Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Ila mwisho wa siku, jinsi alivyomaliza Ommy ni kwamba wao kama wasanii hawako serious, anampa promo na wimbo wake, yaani kaweka hadi link ili jamaa akapate views za kutosha!
 
Hii nyimbo wamesemwa watu wengi sana na sio Ommy pekeake...nakumbuka hata kabla haijatoka Niva ambae ni mmoja wa watu aliepigwa madongo pia alimjibu kwa ustaarabu sana na kiuanamme pia....ila sasa Ommy kafunguka kama demu vileee,hapa amenipa wasiwasi huenda yaliyosemwa kwenye hii nyimbo yana ukweli.
 
1. Jina tu "Ommy Dimpoz" limekaa kijike jike... Mwanaume kamili huwezi kuwa na Jina laini kama hilo.


2. Uvaaji wake ni wa kike kike.... Anavaa nguo za dada zake.


3. Majibu yake yamekaa kike kike.... .


Inaonekana Jamaa anaguswa Kijambio....



Mzee!
 
Hivi huyu Ney before men he introduces himself as a meenn!!! ??
 
Mimi huyo ney ndio nna Wasiwasi nae,manake mambo anayofanya ndio ya kike..hawezi kuwa kila nyimbo anaongelea wasanii wenzie hata kama kutafuta kkiki babu,iyo yake imezidi..halafu ushamba unamsumbua...namnukuu AY "unaweza kuwa na mkwanja na bado ukaonekana mshamba"
 
To some extent ney wa mitego kafanya hiphop, hata mbele hizi mambo zipo sana labda kama hamfuatilii american hiphop na mambo ya beef, watu wanaimbana watukanana na kuchafuliana mpaka wanatafutana kwa bastola na mitutu, ni hatari.

Beef kama hizi huonekana za kijinga ila kwa upande mwingine wanaosikiliza wanapata ujumbe na wanajifunza, emu chukulia alivyowachaa basata, it's somehow a fact, na inahitaji mtu kama ney aseme... wakipasuana ni wao kivyao sisi tunfirahi tu....
 
Afadhali shetta hajajibu kuhusu kupewa gari na chief kiumbe angefanya wabongo wafukue mafaili yake. ..pia kwanini ney hajamchana rommy Jones maana hii tabia ya ommy na rommy si ya kufumbiwa macho....nikirudi kwa ney nadhani pesa zinamchanganya ndo maana anapaka bila woga ila kama hajajipanga vizuri game inamshinda maana support ya mawingu haipo tena
 
Muuza Sura hebu fafanua hapo kwenye support ya mawingu haipo tena
 





Siku moja baada ya Staa wa bongo fleva Nay wa Mitego kuiachia ngoma yake ya ‘Shika adabu yako’ ambayo ndani yake kawazungumzia baadhi ya wasanii akiwemo Ommy Dimpoz, sasa leo Feb 10 Ommy Dimpoz kupitia account yake ya Instagram kaamua kumjibu kwa kuandika maneno haya..

Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy#ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema



Unaweza kuisikiliza hapa ngoma ya Nay wa Mitegobit.ly/ShikaAdabuYako
 
Kama Ney Kuimba tu vile huwa anaponda vile sijui akijibu kwa kuandika Ataponda vipi!

Magufuli mzuka ukipanda vunja hadi ikulu
 
kwani ney ni jina la kiume????!
 
Huyu dogo anamichambo ya kike sana..!!

Ila siyo mbaya maana hata vitabia vyenyewe vya kike kujichubua mpaka kota..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…