Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Unafahamu utofauti wa 1930s,1940s na 2024.Humu jf wachambuzi wa mchongo wengi sana. Ingekuwa rahisi hivyo unadhani Taiwan ingekuwepo mpaka leo?
Japan ilikuwa kisiwa kidogo tu ila ndo ilikuwa super power wa Asia kipindi hicho.
Nikuulize swali jepesi tu Japan leo hii 2024 inaweza kuivamia China ?