Vita vikianza tunashangalia, Madhara yake yakianza vilio kila kona, What goes around comes around, Tusali sana

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kipindi vita vya iran vinaanza tulishangilia sana, niliamini, sisi hatuhusiki, kumbe ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.

Ona sasa achana na bei ya mafuta kupanda, Kuna hii timua timua makazini, acha tu, bado bidha kupanda na kazi imesimimama, polepole mtafikiwa, nyie chekeni.
 
Attachments

  • Screenshot_20260511-083532.jpg
    Screenshot_20260511-083532.jpg
    37 KB · Views: 18
Siwezi lakini sishangilii migogoro sababu madhara yake yatatuhusu wote na sio wao pekee, tena sisi ndo huumia zaidi Yao
yaache tu yaendelee si tuendelee na kuumia kwetu huku tukibuni njia za kuacha utegemezi

Maana hiyo vita ipo na kushangilia au kutokushangilia hakuongezi chochote
 
Kukiwa na msiba Kwa jirani Yako, wewe ukaonekana unashangilia, jamii itakufikiri vipi,
 
Kukakimyaa,Kushangalia usishangilie uwe na timu au usiwe na timu Haiwezi kuzuia au kuamua chochote ktk Athari za mabadiliko ya ukuaji au uangukaji wa uchumi.
Uchumi una tabia kama za mtoto anaekuwa..
Atatambaa,atasimama atatembea atakimbia n.k na kila hatua kuna kudumaa na kuendelea vizuri..
Ukimfufua leo mzee aliyekufa miaka ya 70 Atashangaa sana kuona kila kitu bei kubwa ukilinganisha na maisha waliyoishi wao, walitumia cent 1,na mwenye pesa nyingi alikuwa na shilingi,Tajiri alikuwa Elfu na bilionea alikuwa na laki.
Bei kupanda ,Pesa kushuka thamani ni mwendelezo wa ukuaji ....KIzazi kitapita bado maisha na uchumi utaendelea,hata ikibidi lita Moja ya Petrol kuwa 10000 na Kilo ya unga kuwa 6000.
uchumi na maisha haviwezi kusimam.
Watu waonyeshe hisia zao kwa uhuru maana hisia negative au postive hazina kizuizi chochoet kwenye udhiti wa uchumi.
 
Asante kwa maelezo marefu, unakisaidia kichwa maji cha mtoa mada
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom