Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Hapa akidhibitiwa netanyahu na israel ikapata kiongozi mwingine mwenye akili kama gantz au benett basi dunia itakuwa salama, wafanye wamtoe kwa nguvu zote amasivyo atasababisha maafa dunia nzima kwa ajili ya ujinga wake, angalia tulipotoka since oct 7, 2023 hadi leo mtu mmoja kasabaisha matukio mangapi duniani ambayo yanahatarisha usalama wa sunia nzima huku wajinga wakimshangilia, huyo mqrekani mwenyewe nq ulaya wameahamchoka kwa matatizo na aibu anazowaletea mbele ya jumuia ya kimataifa, hivi leo marekani au ulaya itapata wapi nguvu ya kuenforce resolution za united nations kwa taifa lolote
Au kuzungumzia humqn rights, jqmaa kawavua nguo kwa upumbavu wake, mtu anaenda kusababisha majeruhuli hadi kambi za united nations kama si ukichaa ni nini kweli, he is a mad man ,he needs to be contained
Ana point ndio maana marekani bado wako naye.........wewe kambi ya UN inakuwaje karibu na kambi ya Hezbollah??? Wameambiwa wapishe kwa muda jamaa afanye safisha safisha wanagoma .......pia gaza ndio kabisa UN walitia aibu maana sever ya hamas ilikuwa kwenye ofisi za UN harafu eti Netanyahu asikasirike kama anafanyiwa hujma wazi wazi............dawa ya jino kung'oa ........wakiweka ugoko wewe weka jiwe.....................
 
Hawana point mkuu fuatilia vizuri, european countries zote zime condemn upuuzi waliofanya idf, yani united nations iipishe idf hivyo ni akili au matope
Na european countries ndio zilizokataa kwamba united nations ibakie hapo isisogee hata hatua moja
Netanyahu akaja na two contradicting stories kama kawaida yao waisrael wana tabia ya uongo ambao wazungu wameshashtukia kama hawa jamaa ni washenzi hawastahili hata huruma
Mara ya kwanza alidai idf walizidiwa wakakimbilia kambi za united nations kujiokoa na kwamba hezbollah wapo jirani ni uongo ,hezbollah wapo milimani kwenye very open areas mbali na raia, ila idf wanatumia united nations kama human shields ndio uone hawa jamaa ni wapuuzi, na dunia nzima imeshtuka kwamba tulikuwa tunafuga nyoka
 
Sawa sawa.
Hata hivyo vita haiamuliwi na ndoto kwa kuwa una silaha nzito.
Hitler alikuwa na uhakika wa 💯 kushinda vita na alibakisha kilomita chache kuiteka Moscow lakini alishindwa na mwisho taifa lake likaishia kugawanyika.

Hata Marekani yenye maguvu inaweza kufutwa na kugawanyika kwenye vinchi vingi kutoka kwenye Muungano wao.
Vita ni kama Kimbunga, ina tabia ya kubadirisha Jiografia ya baadhi maeneo.
Una point
 
Hapa akidhibitiwa netanyahu na israel ikapata kiongozi mwingine mwenye akili kama gantz au benett basi dunia itakuwa salama, wafanye wamtoe kwa nguvu zote amasivyo atasababisha maafa dunia nzima kwa ajili ya ujinga wake, angalia tulipotoka since oct 7, 2023 hadi leo mtu mmoja kasabaisha matukio mangapi duniani ambayo yanahatarisha usalama wa sunia nzima huku wajinga wakimshangilia, huyo mqrekani mwenyewe nq ulaya wameahamchoka kwa matatizo na aibu anazowaletea mbele ya jumuia ya kimataifa, hivi leo marekani au ulaya itapata wapi nguvu ya kuenforce resolution za united nations kwa taifa lolote
Au kuzungumzia humqn rights, jqmaa kawavua nguo kwa upumbavu wake, mtu anaenda kusababisha majeruhuli hadi kambi za united nations kama si ukichaa ni nini kweli, he is a mad man ,he needs to be contained
Kwa hiyo hao wataungana na Hizbola Hamas na Iran kushambulia Israel ??
 
Bora dunia ifutike tu, kilakitu kianze upya...🙄
Nipo hapa mapango ya Ambini, dunia ikianza upya mimi nakuwa Chifu na hapa mapangoni ndiyo yatakuwa makao makuu, na eneo la utawala linakuwa ni Afrika mashariki na kati
 
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.

Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.

Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.

Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.

Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)

Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.👇

View attachment 3125748
🚮🚮🚮🚮 Kabisa ,UN Ina vikosi? Kwamba wewe mmatumbi unayajua sana haya kuliko wahusika?
 
Mkuu achana na hizi habari. Kafuatilie ule mzigo wa Makava ya simu usije ukaupoteza, niliutuma kwa basi la Turu best linalotokea Singida kuja huko Meatu.
Yapo makava 20 kila moja utauza 7000
IMG_3131.jpeg

IMG_3130.jpeg
IMG_3129.jpeg
IMG_3128.jpeg
 
Back
Top Bottom