Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Sio kweli, angalia facts achana conspiracies za wamiliki wa mafuta na wajinga
 
USA ipi?? Hii ambayo inaongoza kwa madeni? Madeni ambayo wanadaiwa na Corporations za watu binafsi?

Hao watu wana uwezo wa kuteketeza uchumi wa USA wakitaka, sasa wameanza na dollar, wanahamia Digital Currency.......
nasikia wanadaiwa tena na china
 
Hakuna vita ya dunia tena ilo futa akilini, japo dunia na falme na mamlaka zilitaka ivyo ilikutimiza yalioandikwa katika ufunuo 16:16.

Ila Muumba ameshafuta iyo vita kupitia aliyosema katika

Isaya 2:2-4
4 Naye atafanya hukumu katika mataifa mengi, atawakemea watu wa kabila nyingi; nao watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao iwe miundu; taifa halitainua upanga juu ya taifa lingine, wala hawatajifunza vita tena kamwe.

Utaona miaka kadhaa mbele wote kimya hakuna tena vita ilo sambaa popote.
 
“Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.

— Ufunuo wa Yohana 21:1 (Biblia Takatifu)
Bora dunia ifutike tu, kilakitu kianze upya...🙄
 
Ni vita ngapi zimetokea baada ya hilo andiko kushuka au kuandikwa?

Baada ya enzi za Yesu na kitabu cha Injili kuwepo, ni vita ngapi zimefuata baada ya hapo mpaka kufikia leo hii?
 
nasikia wanadaiwa tena na china
Afadhali wadaiwe na china ni taifa na wanaweza kupunguziana kwa njia za kidiplomasia, lakini mbaya zaidi ni USA inadaiwa pesa nyingi na Federal reserve inayomilikiwa na watu binafsi.
 
Afadhali wadaiwe na china ni taifa na wanaweza kupunguziana kwa njia za kidiplomasia, lakini mbaya zaidi ni USA inadaiwa pesa nyingi na Federal reserve inayomilikiwa na watu binafsi.
hilo skatai maana wamarekani wanalalamika sana nakumbuka 2017 wamarekani walikuwa wana lalamika kwenye midahalo kwamba wanadaiwa dola trilion 300
 
hilo skatai maana wamarekani wanalalamika sana nakumbuka 2017 wamarekani walikuwa wana lalamika kwenye midahalo kwamba wanadaiwa dola trilion 300
Na sasa wanaelekea kwenye Digital Currency, huo ndyo mwisho wa freedom kwao, mfano Gov wakiamua kupiga pini Card ya mtu basi hawezi kununua au kulipia chochote.
 
Mashetani watawala wa hii dunia aka Illuminati cabal ,wanasema "Order out of chaos "
Kwamba ni lazima wasababishe chaos na misukosuko duniani ili baadaye walete utawala wao na kudeclare kuwa saviours .
Kika kinachotokea kwenye global stage kimepangwa na hawa ibilisi
 
Na sasa wanaelekea kwenye Digital Currency, huo ndyo mwisho wa freedom kwao, mfano Gov wakiamua kupiga pini Card ya mtu basi hawezi kununua au kulipia chochote.
sasa mkuu sikama tunaelekea kwenye ule mfumo hakuna kununua wala kuuza bila kuwa na chapa 666 ,ambapo 666 nichip au komputer.
 
Sahihi kabisa mkuu, order out of chaos ndyo falsafa yao Kuu

sasa mkuu sikama tunaelekea kwenye ule mfumo hakuna kununua wala kuuza bila kuwa na chapa 666 ,ambapo 666 nichip au komputer.
Huo mfumo utaanzia huko magharibi na kusambaa duniani kote, lakini hiyo ni mpaka NWO ianze rasmi.
 
tupo
tupo tayari
 
Ni vita ngapi zimetokea baada ya hilo andiko kushuka au kuandikwa?

Baada ya enzi za Yesu na kitabu cha Injili kuwepo, ni vita ngapi zimefuata baada ya hapo mpaka kufikia leo hii?
Nami nimejiuliza hilo swali, utafikiri hayo maandiko yameandikwa leo, wakati yamekuwepo miaka na miaka. Vita zote zimetokea na zinaendelea kutokea na hayo maandiko bado yapo.
Watu wanatafsiri biblia katika namna tofauti sana.
 
Kwasababu binadamu wana kiu ya POWER, dunia haitoisha kushuhudia damu zikimwagika mpaka siku ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…