Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni Koloni na walioenda vitani walikwenda kupigania na kutetea English Empire, sasa huo ushujaa unaingieje kwetu?

Kwa nini Serikali isiwapiganie walipwe fidia na Serikali za Kikoloni kwa kuwatumia kwenye Vita isiowahusu?

Kuna mtu anahitaji History lessons za Uafrika kwanza!
 
Mbona wanalipwa na Uingereza kupitia Tanzania Legion Club
 
Back
Top Bottom