Humu jf wachambuzi wa mchongo wengi sana. Ingekuwa rahisi hivyo unadhani Taiwan ingekuwepo mpaka leo?
Japan ilikuwa kisiwa kidogo tu ila ndo ilikuwa super power wa Asia kipindi hicho.
China na Taiwan ni ndugu moja tofauti zao na vita ndiyo ilivitenganisha.
Hofu ya Marekani China na Taiwani zikiungana China itakuwa na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana Marekani anatia chokochoko.
Wake mezani wakubaliane Kama China na Hong Kong zilivyokubaliana.