Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #121
Hhhh, hapana mkuu mimi sio msabato na wala sijawahi kuingia kanisaniBila shaka ww ni msabato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhh, hapana mkuu mimi sio msabato na wala sijawahi kuingia kanisaniBila shaka ww ni msabato
Nyie watu mnashangaza sana hakika, yani na umri huo hujui kwamba UN wana askari wao?Nilipoona neno askari wa UN nikazima data!!!!
jamaa kachemsha sana eti UN itaivamia USUmeboronga hapo ulipoitenganisha UN na Marekani. UN na Marekani ni mtu huyo huyo moja. Wengine mle ni wafanyakazi wa ujira wanaolipwa na Marekani kijanjajanja.
Huwezi kuitenganisha UN na USA mkuu.Nai amekuambia UN ni kitu kimoja na USA?
UN ni adui namba moja wa USA, na ndiye atakaye tawala Marekani baada ya vita kukolea
UN na US wote ni watumishi wa bwana mmoja, ushirikiano wao sio wa bahati mbaya, ni mpango uliopangwa.Huwezi kuitenganisha UN na USA mkuu.
The founder of UN is USA and the leader of UN is USA.
Kama ni kuwa juu kiuchumi, basi Afrika tulipaswa kufanya hivyo kabla, lakini wakati umetuacha, tayari kila kona tunategemea magharibi.Itakuwa ndio wakati wa Afrika kuwa juu kiuchumi, natamani nchi zetu zisijihusishe kabisa na hii vita
Muafika akitaka kuwa juu labda abadili mfumo wa pesa , ila ni jambo haliwezekani ...Yaani akatae pesa zinatokana na wazungu.Itakuwa ndio wakati wa Afrika kuwa juu kiuchumi, natamani nchi zetu zisijihusishe kabisa na hii vita
Bila kuwasahau NATONorth vs South Korea
China Vs Taiwan, Japan, USA
Ukraine vs Russia, North Korea, Iran
DRC vs Rwanda
Iran vs Israel
UN muanzilishi ni USA utasemaje UN iivamie USA!?UN na US wote ni watumishi wa bwana mmoja, ushirikiano wao sio wa bahati mbaya, ni mpango uliopangwa.
Niliposema UN wataingia USA, sio kwamba ni uadui, ilna mpango wa ku take over America and Europe, then baada ya hayo mataifa makubwa kuwa chini ya UN, Hapo ndipo serikali moja itaundwa.
Wapi nimesema itavamia? Namaanisha wataingia kama kusimamia usalama na ndyo watachukua mamlaka yote. Wakati huo wanajeshi wengi wa USA watakuwa vitani nje ya nchi yao.UN muanzilishi ni USA utasemaje UN iivamie USA!?
Nani ataiongoza UN iivamie USA ambaye ndiye muanzilishi wake!?
Una uhakika mkuu!?Wapi nimesema itavamia? Namaanisha wataingia kama kusimamia usalama na ndyo watachukua mamlaka yote. Wakati huo wanajeshi wengi wa USA watakuwa vitani nje ya nchi yao.
Nani amekuambia UN imeanzishwa na USA?..... UN imeundwa baada ya Tillateral commission na Council of foreign relation kushindwa kufanya kazi yao.
UN iliundwa chini ya usimamizi wa John Rockefeller, alinunua Eneo kwa $20m na kujenga makao makuu ya UN.
UN imeanzishwa na watu binafsi na sio taifa la USA.
Uhakika ninaoUna uhakika mkuu!?
Rockefeller alikua raia wa nchi gani wakati huo!?
Hao watakaoingia wataingia kwa majeshi gani na kwa kuongozwa na nani!??
Ni nani world super power kwa sasa!?
Mpaka tuoe wake wanne wote ndio ije hioo vitaEnyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.
Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.
Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.
Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)
Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.👇
WW3: How Will World War Three Affect You? Learn How To Prepare - Free Newsletter
How close are we to World War 3? Subscribe to FREE World War 3 alerts. World War 3 has been planned for decades - learn about the Conspiratorial Nature of History.www.threeworldwars.com
View attachment 3125748
Hao viongozi wa wakati huo ni kutokea wapi na mataifa gani!?Uhakika ninao
Rockefeller Ni raia wa Amerika, lakini sio mwanasiasa au kiongozi wa USA
Hao watakao ingia ni majeshi au vikosi vya UN, wataongozwa na viongozi wao wa wakati huo.
Kwa sasa super power bado hajaonekana wazi, subiri zichapwe kwanza ndyo tutajua nani zaidi.
Kama bado unaamini wanasiasa wana uwezo katika dunia ya leo, umenasa kwenye mtego wao.Hao viongozi wa wakati huo ni kutokea wapi na mataifa gani!?
Kasome vizuri desa la uanzishwaji wa UN.
Na sasa hivi geopolitics haziendeshwi na matajiri tu bali wanasiasa wakubwa.