Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Kwasasa hakuna Taifa linaloweza kutokea mashariki ya kati na kuitawala dunia.

Bado umiliki wa dunia uko kwenye mikono ya USA hakuna aliyestrong enough Kwa sasa kuchukua kijiti cha USA.
 
Kweli vitisho na maandalizi yamepamba moto
Huko Kiduku kaamua kulipua barabara zote zinazoenda kwa jirani tena kwa mabomu ya ndege
Halafu utaona watu wakisikia mwisho wa Dunia wanaenda kununua Toilet paper na maji sijui wataenda nayo wapi
Kama wakati ule wa 2000 waliposema mwisho wa Dunia wakasomba kila kitu supermarkets daaaa
Binadamu kuna wakati mwingine sijui akili zinaturuka
Screenshot_20241015_165832_Instagram~2.png
 
Kwasasa hakuna Taifa linaloweza kutokea mashariki ya kati na kuitawala dunia.

Bado umiliki wa dunia uko kwenye mikono ya USA hakuna aliyestrong enough Kwa sasa kuchukua kijiti cha USA.
USA ipi?? Hii ambayo inaongoza kwa madeni? Madeni ambayo wanadaiwa na Corporations za watu binafsi?

Hao watu wana uwezo wa kuteketeza uchumi wa USA wakitaka, sasa wameanza na dollar, wanahamia Digital Currency.......
 
Kweli vitisho na maandalizi yamepamba moto
Huko Kiduku kaamua kulipua barabara zote zinazoenda kwa jirani tena kwa mabomu ya ndege
Halafu utaona watu wakisikia mwisho wa Dunia wanaenda kununua Toilet paper na maji sijui wataenda nayo wapi
Kama wakati ule wa 2000 waliposema mwisho wa Dunia wakasomba kila kitu supermarkets daaaa
Binadamu kuna wakati mwingine sijui akili zinaturuka
View attachment 3125831
China nao wameanza vitisho kwa Taiwan, Urusi ataendelea na Ukraine, pande zote moto utawaka.

Wakati watu wakihaha supermarket, Wao tayari wamejenga underground base zao, Bunker's zakutosha na resources zikiwa ndani.

Wamejipanga.....
 
Kwasasa hakuna Taifa linaloweza kutokea mashariki ya kati na kuitawala dunia.

Bado umiliki wa dunia uko kwenye mikono ya USA hakuna aliyestrong enough Kwa sasa kuchukua kijiti cha USA.
USA sio kiongozi ni superpower, bado yuko level moja na mtaifa mengine kweny kura turufu kama Russia na China.
 
China nao wameanza vitisho kwa Taiwan, Urusi ataendelea na Ukraine, pande zote moto utawaka.

Wakati watu wakihaha supermarket, Wao tayari wamejenga underground base zao, Bunker's zakutosha na resources zikiwa ndani.

Wamejipanga.....
Vita waisikie tu vijana maana huwa haina hodi
Njaa ikizidi jirani anakuuwa kwa debe la mahindi
 
Sahihi kabisa, ndyomaana mwanzo niliandika tusiwe washabiki kwenye vita, vita sio jambo la kufanyia mzaha
 
USA ipi?? Hii ambayo inaongoza kwa madeni? Madeni ambayo wanadaiwa na Corporations za watu binafsi?

Hao watu wana uwezo wa kuteketeza uchumi wa USA wakitaka, sasa wameanza na dollar, wanahamia Digital Currency.......

Hao unaowasema ndio haohao marekani sasa, na USA ndio heaven yao.
 
Sio wamarekani, Marekani ni kinyago chao..

Wenyewe huitwa, Ashekanaz Jews... Matrilionea na mashetani wenye miili ya mwanadamu.
 
Ndio vizri tutapata likizo ya kwenda kazini , tukirudi kingereza hakina soko tena duniani ...Wakina Infropreneur watarudi vijijini kwao .
Watu wakishatoka kunywa wanzuki zao huko vilabuni hizi ndio mada ambazo wanakuja kuanzisha JF.

Ni kama kina kubwetere waliowaambia waumini wao kwamba mwaka 2000 ndio ulikuwa mwisho wa Dunia.
 
Tunaisubiri Kwa hamu hiyo vita ili na wakoloni wetu wa kina kizimkazi nao waonje Radha ya shida.
 
Marekani na Ulaya wapo chini ya Israel, wanatumika kwa manufaa ya Israel.

Lengo la Israel au Jews ni kuporomosha na kudhohofisha utawala wa West hapa duniani, wao ndyo watakaa namba moja na nguvu yote itahamia upande wao.

Mfano: wao ndyo wamiliki wa teknolojia zote kubwa, mainstream media, financial supply (Banks), ect.
Hapa ndo huwa nachoka wabongo eti tech zote kubwa mmiliki ni musreli ndo zipi hizo .
 
Back
Top Bottom