zikiwemo za kiuchumi na kidola,Sasa Waisilam tokea awali wamekuwa na tamaa ya kutawala kidola Dunia nzima,huo,huo moto bado wanao na wanaamini sikumoja watashinda na kuitawala Dunia

Huwa hawaishiwi uanaharakati wa kutafuta Dola Yao ndo utaona vita Kila Kona kauli mbiu Yao tunataka haki yetu, hiyo haki wanayoitaja ni haki ya utawala na si nyingine

Wanaona uchungu sana kuona nchi zisizo za kiisilamu zinanguvu za kijeshi kwa sababu ni tishio katika njia yao kutafuta Dola la kiisilamu,hawapendi kabisa nchi za magharibi na wakati Fulani walipigana na Urusi huko Chechinia wakitaka Dola yao

Mapigano yanayoendeshwa na vikundi vya kigaidi kuanzia Yemen,Syria,Nigeria,Congo DRC,Msumbiji n.k ni kutafuta Dola ya kiisilamu,na hata Tanzania hatupo salama sana dalili zilishaonekana kule Tanga mapango ya amboni na Kibiti pwani ila nasikia wapo msubiji na wakati flani wanavuka mpaka na kuua raia mpakani hapo Mtwara

Unisamehe kama ni nimekukwaza ila ndo ukweli ila shida zaidi inakuja pale wasuni wanatafuta Dola ndani ya Dola ya washia na washia wanatafuta Dola ndani ya Dola ya wasuni
 
Duuuuh umeongopa sana mkuu!!
*Yemeni Houthi walipigana kuondoa utawala wa Mansour ili watawale wao,vita za Yemeni zilikua vita za madaraka ya ndani,je uliona Houthi walivamia nchi tofauti na yao!?
*Syria vurugu za pale zipo nyingi ikiwemo kumuondoa Assad na kurdi kuanzisha taifa lao.Haihusiani na utawala wa kidunia kama unavyodai.
*Congo DRC wanaohusika na M23 wanaosaidiwa na Paul Kagame pamoja na waasi wengine ambao wao wanataka kujitenga na Congo kuu pamoja na kushikilia maeneo yenye madini.Wahusika ni wakristo wenzako USA,France na makampuni ya kiyahudi ambayo yanafadhili bloody minerals.
*Msumbiji nao vile vile kama Congo tu,umeona wapi gaidi anakimbilia kushikilia maeneo ya madini tu!?
*Nigeria Boko Haram ni poachers majangiri na majambazi tu,kama kweli ingekua wanataka madaraka wange march kuelekea maeneo muhimu ya nchi,wao wanabaki kupora mali na kuteka wanawake.

Kuhusu sunni na shia huo ni ugomvi wa kimadhehebu wa ndani ya nchi wenyewe kwa wenyewe.
Sasa sijajua concept yako ya kuteka maeneo kidini na haya yanayoendelea vinahusianaje!?
Maana sijaona nchi ya kiislam ilivamia ardhi nyingine kama ilivyofanya Russia kwa Ukraine.
Bali ni wenyewe kwa wenyewe wakiwa na internal conflicts kuwa nani atawale nani asitawale na kwasababu zipi ikiwemo hizo za udini.

Mkuu fanya analysis kabla ya kuandika.
 
Nafahamu nilichokiandika

Sikiliza nazungumzia wanaharakati wa kiisalamu,hao tangu enzi za Muhammad hawana mipaka wanaitaka Dunia yote,mfano hapo Kongo kunakikundi kinaitwa IDF hicho kinapigana kuanzia Uganda mpka Congo na viongozi wake baadhi ni waisilamu wa Tanzania,kiongozi wa mkuu alikamatiwa kigoma,hicho kikindi kinataka kutawala Dola yake bila kujali mipaka,

Kuna Al Qaida hao wapo Afghanistan,Syria na hata wakati Fulani walikuwepo Sudan

Kuna IS hawa wapo Yemen ( HTS) wanapogana Sasa hv,Wapo Iraq,Syria,Somalia,Msumbiji na IDF Congo

Kuna Boko Haram, hawa wapo nchi kadhaa za afrika magharibu

Hao wanaharakati Wanapigania Dola la kiisilamu bila kuheshimu mipaka ya nchi
 
Wanaukumbi hizi Imani za kumpigania Mungu zinaitesa Dunia, vita nyingi zinazohusisha vikundi vya kigaidi kama Hayat Tahrir al-sham inayoshusha kipondo kwa mashia ya Irani na Syria ni ya kidhehebu zaidi.

Hao wote ukiwauliza wanasema wanampigania Allah kwa kuwafuta makafiri.

Swali ninalojiuliza kwanini wampiganie Allah wakati yeye ndo muweza yote? Naamini kama muweza yote anaweza kujitetea mwenyewe pasi msaada wa wanadamu.

