Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jordan na waarabu wenzake walitandikwa na Israel kwa siku 6 haweza akarudia upuuzi kama huoMajeshi bado yapo hapo hapo hayajaondoka
Hadithi za zamani hizo.Jordan na waarabu wenzake walitandikwa na Israel kwa siku 6 haweza akarudia upuuzi kama huo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Ila we jamaa una moyo Sana🤣🤣🤣🤣Hadithi za zamani hizo.
Kwani ukipigwa mara moja ndio lazima upigwe tena.
Kwenye ndondi mtu anapigwa raundi ya 3 na ya 5 halafu anapiga na kushinda kwa NO raundi ya 10
Jordan akiamua kupigana sasa hivi kuwasaidia wapalestina basi ataungwa mkono na waarabu wengine haraka na atashinda.
israel hana tena Iron dome za maana.Hizbulah tu anapenyeza makombora anapotaka.Fikiria Jordan afanye makubaliano ya siri na Hizbulah na Misri kwamba siku fulani rusha zako na mimi narusha zangu kuanzia siku fulani Tuone hapo kama Israel atapona.
Hakika. Nahisi kuwa na moyo wa imani kama yeye. Huyu jamaa hakubali kushindwa. Nahisi hata ktk maisha ya kawaida ya kiuchumi amefanikiwa.Ila we jamaa una moyo Sana🤣🤣🤣🤣
Vipi wakipigwa nuke moja hapo maana umesema yahudi anazo.Majeshi bado yapo hapo hapo hayajaondoka
Hivi waislamu mnafundishwaga ubishi vita 1967 waarabu walipigwa siku 6 baadaye misri na syria wakajaribu tena mwaka 1973 kama wewe unavyojipa moyo wakapigwa tena vita vya yomkippur huu ubishi hata Hamas wamejaribu kuichokoza Israel matokeo yake Gaza ni magofu na wapalestina 13000 wameuawaHadithi za zamani hizo.
Kwani ukipigwa mara moja ndio lazima upigwe tena.
Kwenye ndondi mtu anapigwa raundi ya 3 na ya 5 halafu anapiga na kushinda kwa NO raundi ya 10
Jordan akiamua kupigana sasa hivi kuwasaidia wapalestina basi ataungwa mkono na waarabu wengine haraka na atashinda.
israel hana tena Iron dome za maana.Hizbulah tu anapenyeza makombora anapotaka.Fikiria Jordan afanye makubaliano ya siri na Hizbulah na Misri kwamba siku fulani rusha zako na mimi narusha zangu kuanzia siku fulani Tuone hapo kama Israel atapona.
Hiyo Hezbollah inaendelea kucheza mchezo wa hatari imeshaonywa na Israel mara nyingi itaiponza Lebanon kwa kudanganywa na Israel hivi mpaka leo hamfahamu Israel ni taifa la nuklia hivi Lebanon ikifunikwa na makombora ya nuklia mtalia dunia nzima wafia diniHadithi za zamani hizo.
Kwani ukipigwa mara moja ndio lazima upigwe tena.
Kwenye ndondi mtu anapigwa raundi ya 3 na ya 5 halafu anapiga na kushinda kwa NO raundi ya 10
Jordan akiamua kupigana sasa hivi kuwasaidia wapalestina basi ataungwa mkono na waarabu wengine haraka na atashinda.
israel hana tena Iron dome za maana.Hizbulah tu anapenyeza makombora anapotaka.Fikiria Jordan afanye makubaliano ya siri na Hizbulah na Misri kwamba siku fulani rusha zako na mimi narusha zangu kuanzia siku fulani Tuone hapo kama Israel atapona.
Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa ni kweli wanazuiwa kukinga maji ya mvua? , Mengine yanaweza kuwa kweli ila siyo hilo.Si umeona mwenyewe.Hukuwa ukijua kuwa wayahudi ni watu waliolaaniwa.Vitu vya Mungu navyo wanasema ni vyao wenzao wasivipate.