Haipo hivyo, ila israel ni kama tawi la interest ya magharibi middle east, ulaya na marekani wana mikataba ya kuilinda ,kama marekani alivyoingia mkataba na japan kuilinda at any cost
Ni kama magharibi walivyokuwa na mikataba ya kupigana na kujilinda kwa pamoja
Ila sasa huyu kichaa wa sasa amesjaonyesha kuwa ni kichwa kibovu, aliingilia uchaguzi wa ufaransa kutaka kumtoa macron ,bahati macron kashinda na kazuia silaha kwenda israel, netanyahu anabaki kulilia
Halafu mambo ya ajabu anyofanya tofauti hata na ustaarabu wa nchi za magharibi na maslahi ya nchi za magharibi
Yes hawana budi kuisaidia israel ila netanyahu wameshamuona hawafai anawaingiza kwemye matatizo makubwa
Unajua kama Washindi wa vita vya pili vya Dunia ndo waliounda UN na kujipa haki ya kura ya VETO wao wenyewe na kuwakusanya wengine wote kwenye kapu moja ili wawasimamie vizuri bila kufurukuta wakiwa ndani ya kapu wakati huo wao wakijivinjari nje ya kapu wakifanya kila wanachoona ni sahihi kwao? Matrekani wanatanua na kujipimia tu nani wampige na nani wamuache, Urusi anajipimia tu size aipendayo, China majirani zake wote wanawapika mkwara anavyotaka. UK na Ufaransa wanajimegea tu rasilimali za Dunia. UN ni desig work ya hao washindi wa vita vya wazungu ingawa waliibatiza kuwa vita vya Dunia. wakati sisi afrika hatukuwa na maslahi yoyote na vile vita.
Sawa sawa.
Hata hivyo vita haiamuliwi na ndoto kwa kuwa una silaha nzito.
Hitler alikuwa na uhakika wa 💯 kushinda vita na alibakisha kilomita chache kuiteka Moscow lakini alishindwa na mwisho taifa lake likaishia kugawanyika.
Hata Marekani yenye maguvu inaweza kufutwa na kugawanyika kwenye vinchi vingi kutoka kwenye Muungano wao.
Vita ni kama Kimbunga, ina tabia ya kubadirisha Jiografia ya baadhi maeneo.
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.
Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.
Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.
Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)
Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.👇
How close are we to World War 3? Subscribe to FREE World War 3 alerts. World War 3 has been planned for decades - learn about the Conspiratorial Nature of History.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.