Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.

Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.

Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.

Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.

Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)

Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.👇

View attachment 3125748
Mkuu umeota, umeoteshwa au unafikiri kwa kuandika..
 
20241015_172806.jpg

God Bless Israel
 
Duuh! Nchi hii imezalisha wajinga wengi sana baada ya Nyerere. Yaani UN inakuja kuitawala USA. Kwamba mjumuiko wa Rwanda, Burundi na Koloni la USA la EU waende kuitawala USA. Hivi unaju kama makao Makuu ya UN yapo USA???
UN haijaundwa Ili kutetea au kuokoa nchi yoyote, UN ni adui namba moja wa dunia hii...

Tatzo unadhani UN ni mkombozi kumbe ni njia ya kuelekea One World government...

Unajua ni akina nani walikuwa waanzilishi wa UN? Unajua nani alinunua eneo na kujenga makao makuu ya UN??
 
Mkushi mtoto wa Hamu twambie ukweli ni upi?
katika Ulimwengu wa sasa hakuna kitu kinaitwa UN isipokuwa Joka kuu USA. Ndo maana UN haikuweza kuzuia uvamizi wa USA kule Iraq, Afganistan na Libya pamoja na kwamba hawakukukubaliana nao. Ndo maana UN haina cha kuifanya Israel dhidi ya kinachoendelea Mashariki ya kati hadi USA aseme basi maana UN mkusanyiko wa wasio na memo waliokusanywa pamoja na kulipwa na USA. Kwa ulimwengu wa sasa UN ndo USA hadi aje mbabe mwingine wa kuitoa USA katika Utawala wa Dunia labda wakati huo ndo kunaweza kuundwa UN.

Hii UN ya sasa imeshindwa hadi kumaliza vita kule Congo DR na sasa hivi kambi zake zinabutuliwa kule Lebanon na USA aliyejipa jina ISRAEL
 
Umeboronga hapo ulipoitenganisha UN na Marekani. UN na Marekani ni mtu huyo huyo moja. Wengine mle ni wafanyakazi wa ujira wanaolipwa na Marekani kijanjajanja.
Wewe ndiye uliyekosea.
Vita husababisha migawanyiko au Miungano isiyo na nguvu.
Kumbuka mgawanyiko wa Ujerumani baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
 
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.

Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.

Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.

Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.

Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)

Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.👇

View attachment 3125748
Hapa akidhibitiwa netanyahu na israel ikapata kiongozi mwingine mwenye akili kama gantz au benett basi dunia itakuwa salama, wafanye wamtoe kwa nguvu zote amasivyo atasababisha maafa dunia nzima kwa ajili ya ujinga wake, angalia tulipotoka since oct 7, 2023 hadi leo mtu mmoja kasabaisha matukio mangapi duniani ambayo yanahatarisha usalama wa sunia nzima huku wajinga wakimshangilia, huyo mqrekani mwenyewe nq ulaya wameahamchoka kwa matatizo na aibu anazowaletea mbele ya jumuia ya kimataifa, hivi leo marekani au ulaya itapata wapi nguvu ya kuenforce resolution za united nations kwa taifa lolote
Au kuzungumzia humqn rights, jqmaa kawavua nguo kwa upumbavu wake, mtu anaenda kusababisha majeruhuli hadi kambi za united nations kama si ukichaa ni nini kweli, he is a mad man ,he needs to be contained
 
UN adui wa MAREKANI tena? Uko dunia gani. Unaweza tenganisha un na USA
Lazima uone kama nipo dunia gani, kwasababu nimezinduka kwenye usingizi ambao wengi bado wamelala.

UN hana rafiki, USA inatumika kama daraja tu, lengo ni World domination, na haitatokea USA wala Europe, bali ni Middle East
 
Wewe ndiye uliyekosea.
Vita husababisha migawanyiko au Miungano isiyo na nguvu.
Kumbuka mgawanyiko wa Ujerumani baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
Unajua kama Washindi wa vita vya pili vya Dunia ndo waliounda UN na kujipa haki ya kura ya VETO wao wenyewe na kuwakusanya wengine wote kwenye kapu moja ili wawasimamie vizuri bila kufurukuta wakiwa ndani ya kapu wakati huo wao wakijivinjari nje ya kapu wakifanya kila wanachoona ni sahihi kwao? Matrekani wanatanua na kujipimia tu nani wampige na nani wamuache, Urusi anajipimia tu size aipendayo, China majirani zake wote wanawapika mkwara anavyotaka. UK na Ufaransa wanajimegea tu rasilimali za Dunia. UN ni desig work ya hao washindi wa vita vya wazungu ingawa waliibatiza kuwa vita vya Dunia. wakati sisi afrika hatukuwa na maslahi yoyote na vile vita.
 
Hapa akidhibitiwa netanyahu na israel ikapata kiongozi mwingine mwenye akili kama gantz au benett basi dunia itakuwa salama, wafanye wamtoe kwa nguvu zote amasivyo atasababisha maafa dunia nzima kwa ajili ya ujinga wake, angalia tulipotoka since oct 7, 2023 hadi leo mtu mmoja kasabaisha matukio mangapi duniani ambayo yanahatarisha usalama wa sunia nzima huku wajinga wakimshangilia, huyo mqrekani mwenyewe nq ulaya wameahamchoka kwa matatizo na aibu anazowaletea mbele ya jumuia ya kimataifa, hivi leo marekani au ulaya itapata wapi nguvu ya kuenforce resolution za united nations kwa taifa lolote
Au kuzungumzia humqn rights, jqmaa kawavua nguo kwa upumbavu wake, mtu anaenda kusababisha majeruhuli hadi kambi za united nations kama si ukichaa ni nini kweli, he is a mad man ,he needs to be contained
Marekani na ulaya hawana sauti mbele ya Israel. Israel ni taifa lililo undwa na Rothschilds na wamekiri hilo.

Marekani atamsaidia Israel kwenye vita yake, na huo ndio mwanzo wa vita kuu.
 
Vita kuu ya pili imehitimishwa kwa kuzaliwa taifa la Israel na vita kuu ya tatu itakayosababishwa uwepo wa taifa hilo hilo la Israel.
Acha tuone.
Waanzilishi wa taifa la Israel ni Rothschilds.
 
Marekani na ulaya hawana sauti mbele ya Israel. Israel ni taifa lililo undwa na Rothschilds na wamekiri hilo.

Marekani atamsaidia Israel kwenye vita yake, na huo ndio mwanzo wa vita kuu.
Haipo hivyo, ila israel ni kama tawi la interest ya magharibi middle east, ulaya na marekani wana mikataba ya kuilinda ,kama marekani alivyoingia mkataba na japan kuilinda at any cost
Ni kama magharibi walivyokuwa na mikataba ya kupigana na kujilinda kwa pamoja
Ila sasa huyu kichaa wa sasa amesjaonyesha kuwa ni kichwa kibovu, aliingilia uchaguzi wa ufaransa kutaka kumtoa macron ,bahati macron kashinda na kazuia silaha kwenda israel, netanyahu anabaki kulilia
Halafu mambo ya ajabu anyofanya tofauti hata na ustaarabu wa nchi za magharibi na maslahi ya nchi za magharibi
Yes hawana budi kuisaidia israel ila netanyahu wameshamuona hawafai anawaingiza kwemye matatizo makubwa
 
Back
Top Bottom