Sasa kwanini tuwe wasemaji na wahukumu kwa niaba yake? Yeye mwenyewe amekaa kimya hao uliwaita makafiri anawapa mvua,jua, chakula na mavazi na neema zingine tele wewe kiherehere chanini?

Nasemaje wote wanaoinua upanga kwa jina la Allah ni watu wenye Imani potofu hawana tofauti na wale wanao uwa walemavu wa ngozi kwa kisingizio cha kutaka utajiri.
uturuki nao wamefungua njia ili syria wachapwe,
 
Nafahamu nilichokiandika

Sikiliza nazungumzia wanaharakati wa kiisalamu,hao tangu enzi za Muhammad hawana mipaka wanaitaka Dunia yote,mfano hapo Kongo kunakikundi kinaitwa IDF hicho kinapigana kuanzia Uganda mpka Congo na viongozi wake baadhi ni waisilamu wa Tanzania,kiongozi wa mkuu alikamatiwa kigoma,hicho kikindi kinataka kutawala Dola yake bila kujali mipaka,

Kuna Al Qaida hao wapo Afghanistan,Syria na hata wakati Fulani walikuwepo Sudan

Kuna IS hawa wapo Yemen ( HTS) wanapogana Sasa hv,Wapo Iraq,Syria,Somalia,Msumbiji na IDF Congo

Kuna Boko Haram, hawa wapo nchi kadhaa za afrika magharibu

Hao wanaharakati Wanapigania Dola la kiisilamu bila kuheshimu mipaka ya nchi
Alqaeda unajua imeanzishwa lini mkuu na kwa minajili ipi!?
IS pia unajua chanzo chake!?
Nenda kafuatilie vizuri mkuu.
Hivyo ni vikundi vinatumiwa tu,hao Alqaeda unajua kama 2013 wametumiwa na Saudi Arabia nchini Yemeni kupigana na Houthi!?
 
Inasemekana kuna Majahazi 500 yaliyosheheni Wanamgambo wa Kihouthi wanaelekea Syria kwa Amri ya Ayatolah.

Wanatoka Yemen hadi kusini mwa Iraq halafu watatia Nanga kwenye Mji wa Mashia wa Basra halafu usiku mkubwa wanasombwa na kuelekea Syria kwenda kwenye mapigano dhidi ya "Makafiri" wa Kisunni.😁

Hii Vita bado mbichi na huenda Donald Trump na Ayatolah uso kwa uso kwenye uwanja wa Vita huko Syria.

Sasa hivi Macho yote Syria 🇸🇾 Netanyahu anakula Popcorn tu huku anatazama Picha inaendaje.
Washia wameanza kuvimba kichwa.

Middle east kuanzia Syria, Iraq na Iran zinabidi zigawanywe ziwe nchi mpya
 
Iran ni Shia Majority, Iraq ni Shia Majority, lakini Syria na Jordan Sunni ndio wengi, Syria kwa upande mwingine inatawaliwa na Shia wachache wa Madhehebu ya Alawites ambao Sunni Majority wanawaconsider kuwa ni "Makafiri".😁
 
Ni sahihi hujakosea.
Mbinu ilotumika ni kutumia udini kuwagombanisha japo lengo ni maslahi ya kidiplomasia.
Kwa hiyo Uislamu ni dini ya kipumbavu, imani itatumiwaje na watu kupambania masilahi yao ? sema Uislamu una migogoro ya wenyewe miaka dahari baada ya kifo cha Mudi, hawa waliona Loophole wakaamua kulitumia ili wauane wao kwa wao.
 
Unauliza nini halafu unasema nini!?
Embu jifunze kupanga context mkuu.
Maelezo ya chini ndio ulitakiwa uyaeleze sio hilo swali ulilouliza,japo ulitakiwa useme kuwa hata wazungu na wakubwa wengine wanaitumia hiyo mianya kufikisha azma zao.
Ilikua rahisi kumshawishi Saddam Hussein kuvamia Iran 1980 kwasababu ya utofauti wa usunni na Ushia.
Japo USA naye alikua na azma yake ya kufanya regime change Iran.
Ndio sawa na kinachotokea Syria.
 
Inamaana hii dini imejaa mambumbumbu,kila kwenye vita mashariki ya kati tunaambiwa dini inatumiwa kama kisingizio sasa ni lini nao watashtuka ili dini yao isitumike?
Ni lazima dini itumike kama kisingizio kwasababu kuna ukinzani wa kimadhehebu kati ya sunni na shia.
Hivyo ukimfuata sunni na kumtia wadudu kichwani kukiamsha ni dakika mbili tu dhidi ya shia na wewe unapata unachokitaka.
Mbumbumbu sio waislam ni waarabu.
 
Kama lengo la dini ni kuleta amani, kwa nn dini hiyo hiyo itumike kuleta mtafaruku katika jamii, ina maana amekosekana mtu muhimu katika jamii ya uislamu kuwashawishi kuondoa tofauti zao hadi watoane roho, sasa kuamini kwao dini kuna saidia nini ?
 
Back
Top Bottom