Vita ni vikali kuelekea kutimiza malengo inahitaji physical fitness na mental fitness.

Vita ni vikali kuelekea kutimiza malengo inahitaji physical fitness na mental fitness.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Unapoanza kutimiza malengo yako ni sawasawa na kuanza Vita Kuna mawili kushinda battle na kushindwa battle it depends na jinsi ulivyojiandaa bila kusahau bahati.

Vita dhidi ya nani?
Walimwengu, wachawi, wenye roho mbaya, wanafiki, majini kiukweli ni battle yenye wingi wa maadui.

You need to be confident enough plus mental and physical fitness to face your enemies.

Remember never give up no matter what.
 
Hizo vita zote nyingi niza kiroho hivyo Ukiweza kujiimarisha kiroho utaweza kupiga hatua kubwa sana katika maisha
Back in days Kuna mtaalamu alikuja nyumbani mimi kujifanya nimeelimika nikagoma kupigwa chale mwilini now i know dhamira ya tukio lile
 
Back
Top Bottom