Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Kiboyo ya huyo Ney ni Nikki Mbishi
 
naona ney wa mitego kashalizua la kulizua
 


Kwa maneno hayo, Ommy Dimpoz anadhihirisha kabisa yeye sio riziki. Ney wa Mitefo hasemagi uongo
 
Isingelikuwa kweli Ommy Dimpoz hakuwa na haja ya kumjibu Nay kwa Instagram, ukweli unauma hahahaaaa.....
 
Hapa Ommy Akimchamba Neema wa Mitegi

😀😀😀😀🙁🙁
 
Hivi unafikiri hizo account za kutukana hazina faida?? Hao wanatafuta followers kwa migongo ya wasanii wakubwa. Wanajua kwamba wabongo tunapenda umbea na majungu ndio maana wanafungua account hizo. Na wana followers wengi wa kutosha.

Wanajaza followers kutengeneza pesa through Ads and wengine wana wgatsapp groups za kulipia. Eg Kungwi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hahahahahaa Ommy Dimpoz katisha sana,uwiiii sio kwa majibu haya.
Ngoja niende Insta kushuhudia mpambano vizuri.
Dimpoz katisha sana, nimependa hapo 'NIMEKUJIBU ILI UPATE PROMO YA WIMBO WAKO'!
 
Hapa ninachokiona, ommy dimpoz alitakiwa ajibu swali kwanza, then amponde ney, dongo la ney kwa ommy inaonekana ni kweli kwa kuwa ommy hajakanusha!!!???
 
"Ray anakaa kwa mama
Hela ya bongo movie
Ananunulia mkorogo"
Utani wa ngumi huu
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Utani wa ngumi kweli huu. Huyu Ney anatafuta balaa
[emoji109]
 
Hii ndio sabab sipendi fame na kua na marafiki wengi. Siku zote ogopa mazoea kama unavyo ogopa Ukimwi.

" Ajipatiaye marafiki wengi hujitaftia uharibifu wake mwenyewe, ila yuko rafiki ambatanaye kuliko ndugu " -- Mithali 18:24

Minding your own business will make you rich & happy. -- 1 Thessalonians 4:11- 12
 
Hahahaaaa wewma anatafta kiki ya msimu, huyu jamaa anajua kunyambisha watu
 
Dimpoz hajajibu lolote wala hajakanusha kaleta mipasho. Mambo ya paspoti yanahusu nini sasa? Jibu tuhuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…